Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,769
- 55,489
Wanawake sio watu ndo maana ile amri ya upendo wanaipuuzia. Hayo ndiyo majibu sahihi ya maswali yako yote.
una mama?
Wanawake sio watu ndo maana ile amri ya upendo wanaipuuzia. Hayo ndiyo majibu sahihi ya maswali yako yote.
Sio watu ila ni?Wanawake sio watu ndo maana ile amri ya upendo wanaipuuzia. Hayo ndiyo majibu sahihi ya maswali yako yote.
ndugu zangu ni jambo la kawaida kusikia msemo unaosema 'wanawake hawapendani' na upo hata msemo mwingine unaosemwa 'adui ya mwanamke ni mwanamke mwenzake'. wadau napenda tujadili hili swala, je ni kweli wanawake hawapendani? na kama ni kweli wanawake hawapendani ni kwasababu gani hawapendani? mbona haisemwi wanaume hawapendani!
Bakery sio mkate;
Data sio information;
Mgomba sio ndizi;
Mbuni sio kahawa;
Mpunga sio mchele,
Yai sio kuku;
Wao ni malighafi kwa ajili ya kutengenezea binadamu.
Bin = Mwana
Adam = Mwanaume / mtu aloumbwa na Mungu kwa mfano wake (Mungu) WANAUME HALISI
Hawa = Msaidizi wa Adam
Hawa-elewi
Hawa-pendani
Hawa-eleweki
Hawa- jazia lolote ni la kwao hao akina hawa.
Zambi ujue,halafu ujue mwalimu mkuu amekataza vya baba na mama.
Kweli wewe ni kiazi (tena kile ambacho kikipikwa hakiivi).
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Yawezekana wakawa hawapendani mf. Hapa jamvini Madame B hampendi Jeni 007, Kipipi hampendi Miss Bantu , Cantalisia hampendi Kongosho.
Bila shaka umeongea kinyume chake.
Yawezekana wakawa hawapendani mf. Hapa jamvini Madame B hampendi Jeni 007, Kipipi hampendi Miss Bantu , Cantalisia hampendi Kongosho.
Unacheza na wanawake wewe. Huwa wanapenda kujipendekeza kwa wanaume tu na si kwamba hawapendani kihivyo. Jambo jingine ni kwamba kila mwanamke anamdhania mwenzake kumwibia mmewe au mchumba wake. Ndo hapo lilipo tatizo tu na si vinginevyo.
Wala si jambo la kuuliza
Ni kweli hatupendani hasa katika maswala ya kimaendeleo
Ukipata mume anayejielewa/kazi nzuri/ukaishi mahali pazuri/ukala na kuvaa vizuri tayari ni tatizo
Waliopo makazini ndo kabisaaaaaa usiseme
Kwa upande mwingine wanawake wana mapenzi ya dhat na kweli ndo mana wakaitwa mama au mke mwema
Wengine ni afadhali na roho ya chui mana wapo radhi hata kutoa uhai wa mtu
Kwa uchache ni hayo tu mkuu.
Shem, ushawahi kusutwa?
Sasa endelea.