Mtili wandu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2012
- 11,014
- 16,297
Kiarabu na Quran vitu viwili tofauti
Hapa naongelea ukweli na haki, usilete chuki na mfano wa hayo.Wacheni ujinga jamani, lugha ya Kiarab haina uzuri wowote shinda lugha zingine....mbona ni ya kawaida tu.
Unaijua lugha ya Kiarabu ?Wacheni ujinga jamani, lugha ya Kiarab haina uzuri wowote shinda lugha zingine....mbona ni ya kawaida tu.
Ushahidi hauna ndio maana hatukuombo ushahidi, utatupotezea muda tu.I stand to what I believe kuwa Usialm ni dini ya shetani na ushahidi upo
Hapa naongelea ukweli na haki, usilete chuki na mfano wa hayo.
Hakuna lugha nzuri na iliyo hudumiwa na watu rangi zote kuzidi Kiarabu. Kwanza Kiarabu Historia yake imedhibitiwa vizuri sana kushinda lugha nyingine, imekaa kitofauti sana. Yaani Iko "Well organized".
Uzuri wa Kiarabu hata mswahili unaweza kuwa bingwa wa Kiarabu kwa Waarabu na ukawasomesha lugha yao Waarabu. Kiarabu ina habari nyingi sana kuhusu.
Lugha zetu nyingi zimeishia kwenye fasihi, riwaya na mfano wa hayo.
Ubora was lugha unatokana na Nini Mkuu?Na kwa Nini unasema kiarabu ni lugha ya watu wote?Hakuna ushahidi unaonyesha ya kuwa lugha ya peponi ni Kiarabu, ila hakuna lugha bora na ya watu wote na iliyo andikiwa vitabu vingi na yenye Historia iliyo dhibitiwa kuzidi lugha ya KIARABU.
Ukweli lazima tuuseme.
Hakuna ukweli wowote. Hadithi zilizokuja kuelezea hilo zote ni "maudhuu-u" za kutungaAsalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allan) amesema nyakati za mwisho ujinga utashamiri baada ya elimu.
Hata ndio lugha ya peponi sio sababu ya mtu kuacha kusoma lugha nyingine.
Narudi kwa mtoa mada, hakuna ushahidi toka kwenye Qur'aan wala hadithi sahihi unao onyesha ya kuwa Lugha ya watu wa peponi ni KIARABU.
Masimulizi yaliyo kuja kudai hilo yamenukuliwa katika kitabu cha Imaam Tabaraani, al-Haakim, al-Bayhaaq katika kitabu chake "Shu'ab al Imaan" yakisimuliwa toka kwa swahaba wa Mtume Abdullah Ibn Abbas akisema "Wapende waarabu, kwa sababu mimi ni Muarabu, Qur'aan imeshuka kwa lugha ya Kiarabu na lugha ya watu wa peponi ni Kiarabu" au kama alivyosema, kadhalika imekuja haya masimulizi toka swahaba Abuu Huraira. Masimulizi haya si sahihi kwani yameuliwa yaani yametungwa, kama alivyosea Imaam Ibnul Jawziy, kadhalika Imaam al-Albaaniy katika Silsila Ahadithi Dhwaif, na Shaykhul Islaam Ibn Taymiyyah ameashiria hili.
Ila turudi katika uhalisia hakuna lugha bora na iliyo pangika kielimu kuzidi Kiarabu, yaani sisi Waswahili tunasema hivi Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Kama ndo lugha iliyotumika katika kitabu Cha mwenyezi mungu Quran kuna ubaya gani tukisema ndo lugha itakayotumika katika siku ya hukumu?.
kuna Hadith Kama sikosei inaeleza wakati mtu amekufa yupo kaburini watamfuta malaika wawili watamuuliza kwa kiarabu maswali 5.
Nani Mungu wako,Nani mtume wako,kipi kitabu chako,ipi dini yako n.k
na hapo ndipo utakapojua kuwa HAUJUI
Kwa hiyo mungu hajui kiswahili..!?
acheni ujinga,,,siku ya kufa ni kama siku ya kuzaliwa,,,,,,ulipozaliwa haukujua ulitokea wapi,na utakapokufa hautajua mambo ya duniani!!!!Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Hakuna sehemu niliyo sema ya kuwa Kiarabu ni lugha itakayo zungumzwa peponi. Ukweli ulivyo hakuna ushahidi unao onyesha ya kuwa Kiarabu ni lugha ya peponi, ushahidi unao tumika wanachuoni wanasema sio wa kweli bali ni wa kutungwa kwa mujibu wa elimu ya uhakiki wa habari.Kama Ki arab ndio Lugha bora itakayotumika peponi basi Huyo Allah atakuwa anavuta bangi.
Kuna lugha nyingi zinazozungumzwa na watu wengi... zenye fasihi nyingi na kila aina ya matumizi.
Ki arab ingekuwa lugha bora ingekuwa ndio lugha inayotumiwa na watu wengi kila sehemu.
Allah wenu sio mzima. Kama amewadanganya hivyo
Hakuna ushahidi unao onyesha ya kuwa ni lugha ya peponi.Basi ndio maana allah ameiteua kuwa Lugha ya peponi kwa sababu imepangika kuliko lugha nyingine
Ubora was lugha unatokana na Nini Mkuu?Na kwa Nini unasema kiarabu ni lugha ya watu wote?
We unafikiri utawatongozaje?
Shibe ya halua ina vituko sanaAsalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Kamuulize huyo aliesema hayo sisi hatukuwepoAsalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Wapumbavu udhani yakuwa hakuna maisha baada ya kufaHamna cha peponi wala mbinguni. Kama ulivyozaliwa ukiwa hujui kitu na ukifa ndio mwisho hamna chochote baada ya hapo.