General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
vyote vyotee

hoa siku hizi hamna kitu wanakufu kama kuku wanaomwa kideri, kama Kule congo juzi kati, hao waliwashindwa kibiti wakaishi kumpoteza mwandishi wa habari. zama zimebadirika tutafanya maandamano ya kisayansiHapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao
Syria= Tanzania? Major players in Syria+Tanzania?Hahahahahahahaaaaaa. Hao International Community mbona hawachukui hatua huko Syria?
Ndiyo - Jeshi letu linazidi majeshi yaliyo kuwepo Tunisia na Libya- maana Jeshi la Tanzania ni la wazalendo - Majeshi ya Tunisia na Libya hayakuwa ya kizalendo. Uzalendo wa jeshi letu umeisha pimwa na unaeleweka. Jeshi letu lina sikia ukakasi wa vioja vya wapinzani maana linajua hatima yake! Linajua, maana limetumika nchi nyingi kusaidia amani huko ambako amani ilivunjwa na wapinzani wanao tumiwa na vibaraka wa nje.Mna jeshi kuzidi lile la Tunisia na Libya?
Hongereni kwa ushindi na viongozi wa uponzani kujiungana ccmNi kweli wameichoka na ndo maana kila uchaguzi mdogo ukifanyika wanashinda wapinzani. Pia ndo maana wabunge na madiwani wengi wa CCM wanajiuzulu na kujiunga na upinzani
Kila mtu atakufaga tu one day. Ukiua na wewe jua utakufaga tu.....so no fear of dying hereHahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
Weka silaha za moto chini tuuchape mikono mikavu.Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuu
Kwani revolution ni nini? Tofautisheni kati ya revolution na coup.Hahahahahaaaaaaa. Sasa mbona wanayaita Tanzania Revolution?
Coup d'etat ndio Revolution inategemea unaongea katika angle ipi. Ila ukisema tunataka kumuondoa Rais Magufuli na Dr Shein Madarakani basi ujue hiyo ni Revolution na ni Coup D'etat. Ila kama unataka kuifanya Tanzania iwe ya viwanda hiyo inaitww Tanzania Industrial RevolutionKwani revolution ni nini? Tofautisheni kati ya revolution na coup.
Watu elfu 10 mbona wengi, mia mbili tu zimerushwa risasi za kuua.Moja ya kitu ulichosahau labda nikukumbushe MISRI ni moja ya nchi yenye jeshi imara kabisa Africa na vifaa vya kisasa kuanzia ndege za kivita za kutosha, mamia ya vifaru na gari za delaya, manowari vita na meli za kivita... lakini mwisho wa siku watu walijiselfie na vifaru barabarani..
Hiyo movie haiwezi fanikiwa sio kwa sababu ya jeshi imara la Tanzania lahasha bali kwa sababu ya uoga na ujinga wa watanzania, Hakuna jeshi lenye nguvu kuliko umma, nahuhakikishia hapo Dar es salaam waandamane watu 10000 tu JWTZ haitaweza kuwazuia kamwe, tuombe Mungu na tuache kauli za kejeli haya mambo ni hatari sana Lizaboni...