Ni maandamano au ni mapinduzi?

Ni maandamano au ni mapinduzi?

On that date, under police brutality, large masses of people will be killed and consequently this will invite International condemnation which will lead international law to take its course. Charges of CRIME AGAINST HUMANITY/GENOCIDE depending on the nature of demonstration and the number killed, will be instituted against government official at the ICC by Bensouda
Hahahahahahahaaaaaa. Hao International Community mbona hawachukui hatua huko Syria?
 
Natumaini kiwaona makamanda.
Kamanda Mbowe, Kamanda Mnyika, Kamanda Lowasa, Kamanda Sumaye, Kamanda Mdee, Kamanda Msigwa, Kamanda Lema and the rest of their fellow COWARDS on the front line.
Hahahahahahaaaaa. Juzi tu kiliponuka Mbowe alienda kujificha kwenye ofisi ya CCM Kinondoni Mkwajuni
 
Mtajitahidi kubadili chupa mpya lakini mvinyo yenu imesikika harufu yake na hainyweki kwa watanzania

Watanzania gani? Hivi unajua ccm mko wa ngapi? Kwa nini mnatumia majehsi ya polisi kulinda chama badala ya chama kulindwa na ubora wake?

Mnakimbia vivuli vyenu wenyewe. Kweli Biblia imesema kweli. Watanzania wanasema maandamano ya amani, ninyi kwa uovu wenu, mnasema mwisho wenu umefika. Nani kasema?

Waovu wasio haki, hukimbia ovyo hata wasipofukuzwa na yeyote.
 
Waandamanaji watakuwa wamebeba Biblia na Koran mkononi. Je utawafumua vichwa watu waliobeba vitabu vya Dini kuashiria amani? Basi vichwa vitafumuliwa vingi siku hiyo kwa kuwa Vitabu hivi havina uwezo wa kukabiliana na Majeshi unayosema.
Labda mfanye kubadili siku, lakini tarehe mliyoitaja is already mapped as catastrophy
 
Kama hivyo ndivyo basi Jeshi lingeanza na kile chama cha mapinduzi!! Mtu lofa hawezi elewa mapinduzi yapo ya aina nyingi sio unavyohisi ww. Kuna mapinduzi ya kiuchumi,kisiasa nk lkn yafaa asogee mtu anayezuia hayo mapinduzi ambaye niii ..........jonijo
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.

Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.

Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.

Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Mkuu sio mapinduzi isipokuwa watanzania wanataka watewaliwe vile wanavyotaka sio kupelekeshwa kama mapimbi,katiba haifuatwi,maiti zinaokotwa kila siku,polisi wanafanya mambo bila kufuata sheria,kwakweli tunaishi kama wanyama,"law of jungle" mwenye nguvu mpishe...

Serikali inafanya kila hila watanzania tutafautine tusiwe kitu kimoja,serikali inafanya kila hila ili chama fulani kifanye vurugu wapate kikifuta..hii nchi yetu sote,hakuna haki miliki ya mmoja kumtawala mwengine...

Asante untie Mange kwa kutushtua...
"For the love the nation".....Nguvu ya uma inakuja jitayarisheni...
 
Hakuna maandamano ya amani yenye lengo la Revolution. Nakataa. Polisi na JWTZ msipumbazike na hii hadaa ya wanyonya koni. Jiandaeni kisawasawa kutumia silaha zote
Acha udhalilishaji mamako pia alinyonya koni ndio mana uko hapo
 
kama kufa mtuue na siraha zenu lakin sio kufa kwaajili ya njaa inayosababishwa na huyo mfalme juha
 
Natumaini kuwaona makamanda.
Kamanda Mbowe, Kamanda Mnyika, Kamanda Lowasa, Kamanda Sumaye, Kamanda Mdee, Kamanda Msigwa, Kamanda Lema and the rest of their fellow COWARDS on the front line.
Haya sio maandamano ya chama fulani,ni maanadamano yaliyoandaliwa na watanzania kutoka vyama tafauti vya siasa na visivyo vya siasa,sasa hao uliowataja ni akina nani??!
 
Mbona watu kama wameichoka hii serikali mapema namna hii?
 
Haya sio maandamano ya chama fulani,ni maanadamano yaliyoandaliwa na watanzania kutoka vyama tafauti vya siasa na visivyo vya siasa,sasa hao uliowataja ni qkina nani??!
Hao ndio wale WATANZANiA wenye viherehere kama vibinti vya shule mpaka vinapewa mimba.
 
Hao ndio wale WATANZANiA wenye viherehere kama vibinti vya shule mpaka vinapewa mimba.
Viherehere kivipi Mkuu,fafanua..hao uliowataja sio wao wenye mpango wa kuanzisha haya maandamano wakija au wasije kwenye maandamano haisadii chochote
 
Back
Top Bottom