Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 36,155
- 30,848
Je, ni kweli upotoshaji wa polepole umefunika uropokaji wa gwajima huku Lisu akiwa amesahaulika kabisa mitandaoni, maskini dah
Ama kwa hakika, drama, maisha na siasa zisizo na athari kwa jamii zinaenda kwa kasi sana Tanazania, hasa kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu huru, wa haki na wa wazi wa kihistoria Tanzania utakaofanyika Oct 29,2025.
kulikoni wote wamepuuzwa na jamii nzima kwa pamoja licha ya kuzidiana trending?
Unadhani Kwanini siasa majitaka kwenye mambo ya msingi zinapuuzwa na kila mTanzania?🐒
Mungu Ibariki Tanzania