Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

Mkuu wajumbe walikupitisha?
vikao vya kitaifa vya uteuzi vinaendelea gentleman, huenda kesho, wale ambao chama kitaridhishwa nao wakatangazwa rasmi.
Ni muhimu kua wastahimilivu na wenye subra kuhusu hilo.

But wajumbe walifanya kazi nzuri mno kwangu na ninawashukuru sana kwa kunipatia nafasi ya kuniskiliza, kunielewa na hatimae kwa kura za hiari yao kuamua walichoamua kwa maslahi yao wenyewe.🐒
 
Watu wanakusikia ukizungumza ukimaliza watu wanaendelea na majukumu yao.Akija mwinginena mwingine tunamskiliza mara tu amalizapo kuzungumza tunaendelea na majukumu yetu.Hata wewe Tlaatlaah siku ukizungumza tutakusikiliza mara umalizapo maisha yanaendelea kujenga taifa na familiaHii ni desturi ya watanzania wazalendo hasa ukiwa unazungumza utapeli wa kisiasa
Tundu Lisu amesahaulika kabisa mitandaoni kwa ujinga na upotoshaji wa polepole dah 🐒
 
Mkuu kweli polepole kakupapasa pabaya yaani umewashwa siku nzima?
imenisikisha sana eti uropokaji wa kilofa wa polepole umefanya chadema masalia kumsahau kabisa Tundu Lisu,

unadhani kulikoni hali hiyo imejitokeza ghafla 🐒
 
Dah mpwa pumzika sasa 😁😁😁😁
Mpwa kachanganyikiwa mno, yuko kwenye denial state. CCM wamechanganyikiwa kiasi hoja hazijibiki tena, ngumi zinamiminika kiasi kwamba wanatafuta pa kukumbatia, punde tu jitu litadondoka na kulamba sakafu.

Vv
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Moto ni ule ule.
 
Utaniwekea kaclip basi
Maana sisi watazamaji tu na wasikilizaji

Ova
kwasasababu ni jambo la kitaifa,
litakua live kwenye vyombo vya habari vyote nchini, haina kificho au mbambamba yoyote ile gentleman.

CPA Amos Makala atakua live 🐒
 
kwasasababu ni jambo la kitaifa,
litakua live kwenye vyombo vya habari vyote nchini, haina kificho au mbambamba yoyote ile gentleman.

CPA Amos Makala atakua live 🐒
Basi ntamtumia ujumbe hyo cpa makala anipe mwenyewe link nimtazame 😄

Ova
 
Mbona Ndg yangu Tilalila nimekuuliza mnalipwa bei gani? Acha roho mbaya
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Safiiivbuku 7 chaapu
 
Mbona Ndg yangu Tilalila nimekuuliza mnalipwa bei gani? Acha roho mbaya
Gentleman,
kazi za kizalendo za kujitolea kama hii ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi, malipo yake ni neema na baraka za Mungu tu na si vinginevyo 🐒
 
Mpwa kachanganyikiwa mno, yuko kwenye denial state. CCM wamechanganyikiwa kiasi hoja hazijibiki tena, ngumi zinamiminika kiasi kwamba wanatafuta pa kukumbatia, punde tu jitu litadondoka na kulamba sakafu.

Vv
naona pwagu na pwaguzi mnapotoshana kindezi na kupeana moyo kilofa kabisa dah 🤣
 
uzuri wote wanacheza ngoma ya lissu. imagine hekaheka zote, chanzo ni yeye. ni dhairi wengine hulipwa pia wakimnanga lissu. kina polepole na gwajima wameibushwa na moto huu kuzimika sio rahisi sana.
 
uzuri wote wanacheza ngoma ya lissu. imagine hekaheka zote, chanzo ni yeye. ni dhairi wengine hulipwa pia wakimnanga lissu. kina polepole na gwajima wameibushwa na moto huu kuzimika sio rahisi sana.
umepigaje apo gentleman?🐒
 
Back
Top Bottom