Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

imenisikisha sana eti uropokaji wa kilofa wa polepole umefanya chadema masalia kumsahau kabisa Tundu Lisu,

unadhani kulikoni hali hiyo imejitokeza ghafla 🐒
Mbona umepanick na kuweweseka sana gentleman, hebu tuambie tatizo ni nini?
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Kazi unayo mwaka huu😂🤣🤣 Gwajima ni 24 au 25 hivyo kaa kwa kutulia
 
kwa Neema na Baraka za Mungu kazi na majukumu yangu ya kila siku yanakwenda vizuri sana na kwa ufanisi wa kiwango cha juu sana gentleman.

why Lisu kusahaulika ghafla hivi ndugu mdau? Kawakosea nini na yupo korokoroni?🐒
 
Vipi umetoboa kwa kura feki mbele ya wajumbe? Ulichakachachua ngapi vile!?😂
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Acha kuishi kwa kubahatisha maisha,ishi maisha halisi itakuwa huru,unachotakiwa kujua ni kuwa kila kitu kipo kwenye mwelekeo wanaoutamani wazalendo na sii ule uelekeo wa wahuni/wanamtandao!
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Lissu kuendelea kuwa lock up ndio tatizo zaidi kwa sababu hakuna cha kuwaunganisha wanaccm ukipita vijiweni wanaccm wanaponda upinzani wanaponda lakini kungekuwa na siasa halisi kila mtu angekuwa upande wake
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Ya Lissu subiri mahakama kuu ipange tarehe ya kesi na bi Mashavu na henchmen wake wapewe summons.
Huko Sweden Matinyi anaomba poo kwa kesi ya Lissu.
 
Back
Top Bottom