watuwacheeeeeeee miaka 2000, watuwacheeeeeee tupumuweeeee........!! mualike siku moja viwanja vyetu auone mnanda wetu!!Club gani hizo?
huwa unafanya roll-call?
kwani wake za watu siyo warembo?
kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. siku hizi kujikalisha kizee kunahu? watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
cc. King'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, Kaunga, mwaJ, Nivea, Ablessed, Nyamayao, Kipipi, dada white BADILI TABIA.....
we ndio mkudaaa?? utasutwa alfajiri kabla hata ya mnadi swala kuamka!! utuwacheeeeeeee na ndoa zetu miaka nenda rudi, na hatuachwi ng'o!! na hakuna dawa wala hirizi!!Ni kweli kabisa;
Na wakiolewa huwa hawadumu kwenye ndoa;
Na wakidumu ujue kuna madawa ya kufa m2.
mbona mie ni mzuri kama twin wangu FP na nimewolewa tatizo sio uzuri au ubaya - is she/he a wife material?????

we ndio mkudaaa?? utasutwa alfajiri kabla hata ya mnadi swala kuamka!! utuwacheeeeeeee na ndoa zetu miaka nenda rudi, na hatuachwi ng'o!! na hakuna dawa wala hirizi!!
Club gani hizo?
huwa unafanya roll-call?
kwani wake za watu siyo warembo?
kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. siku hizi kujikalisha kizee kunahu? watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
cc. King'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, Kaunga, mwaJ, Nivea, Ablessed, Nyamayao, Kipipi, dada white BADILI TABIA.....
Club gani hizo?
huwa unafanya roll-call?
kwani wake za watu siyo warembo?
kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. siku hizi kujikalisha kizee kunahu? watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
cc. King'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, Kaunga, mwaJ, Nivea, Ablessed, Nyamayao, Kipipi, dada white BADILI TABIA.....
umeona eeh; insecurity ndio inawasumbua si bure!
Real men wanaoa wanaowapenda, na kamwe uzuri sio threat kwao rather ni advantage.
Nadhani Dark City atakubaliana na mimi; kuna mibaya kibao haitulii na kuna wazuri wa kutosha tu wanaotuliana na ndoa zao.
Club gani hizo?
huwa unafanya roll-call?
kwani wake za watu siyo warembo?
kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. siku hizi kujikalisha kizee kunahu? watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
cc. King'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, Kaunga, mwaJ, Nivea, Ablessed, Nyamayao, Kipipi, dada white BADILI TABIA.....
Ok ndo mana siolewi kumbe
rafiki, wewe unawajua hao wanawake wazuri?
Kuna wengine "wapendwa" hawanaga hizo interest . . . ndo kajichanganya anadhani wake za watu wote hawaendi club.
Halafu anaweza kuwa addicted sana na mashindano ya watoto wa Lundenga, akafikiri wake za watu wote wako chakari.
Pheeeeeeeeeew!!! Ngoja nisiendelee kusema.
Club gani hizo?
huwa unafanya roll-call?
kwani wake za watu siyo warembo?
kwa taarifa yako huwa tunajazana sana tu. siku hizi kujikalisha kizee kunahu? watu wapo kwenye ndoa miaka zaidi ya kumi na wana watoto wa kumwaga na ukiwaona ni ngoma droo na mabinti.
cc. King'asti, snowhite, cacico, gfsonwin, Kaunga, mwaJ, Nivea, Ablessed, Nyamayao, Kipipi, dada white BADILI TABIA.....
we ngoja siku tukae vizuri.....watuwacheeeeeeee miaka 2000, watuwacheeeeeee tupumuweeeee........!! mualike siku moja viwanja vyetu auone mnanda wetu!!
nilikuita muda ule nikaona upo busy shostito, lakini hakijaharibika kitu nilimpa ya kumtosha......Umemaliza shosti akiwa analeta usumbufu sana niite nije nimalize ye anafikili wale mabaunsa wa club wanakagua vyeti vya ndoa na pete za ndoa sijui.Life style ndo inayomatter kuhusu mambo ya kujirusha wala sio ma umri wala uzuri wa mtu.
bora uishie hapo hapo mdogo wangu.....Kuna wengine "wapendwa" hawanaga hizo interest . . . ndo kajichanganya anadhani wake za watu wote hawaendi club.
Halafu anaweza kuwa addicted sana na mashindano ya watoto wa Lundenga, akafikiri wake za watu wote wako chakari.
Pheeeeeeeeeew!!! Ngoja nisiendelee kusema.
siyo ukorofi rafiki yangu..... nilikuwa namwambia ukweli wa mambo halisiHa ha ha ha haaaaaaaaa! Bora umwambie. Halafu wewe FP siku hizi uko mkorofi sana wewe!