Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 34,055
- 79,399
NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO;
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake.
2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli.
3. Wanawake wanaeleweka Sana kwa Wanaume wachache wenye kuwazidi Akili. Na mara zote wanaume hao ndio huwa ndoto za wanawake wengi.
4. Wanawake hu pretend hawajui wanachokitaka lakini hizo kwa Sisi Watibeli tunajua NI drama tuu. Wanawake wanajua nini wanataka
5. Wanachofanya ni Mindgame, manipulation, dark psychology kuwachota Akili wanaume wajinga.
6. Hakuna kitu chochote mwanamke atafanya alafu hajakusudia.
Kusema anahasira sijui mood swing ni Tricks tuu ambazo huzitumia baada ya wewe kuingia kwenye mfumo wake.
7. Kiasili wanawake ni Wavivu. Na kikawaida watu wavivu ni smarter kuliko wachapakazi.
8. Mwanamke huchukua dakika chache tuu kuwajua wanaume wengi ambao anawazidi upeo. Yaani unaposimama mbele ya mwanamke elewa Kila atakachokifanya kuanzia kukuangalia, mapozi, kuongea ni test za kukupima na kukujua wewe ni mwanaume wa aina gani.
9. Wanaume wengi wenye upeo Mdogo huwachukulia serious wanawake na hili ni kosa ambalo wanawake huliseti kimakusudi ili ukishaingia kwenye mfumo unajikuta kwenye laini.
10. Mwanamke anapokuambia anapenda mwanaume serious, usiye na mzaha, au akaonyesha anaharaka na hana muda, anapima value yako. Mara nyingi jitahidi uwe opposite na Mwanamke ndiyo njia sahihi ya kum- win mitihani yake.
11. Akikukasirisha usikasirike.
Akikusifia usijae.
Akikuambia hana muda, nawe usiwe na muda,
Akikuambia anataka mwanaume anayejua kuhudumia, usimhudumie. Au mpe robo ya matarajio yake.
12 Kwa nini Wanawake wanaakili nyingi kuliko wanaume wengi. Sababu ni kama ifuatavyo;
a) Wanawake wengi Wana standards
Watu wenye Akili Siku zote Wana standards zao.
Wanawake karibu wote wanastandard hii inawafanya waonekane wanaringa.
Mtu yeyote mwenye standard lazima aonekane anaringa.
Hii ni tofauti na wanaume.
Wanaume wengi hawana standards. Wanaume huweza kudate na mwanamke yeyote. Hiki ni kiashiria kinachoonyesha wanawake wanaakili kuliko wanaume wengi.
b). Wanawake wanaweza kudhibiti tamaa ya miili Yao kuliko wanaume.
Licha ya kuwa wanawake miili Yao inanyege Kali zaidi ya Sisi wanaume lakini wao wanaweza kujidhibiti na kuhakikisha wanatengeneza mazingira wanaume ndio waonekane wanawahitaji zaidi kuliko mwanamke anavyomhitaji mwanaume. Kitu ambacho kiuhalisia hakipo hivyo.
c) Wanawake huchagua Mwenza Bora na mwenye tija
Watu wote wenye akili huwezi ingia kwenye cycle Yao kama hauna tija yoyote.
Wanawake huchagua Wenza watakaoleta tija kwenye maisha yao.
Hii ni tofauti na wanaume wengi ambao upeo wao ni Mdogo. Wengi wao hata kama mwanamke Hana msaada wowote wao huamua kuwa nao.
d) Wanawake wengi huweza kufanya maamuzi magumu kumuacha MTU asiye na faida.
Hiya ni Akili. Akili inawaza tija tuu. Moyo hauwazi hayo.
Mwanamke Siku utakapoisha tija kwake ndio Siku hiyohiyo atafanya maamuzi magumu kukuweka pembeni.
Kisayansi na kiakili kitu kisicho na faida kinatakiwa kiwekwe pembeni.
Wanaaume wengi hawawezi.
e) Wanawake wengi ni wabahili,
Wenye akili wote duniani ni bahili. Kwa sababu hawafanyi mambo kwa mihemko.
Mwanamke mpaka ule hela yake ujue unatija Sana. Yaani unafaida kubwa Sana kwake na unathamani kubwa.
Wanaume wengi they don't deserve kupewa pesa kwa sababu thamani zao ni ndogo.
Mwanamke hawezi kukupa pesa kama huna tija.
Lakini wanaume wengi kutokana akili ndogo sio ajabu akakutana tuu na mwanamke barabarani akampa pesa.
Katika moja ya mambo yanayowashangaza wanawake ni ujinga wa kiwango hicho kinachofanywa na wanaume ambapo wenye akili za kawaida hawezi kufanya hivyo.
Fikiria ati mwanamke akukute barabarani umependeza alafu amuombe pesa labda elfu tano. Hakujui humjui. Alafu akupe. Mwanamke ni Smarter than you hawezi kufanya kitu kama hicho. Sio kwamba hana ila swali ni kwa nini akupe? Unastahili Kula jasho lake?
f) Wanawake wangekuwa wanaume Wengi wao wangekuwa Alpha Male.
Wanawake wanaakili Sana hivyo wanahitaji mwanaume mwenye akili zaidi yao. Ukiona mwanamke anakusumbua ujue kuna mambo makuu mawili, hakupendi au huna akili za kutosha kummudu.
Wanawake ni alpha Male katika umbile la kike. Wanapenda ubabe, wanapenda wakisema Jambo lifanyike, hawataki kubembeleza.
Ukitaka ujue tabia Yao hiyo, Angalia wanapo act wanapokuwa na watu waliochini yao, kama watoto au wafanyakazi waliochini yao.
Mkeo angalia anavyoreact na watoto wake. Ndivyo wanataka wanaume wawe hivyo.
h) Wanawake wanauwezo wa kutumia nguvu ndogo kupata kikubwa.
Akili ni pamoja na kujua kutumia nguvu kidogo ili upate kikubwa.
Mwanamke haoni shida kujishusha ili akupune, au ajifanye haelewi kitu kumbe anakuchora tuu. Hizo ni mbinu Ambazo hata kwenye ujasusi utafundishwa. Na tabia nyingi za kijasusi wanazo wanawake.
Wanawake huzaliwa wakiwa majasusi. Wanaume ni mpaka wafundishwe au wajifunze.
Mwanamke unapomdanganya anajua unamdanganya. Isipokuwa wanapenda kudanganywa.
Wanapenda kuishi kwenye imagination
Wanapenda kufuata hisia zao.
Wanapenda kuassume.
Hata kama huna pesa. Unapomtania mwanamke na kumchombeza wewe ni bilionea na utakuja kuwa na pesa mingi. Alafu pesa zote utamuachia. Yeye ataassume kisha filamu anayoiona kwenye akili yake kwa vile inampa furaha ataamua aishi nayo hata kama kiuhalisia haipo.
Mwanamke hataki ukweli kama haumfurahishi. Anachotaka ni furaha. Hilo tuu.
Mimi nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam