ndugu zangu ni jambo la
kawaida kusikia msemo unaosema 'wanawake hawapendani' na upo hata msemo
mwingine unaosemwa 'adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake'. wadau
napenda tujadili hili swala, je ni kweli wanawake hawapendani? na kama
ni kweli wanawake hawapendani ni kwasababu gani hawapendani? mbona
haisemwi wanaume hawapendani!
kama wanaume mnapendana mbona hamtaki wake zenu walalwe na wanaume wengine?
mie kuna wakati naiamini hii theory,otherwise kwa nini tunachukuliana waume,na kunyanyasa watoti wa kambo
Ndugu zangu kwenye ukweli tuseme ukweli, kumbukeni ule msemo usemao "wanawake ni viumbe dhaifu" sijui maana ya neno hili,but kuna wakati naamini maana unaweza ukawa,mfano mie na mke wangu Evelyn Salt tunatembea mitaani gafla tuna kutana na Madame B akiwa na Ben Saanane ,hawa wanawake ukiwatazama kwa umakini unaweza kuwaona jinsi wanavyo betuliana midono,hii inaonyesha kuwa wanawake wanaongea lugha yao ambayo mwanaume hato ielewa. Hivyo basi mwanamke na mwanaume wanatabia ambazo kila mmoja anajiona yeye afanyavyo ndivyo.
My boo....nakupenda pia.Nimefurahi pia kuona umeanza kunywa maziwa asubuhi
Nilikua napambana na wewe maana ulivyokua unapenda kula Ice cream asubuhi asubuhi ulinitia wasiwasi.
Chako kipende,chako kilinde.Nitakulinda daima!
Usijali switii wangu,
Mimi na wewe mpaka kifo.
Si unajua Ice cream ulinizoesha wewe wakati tuko kule Tanga?........ au umesahau?
Usijali........... nitakupenda na kukulinda daime Mpenzi wangu.
Anakusalimia shemeji yako Mr Rocky..........
![]()
akitoka kuliko mimi nachukia,
akipuliza pafum nzuri kuliko yangu nachukia
akiwa na miradi mingi kuliko yangu nachukia vilevile
akiwa anatolewa out hata kama na mumuwe kila siku ananiboa vile vile
akijifanya msafi sana ananiboa vile vile
hata Kongosho ananiboa kisa anatoka na Bishanga ntampendaje
hata Madame B naye hivyo hivyo, daaaaaaaaaaah!!!!!!!!!
kwa kuanzia hapo tu pana aina yoyote ya upendo utakaopenyeza kweli
Mr Rocky shemeji yangu,.........
Madame B kweli hapa umeshindwa,
unapenda kama nini vile, pole sana bi shost.
sitaki kuamini kuwa mwaJ hapatani na Zion Daughter
We we weeeeeee! Mie na mwanangu Zion Daughter tunapendana sana tu! Tena usianze kututafutia chokochoko.
Mamndenyi nikikushika nitakugongesha hicho kichwa chako ukutani maana unaonekana mgumu wa kuelewa! Narudia tena! Usinihusishe na Bujibuji! Jamani utaacha nilie kwa makelele hapa! Sijui nimuite nani anaisaidie hapa!ha ha ha haaaaa
utahesabu una mwanaume hapa kweli?
ndugu zangu ni jambo la kawaida kusikia msemo unaosema 'wanawake hawapendani' na upo hata msemo mwingine unaosemwa 'adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake'. wadau napenda tujadili hili swala, je ni kweli wanawake hawapendani? na kama ni kweli wanawake hawapendani ni kwasababu gani hawapendani? mbona haisemwi wanaume hawapendani!
Huu mchezo wa kuvizia Thrade za asubuhi-asubuhi umeunza lini?
Kwanza sio mida yako hii ya kuvinjari jamvi ! Punguza kuchungulia ! Hamtetwi walau kiduchu , mshatia maguu!
Tena wiki hii nnajifil apetaiti ya kukutetateta tu! Ngoja nikushobokee!