ni kweli wanawake hawapendani?

ni kweli wanawake hawapendani?

kweli kabisa nimekuamini mwaJ
kweli nimekubali kuwa huyo mutu kwako ndo basi tena,
kweli nimekubali but excuse me pale nilipokuumiza dear mwaJ.

Mamndenyi nikikushika nitakugongesha hicho kichwa chako ukutani maana unaonekana mgumu wa kuelewa! Narudia tena! Usinihusishe na Bujibuji! Jamani utaacha nilie kwa makelele hapa! Sijui nimuite nani anaisaidie hapa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom