Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

ukafiri manake nini?"manake quran inasema,kafiri sio muislam,sio mkristo,sio msabai,na hata kama m2 hana dini,lakini anaamini krtik siku ya kiamma na uwepo wa MUNGU,huyo sio kafiri".....unajua ndo manake MUNGU aliwashushia waarbu SURATUL MUNAFUQUN,,hawa jamaa na wanowafuata ni wanafiki sana,,mfano angalia vita ya mashariki ya kati,HAMAS{SIJASEMA WAPALESTINE}ndio walioivamia israil na kubaka,kuua na kuteka,na kwenda kujificha kwenye makazi ya watu,mahospitalini na misikitini,,,israil walivoanza kujibu wanaanza kulalamika[unafiki mtupu,,,haya,quran hiyohiyo,,kweye suratul BAN-ISRAIL,MUNGU anadhihiririsha namna alivowapa waisrail hiyo ncho wanayoikalia,,,akabainisha mpka mipaka yake kwa kumuelezea musa na baadae haruun,,lakini leo hii waislam haohao wanaojifanya wanaifuata quran bado wanapinga{unafiki mtupu]quran hiyohiyo katika sura iitwayo SURATUL MARIAM...MUNGU anadhihirisha kabisa kwamba MARIAM ni mwanamke bora kuliko wanawake wote kuwahi kutokea na hatatokea,na alikuwa akila vyakula vya peponi angalipo duniani,na malaika GIBRIL{ROHO TAKATIFU]alimkabili MARIAM kwenye kona ya msikiti na kumpasha habari ya kumzaa MASIH ISSA!!nae ISSA ni tabaka la juu kabisa nae aliongea baada siku tatu baada ya kuzaliwa,na MARIAM ni tabaka la juu kuliko mama yake mtume MUHAMMAD na ISSA atakuja kama alama ya kiama..LAKINI waislam wengi [ambao sio wana zuoni wanapinga hilo{unafiki m2pu}''''''''''''''
Acha uongo ,
 
Mnaposema Peponi mtambue kuwa kila Dini au Imani Ina Pepo ya aina yake.
Waislamu Pepo yao pamoja na Mambo mengine, Lugha rasmi itakayotumika huko ni lugha ya Kiarabu.

Warastafarian Pepo yao lugha itayotumika ni Kijamaika.

Wahindu pepo yao lugha itakayotumika ni Kihindi nk.

Hivyo kwa mtu wa Dini nyingine hana mamlaka ya kukanusha maisha ya Peponi ya Dini nyingine.

Waislamu wasiojua Kiarabu wakifa watajua lugha ya Kiarabu automatically, bila kujifunza popote pale.

Mfano mzuri.
Vile vitoto vichanga Visharifu.
Vinazaliwa na kuifahamu lugha ya Kiarabu fasaha na Qurani bila kujifunza popote pale.

Hivyo ndivyo Pepo ya Allah ilivyo.
Visharifu ni vijini
Kumbuka majini dini Yao ni uislam
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Another one down..!!
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Labda n lugha ya mapepo! Sio Peconic! Make uislaim na mapepo n dam dam
 
Visharifu ni vijini
Kumbuka majini dini Yao ni uislam
Ni sawa kabisa, na wakikua wanajiita Sharifu Majini.
Majini nayo yamesilimu na yanashika Dini kwa dhati kabisa na Pepo yao ni moja na Waislamu watu.
Sharifu ni ukoo mmojawapo wa Majini.
 
Mwarabu mwenye urafiki na majini ambayo tayari yalishakuhumiwa wanasubiri kuchomwa moto tuu useme lugha Yao ndio ya Mbinguni?
 
Ujumbe muhimu kwa waislamu wenzangu na wale wote wanaotaa kufahamu..

 Lengo la hii mada si kutaka kujifunza bali ni muendelezo wa yale wanayoyapenda kukashifu uislamu kama mlivyoona comments zao na mleta mada ukichunguza profile yake ni kinara wa sekta hiyo.

Ni vizuri kutambua mada kama hizi ni za kuachana nazo bila kujibu chochote kwani wamefanya swala la dini tu kila mtu anaweza kuwa msemaji bila kuchunguza katumia vifungu vipi na elimu yake kuhusu dini imefika kiwango kipi lakini ikiwa swala la Afya huwezi kukuta kila mtu anatoa ufafanuzi au kuchukua kauli ya mtu yeyote lazima wahakikishe kuwa ni daktari kweli na amesoma hiyo fani.

Ukiapita mbali mada itadoda na lengo lao halitotimia hata ukileta hoja kwa vile wana lengo haitosaidia kitu bali watazidisha kejeli na uzi kuzidi kushika chatiView attachment 2310362

Nafarijika sana ninapoona waislamu wa Jf tumezinduka hatimaye mada kama hizi tunawaachie wenyewe wakashifu na kutukana wanavyoweza View attachment 2310366

UPDATES: kuhusu watu kuzungumza vipi majibu yanapatikana Ktk maneno ya Mtume Muhammad (SwallaAllahu'aleyhi wa salaam) hapo chini ikisisitiza hakutokuwa na mkalimani siku hiyo na kila mtu ataelewa moja kwa moja lugha itakayotumika siku hiyo.View attachment 2311933
Nb:Kuna watu kwa makusudi wanapotosha na kusikiliza uzushi kwa maslahi yao na wakiambiwa haki ndio hii wanabisha .
AKili kubwa
 
Kama watoto wote duniani wakizaliwa wanalia mlio mmoja,
Ng'aaa,Ng'aaa,Ng'aaa

Bila kujali kabila wala taifa analotoka,,
basi amini kwamba tutaongea lugha moja siku ya hukumu.
 
Ni sawa kabisa, na wakikua wanajiita Sharifu Majini.
Majini nayo yamesilimu na yanashika Dini kwa dhati kabisa na Pepo yao ni moja na Waislamu watu.
Sharifu ni ukoo mmojawapo wa Majini.
Visharifu ni vijini
Kumbuka majini dini Yao ni uislam
Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu (Allah) na waliumbwa kabla ya Wanadamu
 
Majini ni viumbe vya Mwenyezi Mungu (Allah) na waliumbwa kabla ya Wanadamu
Kumbuka pia Shetani kwa lugha nyingine Ibirisi kwa jina la Lusifa pia ni Kiumbe wa Mwenyezi Mungu, na aliumbwa ili kumtumikia na kumwabudu Mwenyezi Mungu.

Kuna kitabu fulani kinasema mitume wengi walishindwa kumwombea dua Shetani ili Mungu amsamehe.

Lakini ni Mtume mmoja tu ndiye alifanikiwa kumrudisha Ibirisi na wafuasi wake katika Dini.

Na sasa wanaendelea kumwabudu Mungu Kama kawaida na Mbinguni wataenda.

Hicho ni Kitabu na sijakiandika mimi, Kama mtu atataka nimtajie walioandika nitawataja na jina la Kitabu nitawapa, kipo kinauzwa madukani, hasa maduka ya Imani.
 
Kiarabu ndio lugha bora duniani yenye misamiata zaid ya 80, hakuna lugha yenye miasamiati mingi, kiingeleza kinaisamiat 60 na kiswalihi kima misamiati 50
 
Kiarabu ndio lugha bora duniani yenye misamiata zaid ya 80, hakuna lugha yenye miasamiati mingi, kiingeleza kinaisamiat 60 na kiswalihi kima misamiati 50
Kuna alfabeti nyingi za Kirumi ambazo zinatumika katika lugha ya Kiingerereza, Kifaransa na Kiswahili ambazo hazipo katika alfabeti za Kiarabu.
Kama unajua vizuri Lugha ya Kiarabu Basi utakuwa unafahamu herufi Kama P, V, Ch. nk. hazipo kwenye lugha ya Kiarabu.

Uwongo hauwezi kugeuza Ukweli kuwa Uwongo.
 
Kiarabu ndio lugha bora duniani yenye misamiata zaid ya 80, hakuna lugha yenye miasamiati mingi, kiingeleza kinaisamiat 60 na kiswalihi kima misamiati 50
Ila misamiati mingi sio ubora wa lugha Sheikh
 
Back
Top Bottom