Oii
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 3,930
- 3,129
Na Libya ipo wapi sasa hivi? They wish he was still their president.Gadafi alitisha hivyo hivyo mwisho wa siku alifia kwenye mtaro wa mavi

So Mange started the revolution in Instagram, with how many people
Kwani yeye ni MunguKwani Revolution gani isiyo ya kupindua? Mtamuondoaje sasa Rais Magufuli Madarakani kama si kumpindua? Haki ya Nani mnamjaribu Ngosha nyie. Ameshawaambia hajaribiwi
Wewe unaongelea kuandamana wakati kamanda wenu mange anaongelea revolutionMnaogopa ndio maana kila saa mnawatishia, mara JWTZ, mara polisi. Waacheni kama wataandamana au hawatoandamana.
Hana ofisi? Awaambie waandike hizo kero wazipeleke ofisini kwakeMbunge Lwakatare leo amezuiwa kuongea na wapiga kura wake
Hivi akilini mwako jeshi haliwezi kusimama na raia na kumtupa mkono mtawala? Soma historia kijana? Nyakati zimebadilika.Ni maandamano gani ya Aman ambayo yataleta Revolution? hapo wanataka kuletea Mapinduzi. sijajua mmejipangaje kupambana na majeshi katika maandamano yenu. Haya kila la kheri
Wakati wengine wanajianda kuutetea utawala dhalimu, wengine wanajiandaa kuuondoa huo utawala, tusubiri!!! Mbona mnaingiwa na hofu kuu mapema hivi??Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
mkuu kabla sijasoma nasema karibu tenaWadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Tanzania haina jeshi .....Jeshi la CCM ndilo linaitwa jeshi?Sijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
hao "Wazee wa kazi" mbona ni weupi tu?waambie waende DRC!Hapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao
Unajifariji dada!! Umati wa Libya...misri na Tunisia ni diaspora?Aliruhusu uraia wa nchi mbili mi diaspora isiyotakia nchi amani kama mange ikaingia Libya na kuanza kusumbua Ndani ya Libya Tanzania tumegoma katakata duo citizenship Hao akina kimambi wanajua siku wakikanyaga tanzania ndio mwisho wao.Hiyo ni diaspora yenye duo citizenship jeuri yao mwisho mitandaoni
On that date, under police brutality, large masses of people will be killed and consequently this will invite International condemnation which will lead international law to take its course. Charges of CRIME AGAINST HUMANITY/GENOCIDE depending on the nature of demonstration and the number killed, will be instituted against government official at the ICC by BensoudaHahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
Waandamanaji watakuwa wamebeba Biblia na Koran mkononi. Je utawafumua vichwa watu waliobeba vitabu vya Dini kuashiria amani? Basi vichwa vitafumuliwa vingi siku hiyo kwa kuwa Vitabu hivi havina uwezo wa kukabiliana na Majeshi unayosema.Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
nilimskiliaza mama wa kilibya analia anaitafta libya yake ya zamani ,,anawalaani wanzungu mpaka kufa,Na Libya ipo wapi sasa hivi? They wish he was still their president.
Tunawatahadhalisha tu coz mkipigwa mabomu ya machozi dunia nzima inajua. si kwa kulalamika huko. Je zikitwangwa za moto!Wakati wengine wanajianda kuutetea utawala dhalimu, wengine wanajiandaa kuuondoa huo utawala, tusubiri!!! Mbona mnaingiwa na hofu kuu mapema hivi??
Natumaini kuwaona makamanda.Wadau, amani iwe kwenu.