ni kweli wanawake hawapendani?

ni kweli wanawake hawapendani?

mhalisi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
1,181
Reaction score
322
ndugu zangu ni jambo la kawaida kusikia msemo unaosema 'wanawake hawapendani' na upo hata msemo mwingine unaosemwa 'adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake'. wadau napenda tujadili hili swala, je ni kweli wanawake hawapendani? na kama ni kweli wanawake hawapendani ni kwasababu gani hawapendani? mbona haisemwi wanaume hawapendani!
 
Ukitaka kujua ukweli wa msemo huu angalia kwenye ulingo wa siasa,ukweli ni kuwa sensa inaonyesha nchi nyingi wanawake ni wengi kuliko wanaume (ikiwemo tanzania),lakini shuhudia ukija upigaji kura si wanawake si wanaume wote kura huwa wanazimwaga kwa wagombea wanaume hata kama kuna mgombea mwanamke.
Kuna tetesi Dr Asha Rose Migiro huenda akagombea uprezidaa,embu nambie umesikia mwanamke gani anafungua mdomo kusema 'yes Dr go go go'? Lakini angalia kina magufuli,El,wassira etc wanavyopigiwa upatu....tells you everything.
 
Wanawake sio watu ndo maana ile amri ya upendo wanaipuuzia. Hayo ndiyo majibu sahihi ya maswali yako yote.
 
Afu weweee, basi tu

Ukitaka kujua ukweli wa msemo huu angalia kwenye ulingo wa siasa,ukweli ni kuwa sensa inaonyesha nchi nyingi wanawake ni wengi kuliko wanaume (ikiwemo tanzania),lakini shuhudia ukija upigaji kura si wanawake si wanaume wote kura huwa wanazimwaga kwa wagombea wanaume hata kama kuna mgombea mwanamke.
Kuna tetesi Dr Asha Rose Migiro huenda akagombea uprezidaa,embu nambie umesikia mwanamke gani anafungua mdomo kusema 'yes Dr go go go'? Lakini angalia kina magufuli,El,wassira etc wanavyopigiwa upatu....tells you everything.
 
Ni watu bana ndo maana wametuzaa.

Bakery sio mkate;
Data sio information;
Mgomba sio ndizi;
Mbuni sio kahawa;
Mpunga sio mchele,
Yai sio kuku;
Wao ni malighafi kwa ajili ya kutengenezea binadamu.

Bin = Mwana
Adam = Mwanaume / mtu aloumbwa na Mungu kwa mfano wake (Mungu) WANAUME HALISI

Hawa = Msaidizi wa Adam

Hawa-elewi
Hawa-pendani
Hawa-eleweki
Hawa- jazia lolote ni la kwao hao akina hawa.
 
Bakery sio mkate;
Data sio information;
Mgomba sio ndizi;
Mbuni sio kahawa;
Mpunga sio mchele,
Yai sio kuku;
Wao ni malighafi kwa ajili ya kutengenezea binadamu.

Bin = Mwana
Adam = Mwanaume / mtu aloumbwa na Mungu kwa mfano wake (Mungu)
Mmmmmmhhhhh sitii neno hapa,subiri waje wenyewe.
Kopi: Faiza foxy........kuna mtu ananchekesha.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmhhhhh sitii neno hapa,subiri waje wenyewe.
Kopi: Faiza foxy........kuna mtu ananchekesha.

Waje tu na maneno yao ya ajabu ajabu yote ni kwa sababu wametanguliwa na negativity sign HAWA.....
 
Hehe heiyaaaaaaaa!!

Mi napita hapa.. Subirieni majibu ! Mie ndukiiiiiiiiiii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Bakery sio mkate;Data sio information;Mgomba sio ndizi;Mbuni sio kahawa;Mpunga sio mchele,Yai sio kuku;Wao ni malighafi kwa ajili ya kutengenezea binadamu. Bin = MwanaAdam = Mwanaume / mtu aloumbwa na Mungu kwa mfano wake (Mungu) WANAUME HALISIHawa = Msaidizi wa AdamHawa-elewiHawa-pendaniHawa-elewekiHawa- jazia lolote ni la kwao hao akina hawa.
Hawa-wezi kuzaa toto kama wewe
 
mi nalipa zile ambazo
sijafunga kipindi cha kwaresma!
sitii neno ila Tutor B nakutamanije?!!
 
Last edited by a moderator:
...hawapendani..!! Walishakiri hapa
 
Back
Top Bottom