Ni maandamano au ni mapinduzi?

Ni maandamano au ni mapinduzi?

Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Basi haya yatakuwa ya kwanza. Tunaandamana kwa amani, kushinikiza watoke. Wakitoka tayari tushafanya mageuzi.
 
Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Tuliwaambia maandamano yapo mkatubeza lkn kadri siku zinavyosogea ndio akili zinaanza kuwarudi, mwanzo mlisema malaya wa Calfonia huwezi kuongoza maandamano Tanzania, sasa mnasema jeshi lijiandae kisawasawa, na bado hadi maji myaite mma.

Tusibeze, maandamano yapo ila kufanikiwa au kutofanikiwa kwake inategemea Polisi imejipangaje
 
Mkuu bora umewakumbusha waweke wazi kabisa wasije wakatoa lawama....watu wana agenda zao nyuma ya maandamano ndio maana hawaeleweki kama wanataka kufanya mapinduzi au maandamano ....hivyo kama wanataka kufanya mapinduzi wakae wakijua kuwa silaha kali za moto na mizinga itabidi itumike kudhibiti mapinduzi.....
hahahaha kama namuona Zitto anavyo jificha nyuma ya twitter
Hahahahahahaaaaaaa. Na kile kibibi gagula cha Insta
 
Bora umesema mwenyewe kuwa una akili finyu tangu nijiunge JF huwa natathimin IQ yako na chama cha mapinduzi
 
kimsboy Kwani Revolution gani isiyo ya kupindua? Mtamuondoaje sasa Rais Magufuli Madarakani kama si kumpindua? Haki ya Nani mnamjaribu Ngosha nyie. Ameshawaambia hajaribiwi
 
Mapinduzi hudhibitiwa kwa silaha za moto. Nawaonya tena
The Hague itawahusu!

Watu wakiandamana kwa amani bila kubeba hata jiwe alafu wewe uje na silaha ni kwanini The Hague isikuhusu?

Nani alikwambia mapinduzi ni lazima watu wamwage damu?

Watu wakiandamana kwa amani kumtaka mtawala aondoke madarakani na kisha akasalimu amri hayo si mapinduzi bila kumwaga damu?

Acheni upuuzi wenu.Mnajiona hii nchi ni mali yenu watu wanauwawa majibu wauaji ni watu wasiojulikana.Acheni watu watafute uhuru wa mara ya pili maana nyinyi hamthamini uhai wa wengine bali mnajali tu madaraka.

Ovyo kabisa!
 
Mtoa mada hebu tuambie maana ya mapunduzi? mapinduzi yanayoenda kufanyika ni mapinduzi ya kutandika uhuru wa demokrasi ambapo kubwa la madikteta limevuvja katiba kwa kuzuia kila kitu hata ukilikosoa linakuuwa kwa bunduki.
Unachotakiwa kujiuliza wewe unakwenda kushiriki mapinduzi au unakwenda kushiriki maandamano? kama ni mapinduzi lazima silaha za moto zitakukabili
 
Lugha tu iliyokuja na akina Vasco Da Gama imeleta shida, ni Demonstration mkuu je hiyo vipi Lizaboni nayo ina shida hapo mtawatuma vijana wa kazi pia....
 
Tuliwaambia maandamano yapo mkatubeza lkn kadri siku zinavyosogea ndio akili zinaanza kuwarudi, mwanzo mlisema malaya wa Calfonia huwezi kuongoza maandamano Tanzania, sasa mnasema jeshi lijiandae kisawasawa, na bado hadi maji myaite mma.

Tusibeze, maandamano yapo ila kufanikiwa au kutofanikiwa kwake inategemea Polisi imejipangaje
So long mmetoa muda wa kutosha na sisi tukajipanga, haki ya nani siku hiyo mtatafuta pa kukimbilia. stock zote za silaha zilizotapakaa nchi nzima siku hiyo zitakuwa nje nje. Na kwa vile tupo na maandalizi ya Siku ya Muungano, tutatest kila silaha ili tuone kama zipo kisawasawa. Maana nyingine zimekaa muda mrefu
 
Lugha tu iliyokuja na akina Vasco Da Gama imeleta shida, ni Demonstration mkuu je hiyo vipi Lizaboni nayo ina shida hapo mtawatuma vijana wa kazi pia....
Hayo unasema wewe. Ila walioandaa wanalenga Revolution ya kumuondoa Ngosha Madarakani. Haki ya nani siku hiyo lazima watafute pa kujificha
 
So long mmetoa muda wa kutosha na sisi tukajipanga, haki ya nani siku hiyo mtatafuta pa kukimbilia. stock zote za silaha zilizotapakaa nchi nzima siku hiyo zitakuwa nje nje. Na kwa vile tupo na maandalizi ya Siku ya Muungano, tutatest kila silaha ili tuone kama zipo kisawasawa. Maana nyingine zimekaa muda mrefu
Acha kutisha watu!!kwanza hata maandamano ya amani mara ya mwisho kuruhusiwa ilikuwa ni lini?
 
juzi pale kinondoni Mbowe alijificha kwenye duka la mwana CCM HAHAHA
Hahahahahahahaaaaaa! Siku hiyo huyo mwana CCM akili zilitulia. vinginevyo angemvua gwanda na kumvalisha dera! tehetehetehetehe
 
Back
Top Bottom