Wewe umejuaje hana hela?Kihonda magorofani na Airport, Kwingine kuliko tulia huna hela ya kukufanya uishi.
Kuna umbali gani mpaka mjini mkuu?Maeneo ya Forest hill...
Kuna umbali gani mpaka mjini mkuu kutoka hizo sehemu ulizotaja?Bigwa au Lukuyu..!!
Duh..!Kihonda magorofani na Airport, Kwingine kuliko tulia huna hela ya kukufanya uishi.
Ndo ulichokiona?Wewe umejuaje hana hela?
Nauliza tena ndio ulichokiona?Hivi watu wa jf tukiwa nyuma ya keyboard tunapata wapi huu ujuaji wa maisha ya watu, Ukiwa wewe huna hela unadhani wengine wote hawana?
Kwa hiyo sijamjibu?Yeye kauliza maeneo wewe mwambie, yeye mwenyewe ataenda kujipima.
Bigwa ni kama dk 15 na Lukuyu ni km dk20 kwa daladala ila km una gari binafsi ni les than 15 mins hadi townKuna umbali gani mpaka mjini mkuu kutoka hizo sehemu ulizotaja?
Unaifahamu vyema Bigwa mkuu?Akapambane na mikelele ya mikanisa iliyojaa kama uchafu Bigwa au sio
Zaidi ya kupafahamu, nimewahi kuweka stationery huko.Unaifahamu vyema Bigwa mkuu?
Du umeshauri kipumbavu kweli kweliKihonda magorofani na Airport, Kwingine kuliko tulia huna hela ya kukufanya uishi.
Hana hela huyo,angekuwa na pesa asingebwabwaja humu JF,mfano,ulimuona wapi Dewji anapiga mikelele.Wewe umejuaje hana hela?
Hivi watu wa jf tukiwa nyuma ya keyboard tunapata wapi huu ujuaji wa maisha ya watu, Ukiwa wewe huna hela unadhani wengine wote hawana?
Yeye kauliza maeneo wewe mwambie, yeye mwenyewe ataenda kujipima.
Tafuta maeneo ya Forest hapo utulie Mkuu. Kila la kheri katika makazi yako mapya.Maeneo ya Forest Hill
Huo ni mtazamo wako mkuu.! Ila Bigwa ni miongoni mwa sehemu tulivu zisizokuwa na keleleZaidi ya kupafahamu, nimewahi kuweka stationery huko.
ushamba mwingiii watu wa nanenane, misufini, kigurunyembe wote huko ndo kama kasehemu kao kakuchil.
.
Makanisa huko ndo nyumbani kwao japo kuna nyumba kali sana nafahamiana na Maulid ujenzi mtu mmoja maarufu mazingira hayo.
Siwezi kuishi kwenye watu wafupi wengi na washamba washamba
Wakuu, Habari zenu nyote.
Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada ya kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro.
Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu yananilazimu kusafri.
Hiyo sehemu iwe na maji ya uhakika na yasiwe maeneo yenye vibaka.