bigboi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 1,524
- 4,760
Haki ya Nani nina hamu ya kuona kwa macho nini kitatokea siku hizo. Jeshi letu limesikika kwa kudhibiti machafuko nchi za wenzetu. sasa ni zamu ya nyumbaniNi maandamano gani ya Aman ambayo yataleta Revolution? hapo wanataka kuletea Mapinduzi. sijajua mmejipangaje kupambana na majeshi katika maandamano yenu. Haya kila la kheri
Acha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"
Ni wapumbavu na wenye akili mbilikimo tu ndio wanaweza kushabikia huo ujinga,hv maandamano kw sbbu gn??!! Mmeshindwa kufanya kz kw faida ya taifa na familia zenu,Acha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"
Haki ya Nani nina hamu ya kuona kwa macho nini kitatokea siku hizo. Jeshi letu limesikika kwa kudhibiti machafuko nchi za wenzetu. sasa ni zamu ya nyumbani

Tunawatahadhalisha tu. Baada ya kuvunjwa miguu na kufumuliwa vichwa wasianze kulalamika kutafuta sympaty za Jumuiya za Kimataifa. Mapinduzi hudhibitiwa kwa silaha za motoOk kwahiyo nyinyi mnaoleta hizi nyuzi ni jwtz? Wao wapo kimya aliyeongea mpaka sasa ni Siro na sisiemu.
Na mnavyoleta hizi nyuzi utadhani waliopanga kuandamana hawajui kama kuna askari, jkt, jwtz na migambo.
Mapinduzi hudhibitiwa kwa silaha za moto. Nawaonya tenaMtoa mada hebu tuambie maana ya mapunduzi? mapinduzi yanayoenda kufanyika ni mapinduzi ya kutandika uhuru wa demokrasi ambapo kubwa la madikteta limevuvja katiba kwa kuzuia kila kitu hata ukilikosoa linakuuwa kwa bunduki.
Hahahah ni sawa na JKT eti kila siku X ana jongo kambini hakamatwi, jaribu wewe uone utakavyokula msoto wa quarter guard.Hii ya Gadhafi na Tanzania ni mbingu na nchiGadafi alitisha hivyo hivyo mwisho wa siku alifia kwenye mtaro wa mavi
hahahahahahahaaaaaa. Whether mtabeba biblia ama bendera. Maadam lengo lenu ni Revolution lazima mdhibitiwe kwa silaha za motonitashangaa kama polisi wakitumia silaha za moto , maana waandamanaji siku hiyo tutakuwa tumebeba BIBLIA NA QURAN takatifu...... Tukiomba Mungu atuletee mapinduzi ya viwanda,kifikra,kiroho na kiakili Tanzania
Congo mbona watest huko na matokeo unayajuaHapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao
Wawaulize wenzao waliopanga miaka ya 80s kama walifikia malengo, tena wao walipanga kwa siri, sembuse nyie mnafanya mipango FB, INSTA. Kwanza inaonyesha hamjiamini inabidi mpate ushauri instagramNi maandamano gani ya Aman ambayo yataleta Revolution? hapo wanataka kuletea Mapinduzi. sijajua mmejipangaje kupambana na majeshi katika maandamano yenu. Haya kila la kheri
Nipo shule ndugu tena huku nchi za watu. Nimeibuka kwenye hii ishu kutokana na jinsi inavyotaraji kuzaa vilema watarajiwa na marehemu watarajiwa. Ni vema hawa wanaotaraji kufanya hivyo tukawapa somo la kutosha. Maana wengine wanaendeshwa na akili za Wanyonya Koni huko ng'ambo