Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Na sasa kimeingizwa kwenye mtaala wa Tanzania
 
Naskia Allah anasikia lugha ya Kiarabu tu.
Ukiswali kwa lugha nyingine haelewi kabisa.
Hadi adhana inatakiwa iimbwe Kiarabu, yaani maneno mawili tu.
Ndio asikie.
 
Yaani ujuha hadi basi tu, sijui nini huwa kimewaingia hawa brazaj
Kwa kweli haha ha ha
 
Mungu yupi?

Pepo ipi?

Haya maswali ndio yanafanya mtoa mada awe sahihi au sio sahihi!

Ila kwangu mimi lugha haina umuhimu kwa upande wangu kwenda peponi nahitaji kulishika na kulikiri jina YESU KRISTO
Endelea na huo uzinzi wako Alafu utegemee kwenda peponi Kwa kumkiri Yesu
 
Kama watoto wote duniani wakizaliwa wanalia mlio mmoja,
Ng'aaa,Ng'aaa,Ng'aaa

Bila kujali kabila wala taifa analotoka,,
basi amini kwamba tutaongea lugha moja siku ya hukumu.
Lugha yenhewe ni Ng'aaaaaaa, Ng'aaaaaaaa, Ng'aaaaaaaa
 
HAPANA

Hizi mada si zakuacha bali kuziendeleza na zivume zaidi ikiwezekana ziboreshwe ili wengi waelimike na wajue kweli.

Hao waarabu+wazungu kama waliweza kutukana imani za babu zetu kwa kuita ushenzi basi hata hizi imani zao ni ushenzi mtupu na tutaendelea kuzikashifu na kuzichafua mpaka huyo Mungu wenu ajishushe dunian nae tutamchanganya kwa kipigo.

Ukweli mchungu acha watu wafungue akili zao, sio mnawaaminisha vitisho na upumbavu usiotaka kuhojika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli aisee
 
Back
Top Bottom