TV Imaan: Maaskofu wa Kanisa Katoliki siyo Wazalendo, MoU ya Kanisa ilitoa Masharti Serikal isijenge Shule wala Hospital zilipo huduma zao kama Hizo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema 🌟
 
TEC wawatu walizungumzia mkatba peke yake hawakumtaja mtu yoyote, Hawakulalamikia dini yoyote.

Shida sasa kwa Viongozi wa dini wa Kiislam ni kwamba wanailalamikia TEC kwa mambo yaliyopita.

Inawezekana waislam mnao hoja ya hayo mnayosem ila zungumzie bandari tuu basi yaaan tafuteni hoja za kisheria sio sharia ambazo zinaonesha Makubaliano (mkataba) huu unafaa maana ndio ambalo liko mezani.

Maana tumeona hadi mahakama ishasema kuna shida zipo kwenye IGA japo hawajatengua.

Basi nanyi teteni mkatana kwa hoja(vifungu vya sheria). Swala la kuishambulia TEC moja kwa moja ni ishara ya kuonekana mnatumiwa hata kama sio kweli.

Ni kama upigwe leo utafute machozi ya mambo mengi ulofanyiwa huko nyuma ili ulie zaidi.
 
TEC wawatu walizungumzia mkatba peke yake hawakumtaja mtu yoyote, Hawakulalamikia dini yoyote.

Shida sasa kwa Viongozi wa dini wa Kiislam ni kwamba wanailalamikia TEC kwa mambo yaliyopita

Inawezekana waislam mnao HOja ya hayo mnayosem ila zungumzie bandari tuu basi yaaan tafuteni hoja za kisheria sio sharia ambazo zinaonesha Makubaliano(mkataba) huu unafaa mana ndo ambalo liko mezani.

Maana tumeona hadi mahakama ishasema kuna shida zipo kwenye IGA japo hawajatengua.

Basi nanyi teteni mkatana kwa hoja(vifungu vya sheria). Swala la kuishambulia TEC moja kwa moja ni ishara ya kuonekana mnatumiwa hata kama sio kweli.

Ni kama upigwe leo utafute machozi ya mambo mengi ulofanyiwa huko nyuma ili ulie zaidi
Atakujibu FaizaFoxy
 
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema
Hawa wapumbavu wavaa vipedo na kobazi badala ya kuzungumza yao wanawajadili maaskofu. Wapuuzi kama hawa ndiyo wanaudhalilisha Uislam.
 
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema 🌟
Kwa maana Serikali haina Hospital inazomiliki na Shule? Basi sawa tumewaelewa mashekhe wetu
 
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema 🌟
Tuletee nakala ya hiyo MoU kati ya serikari na makanisa.
 
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema 🌟
Huo siyo mjadala, nivijembe tu. Kama ungekuwa mjadala wangewaita viongozi wawili/watatu au hata tu katibu mkuu wa TEC na kufanya huo mjadala. Badala yake wao wanawatuhumu TEC as if TEC ilituhumu dhehebu lolote. Bure kabisa!
 
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema 🌟
Kukata mzizi wa fitina, MoU yote ingewekwa humu.
 
Mjadala ni moto sana hapa Tv Imaan Mashehe wanajadili Waraka wa TEC

Shehe anahoji kama Maaskofu Katoliki ni Wazalendo mbona miongoni mwao walipokea fedha za kifisadi za escrow?

Mbona MoU ya Kanisa imezitenga Dini nyingine?

Mbona MoU imetoa Masharti kwa Serikali isijenge Shule wala Hospital Kwenye maeneo ambayo tayari Kanisa lina Shule na Hospital

Mashehe wamesema hata Nigeria Kanisa Katoliki ndio Chanzo cha mauwaji ya Mujahideen

Mjadala unaendelea

Karibu

Nawatakia Dominica njema 🌟
Ukikutana na upumbavu uache hukohuko..
 
Shida ya maaskofu tangu kuzaliwa kwao hadi hapo walipo ni wazee..hawajawahi kununua hata chochote kwa hela yao.wanalishwa tu wanavalishwa.kila kitu wanaghalamiwa..hivyo hawajui ugumu wa maisha kabisa.
Mwanaume utapataje akili kama huna mke, huna watoto, unalishwa, mivinyo wanaletewa wanajaza kwenye majokofu.

Mwanadamu wa aina hii ni tatizo tu.
 
Yanakuhusu Nini????
 
Back
Top Bottom