Ni kweli taarifa ya Polepole imezima tamko la Gwajima?

Gentleman,
kazi za kizalendo za kujitolea kama hii ya kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi, malipo yake ni neema na baraka za Mungu tu na si vinginevyo šŸ’
Acha uongo wewe, mnakula vibuku buku ndio maana Jana hujalala unasubiri Polepole anasema niini. Ndio maana saa tisa usiku ukarusha post ya kukosoa na kutukana. Unalipwa wewe. Mkeo ulimwacha na nani mpaka saa Tisa uko macho kodo unamkosoa Polepole?
 
Kwa hiyo Wewe leo una machungu na Lissu ukitaja tu reforms Tayari umemtaja Lissu vijana hata akili dogo huna ujui hata jambo dogo
 
kweli kabisa gentleman Tundu Lisu amesahaulika korokoroni, na chadema masalia yote imemtelekeza na kuhamia kwa mpotoshaji polepole?šŸ’
 
Sisi malofa na makenge ndio, lakini hatuendi kupiga kura.
Yes,
mkae nyumbani kwa amani,
na mfuatilie matangazo mubashara kupitia JF na kwenye TV, jinsi mamilioni ya waTanzania watakavyokua wanainjoy kutumia uhuru na haki zao za msingi za kupiga kura wewe mbabaishaji ukishuhudia live na roho ikikuumaaaaa šŸ’
 
Kwa hiyo Wewe leo una machungu na Lissu ukitaja tu reforms Tayari umemtaja Lissu vijana hata akili dogo huna ujui hata jambo dogo
Yes,
nina uchungu mno gentleman,
kulikoni Lisu ametelekezwa kwasabb tu ya upotoshaji wa polepole? na muungwana yupo anasota korokoroni.

kwa maoni yako unadhani kwanini hii imetokea ghafla hivi?šŸ’
 
Mnajaribu kila mbinu kuisambaratisha lakini bado imo kwenye mioyo ya watu. Nani kamtelekeza Lissu?? Angekuwa ametelekezwa usingeona mtu wa CHADEMA Mahakamani.

Angekuwa ametelekezwa usingeona anatajwa humu, unaona hata wewe na ma CCM mengine humu mnavyomtaja.kila mara? Kwa hiyo yumo mioyoni mwenu masaa yote hamwezi kumsahau wala kumtelekeza.

Hata ukiwa umelala na mkeo, unamfikilia na kumuota Lissu ndio maana huachi kuandika habari zake..kwa kifupi unamkubali sana.
 
Ingekua nchi nyingine alichoongea tu kingetosha kuleta sintofahamu kwenye usalama wa taifa.
 
Yes,
nina uchungu mno gentleman,
kulikoni Lisu ametelekezwa kwasabb tu ya upotoshaji wa polepole? na muungwana yupo anasota korokoroni.

kwa maoni yako unadhani kwanini hii imetokea ghafla hivi?šŸ’
Una uchungu kwani mmeo?
 
Mnajaribu kila mbinu kuisambaratisha lakini bado imo kwenye mioyo ya watu. Nani kamtelekeza Lissu?? Angekuwa ametelekezwa usingeona mtu wa CHADEMA Mahakamani.

Angekuwa ametelekezwa usingeona anatajwa humu, unaona hata wewe na ma CCM mengine humu mnavyomtaja.kila mara? Kwa hiyo yumo mioyoni mwenu masaa yote hamwezi kumsahau wala kumtelekeza.

Hata ukiwa umelala na mkeo, unamfikilia na kumuota Lissu ndio maana huachi kuandika habari zake..kwa kifupi unamkubali sana.
Lisu katelekezwa na kusahaulika gentleman,
kwani umeona anatajwa tena? si juzi aliandika barua ya kuaga wafuasi wake ikapuuzwa tu,

huko sio kumtelekeza?šŸ’
 
Mbona wewe hapo unamtaja kila muda na uko CCM. Sembuse CHADEMA
 
najaribu tu kuwajulisha wadau wa JF kwamba Tayar chadema wamemtelekeza Lisu korokoroni na sasa wanafurahia zaidi upotoshaji wa polepole šŸ’
 
Watu wanakusikia ukizungumza ukimaliza watu wanaendelea na majukumu yao.Akija mwinginena mwingine tunamskiliza mara tu amalizapo kuzungumza tunaendelea na majukumu yetu.Hata wewe Tlaatlaah siku ukizungumza tutakusikiliza mara umalizapo maisha yanaendelea kujenga taifa na familiaHii ni desturi ya watanzania wazalendo hasa ukiwa unazungumza utapeli wa kisiasa
Polepole hajataperi kitu, tunatakA uchunguzi.
 
Tilalila Leo Taifa Stars inagongwa 2 yai
Halafu sindano ni ndogo lakini ukisokomezewa, inatibu. Kwo inabidi utulie umeshasokomezewa sasa unabwabwaja tu mara Polepole, mara Lissu mara Gwajima.
 
najaribu tu kuwajulisha wadau wa JF kwamba Tayar chadema wamemtelekeza Lisu korokoroni na sasa wanafurahia zaidi upotoshaji wa polepole šŸ’
Nimeshakujibu, acha kurudia jambo lile like kama umeishiwa tulia uendelee kusikiliza gentelomen
 
Back
Top Bottom