majanimagugu
Senior Member
- Jan 24, 2018
- 123
- 93
(Umesema fanyeni mapinduzi) halafu.. Sasa hapo nani atakuwa na mamlaka maana tayari mapinduzi yameishafanyikaSijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
(Umesema fanyeni mapinduzi) halafu.. Sasa hapo nani atakuwa na mamlaka maana tayari mapinduzi yameishafanyikaSijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuni
Ukizingatia ni raia, wanafanyia test zana kwa raia ndivyo.Hapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao
Mimi nilifikiri namna bora na sahihi ya kukabiliana na maandamano ni kufahamu madai yao na kuyafanyia kazi hilo la nguvu ndogo and nguvu kubwa halitatui kilichowafanya waandamane.
Mh Raisi aagize wakuu wote wa mikoa (kama ni kweli) wapokee hayo maandamano na kuchukua malalamiko yao na kuyapeleka serikali (Kwa Mh. Raisi) ili yale ya kweli yafanyiwe kazi
Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
mbona jeshi halihitaji maelezo mengi na utaenda kumuuliza nani ss wengine tunapenda kuangalia picha za kutisha kuona mtu kamwagwa ubongoNasikia vikosi vyote nchini wameshanza kutest mitambo. Target ya kwanza ni Mbowe, Zitto na genge lao. Lazima wajue kuna vyombo vya dola
naww unajikuta mwarabu mweusi andamanaKwani wewe kwa akili yako unafikiri Misri, Libya, Romania, Ethiopia, Zimbabwe, nk nk hawakuwa na vifaru? Unaongea kama vile hata kusikiliza redio haujawahi!
virungu wamezoea hao dawa ya moto tuhawa wahuni wanaodanganyana kuandamana dawa yao ni virungu tuuuuuuuuuuuu
Aliruhusu uraia wa nchi mbili mi diaspora isiyotakia nchi amani kama mange ikaingia Libya na kuanza kusumbua Ndani ya Libya Tanzania tumegoma katakata duo citizenship Hao akina kimambi wanajua siku wakikanyaga tanzania ndio mwisho wao.Hiyo ni diaspora yenye duo citizenship jeuri yao mwisho mitandaoniGadafi alitisha hivyo hivyo mwisho wa siku alifia kwenye mtaro wa mavi
Ndo maana wanasisitiza Katiba Mpya ili hayo mambo yao ya ushoga na uraia pacha yaruhusiweAliruhusu uraia wa nchi mbili mi diaspora isiyotakia nchi amani kama mange ikaingia Libya na kuanza kusumbua Ndani ya Libya Tanzania tumegoma katakata duo citizenship Hao akina kimambi wanajua siku wakikanyaga tanzania ndio mwisho wao.Hiyo ni diaspora yenye duo citizenship jeuri yao mwisho mitandaoni
Basi litakuwa sio jeshi la wananchi bali ni jeshi la wakoloni weusi ,chama kikongwe!Na Mapinduzi siku zote hayana siasa. Hushughulikiwa kijeshi
Siku hizi unaakili zamani ulikuwa unakera sana naona pepo la lumumba limekutokaWadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Eti kutumia silaha zote, yaani maandamano tu zitumike silaha zote.Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote