Ni kweli USA supremacy ina collapse?

Ni kweli USA supremacy ina collapse?

Herzog

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2022
Posts
4,129
Reaction score
4,859
Habari wakuu,

Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.

NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.

Karibuni wakuu
 
wew umesha toa conclusion yako sisi ni nani sasa tupingane na mawazo yako ndugu mtaalam wa masuala ya kitaifa na kimataifa kutokea hapo NSA Rangi3
 
Ngoja wamarekani wa Kibaigwa waje wakumwagie povu.

Btw: Marekani siku hizi imekuwa hamna tofauti na third world countries, nayo yapigwa na njaa!

Marekani hakuwa na ushawishi wowote,Ila alikuwa anaogopwa kwa sababu ya propaganda zake.Lakini vita ya Ukraine imemvua nguo.Si unaona SADC juzi walivyomdindia!.

Biggest economies in 2021 by gross domestic product​

RankCountryGDP in billion $GDP in $ per capita
1United States22,996.169,288
2China17,734.112,556
3Japan4,937.439,285

Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
 
Ujaielewa comment yangu tumepita njia tofauti.
 
Biggest economies in 2021 by gross domestic product​

RankCountryGDP in billion $GDP in $ per capita
1United States22,996.169,288
2China17,734.112,556
3Japan4,937.439,285

Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
Ushawishi ni kitu kingine, na GDP kubwa ni jambo jingine...
 
Biggest economies in 2021 by gross domestic product​

RankCountryGDP in billion $GDP in $ per capita
1United States22,996.169,288
2China17,734.112,556
3Japan4,937.439,285

Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
China anaenda kumpiku sio mda ingawa marekani anajitahidi kumkandamiza
 
Biggest economies in 2021 by gross domestic product​

RankCountryGDP in billion $GDP in $ per capita
1United States22,996.169,288
2China17,734.112,556
3Japan4,937.439,285

Boss, Tukiongelea interms of GDP, kufikia 2021 ushawishi wake upo juu. Labda ushawishi katika angle nyingine ila nchi nyingi hupendelea kuwa na diplomasia nzuri na nchi zenye GDP kubwa.
Unaweza kua na GDP kubwa ila huna influence kwa mataifa mengine
 
Habari wakuu,

Kulingana na upepo unavyoenda sasa inasemekana ushawishi wa Marekani kisiasa na kiuchumi unakwenda kuanguka kwa kasi. Binafsi sio mtaalam wa siasa za kimataifa hivyo nilikua naomba wadau wenye uelewa wa haya mambo wanisaidie kama hii inshu ni kweli au ni porojo tu za vijiwe vya kahawa.

NB: Tafadhali wakuu naomba tuweke ushabiki pembeni tujadili facts.

Karibuni wakuu
Umeuliza swali
Bado haujaweka hoja tujadili
 
Waulize hao Hao Pro-Putin ushawashi wa Marekani unaanguka kwenye nyanja ipi uone wanavyotoa macho kama mjusi aliyebanwa na mlango.

Back
Top Bottom