Ni kweli mwanafunzi akisoma Shule binafsi hatapewa mkopo akifika chuo?

Mwaka jana walioomba mkopo waliokuwa wamesoma private A level au O level wengi wamenyimwa mkopo. Kama ulilipa ada ya kuanzia 800,000 per annum (sina hakika kama kiasi ni hiki) nafasi yako kupata mkopo ni ndogo. Wenzangu wengi walikosa mkopo, wawili nimesoma nao class moja walipewa msaada kama hivi kule O level. Mwaka jana wamekosa mkopo kabisa wamesubiri mwaka huu.
 
Raha ya Advanced level ni kusoma government school.. Wanaosoma private wengi wao wanaonekana kama ni vilaza.. Kwann aijiingize kwenye risk ya kukosa mkopo au kupata mkopo kwa mbinde.. Wakati nafasi/uwezo waskuovercome hyo risk ipo/upo
 
Tunahofia kutokana na matokeo yake kuna uwezekano mkubwa mtoto akapangiwa tena shule za day hapa hapa Dar. Mfano Jangwani, Kibasila, Benjamin Mkapa nakadhalika.

Sasa huyu binti kwa kweli amechoka sana kusoma day Dar. Purukushan za usafiri kutoka Tegeta au Bunju mpaka posta kwenda kurudi. Ukizingatia PCB mzee sio mchezo.

Na tukisema tusubiri apangiwe Day kisha tumfanyie uhamisho usumbufu wake sio mchezo kupata shule ya boarding.
 
Wakuu wangu wazuri nawabusu.

Kuna mdogo wangu amemaliza Form Four Kisutu girls pale posta (Shule ya serikali) ana division two.

Sasa kuna Uncle alimuahidi kuwa akipata ufaulu mzuri atamsomesha Advanced shule moja private ipo Tanga.

Dogo anatarajia kusoma PCB (tuseme combination za science)

Sasa jana kuna jamaa alikuja home akatutisha akasema huo mpango wa kumpeleka private tuachane nao mara moja. Badala yake tusubiri selection za form five.

Amedai kuwa Sera za hivi sasa za HESLB kama umesoma private (either O level ama Advanced au level zote mbili) basi mkopo hupati bila kujali ume apply course gani chuo.

Sasa nauliza wenye watoto au wadogo zenu na wadau mlioko sekta ya elimu, hii Sera ni kweli iko hivi?

Kumbuka hiyo private anatarajia kusomeshwa kwa msaada wa mtu, baada ya hapo msaada unakoma. Tunatarajia asome combination mfano PCB.
Kwenye huu utawala wa jiwe wanaweza kufanya hivyo ila enzi za JK alikuwa hana hayo mambo ya kisoro. Wote alikuwa anawapa mkopo.
 
Mbona shule nyingi hapo mjini zina hostel..!!!
So wait Tamisemi wafanye yao...
Hata transfer unaweza kuomba ili uhakikishe dogo anapata shule isiyo na purukushani
Tunahofia kutokana na matokeo yake kuna uwezekano mkubwa mtoto akapangiwa tena shule za day hapa hapa Dar. Mfano Jangwani, Kibasila, Benjamin Mkapa nakadhalika.

Sasa huyu binti kwa kweli amechoka sana kusoma day Dar. Purukushan za usafiri kutoka Tegeta au Bunju mpaka posta kwenda kurudi. Ukizingatia PCB mzee sio mchezo.

Na tukisema tusubiri apangiwe Day kisha tumfanyie uhamisho usumbufu wake sio mchezo kupata shule ya boarding.
 
Binafsi sijali wanangu kama atapata mkopo au la! ninachojali wanangu wapate elimu yakushindana duniani kama nimeweza kumsomesha private miaka yote hata wakimyima mkopo napasua kibubu atasoma tu
Hicho kitu kina Ukweli Fulani wanachukua aliyesoma shule za serikaki Mzazi wake maskini kitu ambacho si kweli Kuna wazazi Wana pesa na mavyeo serikalini na bungeni ila bahili. Wanasomesha watoto shule za serikali

Sasa hivi baada ya bodi kuonyesha wazi kuwa inapendelea waliosoma shule za serikali wazazi Wenye uwezo Wengine wameamua watoto wao wasome za serikali

Ila nitoe angalizo msingi wa mtoto kielimu unatakiwa kuwa imara hasa kuanzia shule za msingi na sekondari.Mzazi usiogope kumpeleka mtoto private kisa tu unaogopa mbele bodi ya mikopo itamnyima!!! Wewe andaa tu mwanao awe vizuri kwa level zote hasa za msingi na sekondari mengine mwachie Mungu atamsaidia mwanao mbele ya Safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa PCB kama ni binti mpelekeni shule za private akafulu. PCB kufeli form 6 ni rahisi sana.
Tunahofia kutokana na matokeo yake kuna uwezekano mkubwa mtoto akapangiwa tena shule za day hapa hapa Dar. Mfano Jangwani, Kibasila, Benjamin Mkapa nakadhalika.

Sasa huyu binti kwa kweli amechoka sana kusoma day Dar. Purukushan za usafiri kutoka Tegeta au Bunju mpaka posta kwenda kurudi. Ukizingatia PCB mzee sio mchezo.

Na tukisema tusubiri apangiwe Day kisha tumfanyie uhamisho usumbufu wake sio mchezo kupata shule ya boarding.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sijali wanangu kama atapata mkopo au la! ninachojali wanangu wapate elimu yakushindana duniani kama nimeweza kumsomesha private miaka yote hata wakimyima mkopo napasua kibubu atasoma tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri Serikali haijakusaidia kuzaa Kama haitaki kukusaidia pamoja na kuwa mlipa Kodi mzuri sio kesi .Mtoto anatakiwa aandaliwe kushindana soko la kimataifa la ajira sio soko tu la ndani la ajira.Uko vizuri kopa popote,uza gari yako ya kutembelea, shamba,nyumba kapange chumba hata hakina maji Wala umeme,uza daladala zako nk uhakikishe mwanao unamsomesha hadi kufikia anauzika soko la ajira la kimataifa.Usilenge bodi ya mikopo na soko la ndani tu la ajira.Nimekukubali uko vizuri
 
Mikopo ya chuo haieleweki wakati mwingine..Unaweza soma serikalini na bado usipate mkopo na aliyesoma binafsi akapata mkopo..atapata mkopo Kama ada haitazidi ile ya shule za mamilioni not million

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom