Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Tulia sindano ikuingie
 
sure,
wengi wamekataa kubebwa ufala wa kifikra na matapeli wa kisiasa nchini kama polepole 🐒
Au sio. Ila ipo siku tutazungumza lugha moja. Kwasasa endeleeni kuhudumia matumbo yenu.
 
kwani hapa tunazungumza lugha mbili gentleman?

au unaandika koment huku una weweseka?🐒
 
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah

Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.

kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Hao ni wake wenza wanapambana kumchafua ex husband
 
41DCBE09-4E43-415A-B352-E3B27C60CEB4.jpeg

Nakuongezea na ya kuchukua picha yangu
 
najaribu tu kuwajulisha wadau wa JF kwamba Tayar chadema wamemtelekeza Lisu korokoroni na sasa wanafurahia zaidi upotoshaji wa polepole 🐒
Mtapata shida sana. Mliweza kusukuma mambo yenu kwa vitisho; huyu kawalipua akiwa mafichoni, unasengenya ajitokeze mmnyamazishe. gentleman epuka kusaliti nchi yako.
 
ila mwanaume mbea ni jambo la kusikitisha sana aise,

ili utoe umbea wako Lazima ujifiche mafichoni dah 🐒
 
Back
Top Bottom