Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Sasa umesoma kwanza hiyo hadithi inaonyesha kukubali kwake yeye kuwa nyuma ya viongozi maana yake yuko chini ya sheria. Sasa nikakuomba wewe kwenye andiko lenu utuambie atahumu kwa sheria ya nani ? Usikimbie.
Weka hadith number, kama hivi , hapa hakuna madai yako unayodai
Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448
 
Weka hadith number, kama hivi , hapa hakuna madai yako unayodai
Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448

Anasema Allah aliye juu :

55. Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana. (al-Imraan : 55)

Sasa atakaye hukumiwa na Allah kwa yale waliyo tofautiana vipi ahukumu kwa matakwa yake au kwa hukumu yake ? Inabidi ujibu maswali ninayo kuuliza.

Swali langu liko hapa, nipe au niambie Yesu akija atahukumu kwa sheria ya nani ?
 
Narudi kwa mtoa mada, hakuna ushahidi toka kwenye Qur'aan wala hadithi sahihi unao onyesha ya kuwa Lugha ya watu wa peponi ni KIARABU.

Masimulizi yaliyo kuja kudai hilo yamenukuliwa katika kitabu cha Imaam Tabaraani, al-Haakim, al-Bayhaaq katika kitabu chake "Shu'ab al Imaan" yakisimuliwa toka kwa swahaba wa Mtume Abdullah Ibn Abbas akisema "Wapende waarabu, kwa sababu mimi ni Muarabu, Qur'aan imeshuka kwa lugha ya Kiarabu na lugha ya watu wa peponi ni Kiarabu" au kama alivyosema, kadhalika imekuja haya masimulizi toka swahaba Abuu Huraira. Masimulizi haya si sahihi kwani yameuliwa yaani yametungwa, kama alivyosea Imaam Ibnul Jawziy, kadhalika Imaam al-Albaaniy katika Silsila Ahadithi Dhwaif, na Shaykhul Islaam Ibn Taymiyyah ameashiria hili.

Ila turudi katika uhalisia hakuna lugha bora na iliyo pangika kielimu kuzidi Kiarabu, yaani sisi Waswahili tunasema hivi Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.
Na hapa kwa Israel mbona kuna ujanja umetumika kutuaminisha kuwa nchi hiyo pekee ndio iliyopendelewa na kubarikiwa na mungu. Ina maana mungu alieumba dunia yenye nchi zaidi ya 100 aje abague kwa kuichague nchi moja tu kuwa teule? Sasa huyo ni mungu gani mwenye upendeleo wa wazi wazi kwa viumbe wake? Iweje afanye Israel na wana wa Israel kuwa wateule maalum na sio mimi, wewe na wengine kutoka katika nchi zingine za dunia? Na ukizingatia waisrael wenyewe asilimia kubwa hawamtambui huyo mungu alielibariki taifa lao. What's going on here?
 
Kwa ajiri yao tu akina nani hao waarabu wote au wakazi wa makka na madina tu?

Makka ama madina ni sehemu tu ya ardhi ya waarab ( arab land)7. Na uislam ni utamaduni wa waarabu. Hata wewe umeujua uislam sababu mwarabu alikuja africa kuwafundisha babu zako kuhusu uislam. Kama mwarabu asingekuja ungebaki na dini za utamaduni wako

Nchi ama mipaka zimekuja baadae. Ni sawa na mlima kilimanjaro umekuwa mali ya Tanzania baada ya mkoloni kuchora mipaka ya kila nchi tu.

Ila watu walikuwa wanaishi kabla hata mipaka haijachorwa ya nchi.

Saudi arabia imetumia fursa ya kupiga hela za utalii wa kidini baada ya kujikuta makka ama madina zipo ndani ya nchi yao. Ni sawa na Tanzania tunavyotumia fursa ya kupiga hela za utalii za serengeti ama mlima kilimanjaro maana tumejikuta zipo ndani ya nchi yetu tu
 
Anasema Allah aliye juu :

55. Pale Mwenyezi Mungu alipo sema: Ewe Isa! Mimi nitakufisha, na nitakunyanyua kwangu, na nitakutakasa na wale walio kufuru, na nitawaweka wale walio kufuata juu ya wale walio kufuru, mpaka Siku ya Kiyama. Kisha marejeo yenu yatakuwa kwangu, nikuhukumuni katika yale mliyo kuwa mkikhitalifiana. (al-Imraan : 55)

Sasa atakaye hukumiwa na Allah kwa yale waliyo tofautiana vipi ahukumu kwa matakwa yake au kwa hukumu yake ? Inabidi ujibu maswali ninayo kuuliza.

Swali langu liko hapa, nipe au niambie Yesu akija atahukumu kwa sheria ya nani ?
Unatoka nje , nimekutaka hadith uliyoweka uweke hadith number
Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448

Yesu ata hukumu kwa haki ndio Muhammad kakiri hapo
Na Allah huyu hapa anakiri
Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
 
Hakika huu ni msiba....siku hizi waislam wanatafuta fatawa zao social media....

Always huwa nasema juu ya hili...je wajua elimu zao hao unaowauliza mambo ya dini yako????

Hizi ndio zama alizoziashiria bwana mtume(SWA) kuwa kutakuja na fitina kama kipande cha usiku chenye kiza...hii pia ni fitina kwa baadhi wa waislam uelewa wetu mdogo kwelikweli

Kuna magroup ya kiisalm mangapi?? Kuna wasomi wangapi wakiislam huko utokapo?? Mpaka uje utuulize hapa tusiokuwa na elimu na on top of that tena wajibiwa na hata wasiokuwa waislam tena kwa mizaha, kejeli kama zote


Hivi ni nani aliwaambia nyie waislam kuwa social media huku kuna wahyi mpaka kila jambo muliuulize huku???????

Tena 95% ya wasomi wale wenye kupigiwa mifano huwezi mkuta anatoa fatawa social network huku utawakuta huko malkaz wanatoa elimu huku asilimia kubwa tupo sisi tusio kuwa na elimu

Binafsi swala la kuleta Uzi unaohitaji fatawa mtandaoni linanikera sana na ni ulimbukeni...dini sio physics wala mathematics dini lazima tuzinfatie twamuulize nini

Professionally I'm a computer scientist.... sio kwamba nabeza learning through these online platforms hapana Bali kuna vigezo vya kufuata ili kupata kitu cha uhakika through these platforms coz anyone can publish and upload anachojiskia bila kujali matango au laah

Anyway I wanted to say many lakini nasisitiza tu tuwe makini ndugu zangu katika imani...kuna magroup ya watsap, fb, telegram ya kiislam tuyatumie hayo kama hatuwezi kuwafikia maulama wetu pale tunapohitajia ufafanuzi wa masi'ala ya kisheria na sio huku jf...maana huku sio sawa
Hoja ndogo ndogo km hizi tunamalizana wenyewe,kujua lugha ya mbingu yenu waslam ni swala la waz
 
Sababu hiki ulichokiandika umekiandika kwa mzaha na kebehi, sina haja ya kukuomba ushahidi.

Qur'aan amekuka nayo Mtume Muhammad, Yesu alipewa Injili. Yesu na manabii wengine walipewa sheria zao ila wote walikuwa na imani moja na jukumu moja.

Manabii na mitume wote ni Waislamu, na wafuasi wao walio watii na kuwaamini ni WAISLAMU vile vile. Hili kubali ukatae, cheka unune ukweli uko hivyo.
Inawezekana vip yesu afufuke na kupaa mbinguni afu Mtume afe mpk leo asubir ufufuo,Mungu mbaguz nn
 
Haya fursa hii aje mtu nimpigishe pindi la lugha ya kiarabu akifa asipate shida tutaanza na verb zote Dhwamaair kuanzia
Na majina yote utajua ndani ya mwezi mmoja utaongea kiarabu Fasta mambo ya Raasun kichwa
Shaarun nywele
Udhunun sikio
Huko wanasema waislam ukifa kuna malaika anakuja anakuuliza Maa ismuuka? (jina lako nani)Ukishindwa kujibu rungu la kichwa 😅😅😅
Badae anakuja tena Min ayiina jiita (wapi unatoka )? Ukishindwa kijibu rungu tena mpk ardhi ya 7 😅😅😅😅
Muhimu vitu kama hivi kama kweli huko tutaongea kiarabu wahi upate kujifunza usipate tabu uko akhera
 
Mungu yupi?

Pepo ipi?

Haya maswali ndio yanafanya mtoa mada awe sahihi au sio sahihi!

Ila kwangu mimi lugha haina umuhimu kwa upande wangu kwenda peponi nahitaji kulishika na kulikiri jina YESU KRISTO
Mkiristo Hana pepo,yeye atakua anaomba na kusifu baada ya kunyakuliwa na kristo,siye waovu tutayeyuka
 
Huyo Kisai, ni Ummi kama Nabii wake.
Anabishana hata Mafundisho ya Uislamu hayajui.

Muhamadi kafariki bila kuwa na jipya lolote zaidi ya kuwaingiza Majini kwenye Uislamu, na kuwaamuru kulisujudie Jiwe Jeusi la Maka.

Muhamadi anakiri hajui atakachofanywa siku ya kiama wala mtakachofanywa wafuasi wake. Huyo mnamwamini wa nini ?

Yesu kathibitishwa na vitabu vyote vya imani hadi vya Freemasoni kuwa.

-Anajua aendako
-Hana dhambi
-Kapaa mbinguni
-Yeye ndie njia kweli na uzima
-Ameenda kututayarisha makao
-Atarudi siku ya Kiama
-Atawafufua walitekeleza mafundisho yake na sio waliomjua kama Nabii
-Atawapeleka mbinguni
-Wataishi huko na kutawala milele.
NK
Muhamadi hana sifa hata moja hapo juu una muaminije Nabii kama huyo asiye na msaada wowote baada ya kifo ?
Funguka akili Kisai, sio kila kitu kilicholetwa na Mwarabu ni sahihi.
Huyu Yesu aliyelaaniwa kwenye biblia kama shetani ndiyo aje kutukuhumu? Au unamzungumzia Yesu sio wa biblia hii? Haya ndiyo madhara ya kwenda kupiga ramli kwa Mwamposa na kukanyaga mafuta


Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Kama ndo lugha iliyotumika katika kitabu Cha mwenyezi mungu Quran kuna ubaya gani tukisema ndo lugha itakayotumika katika siku ya hukumu?.
kuna Hadith Kama sikosei inaeleza wakati mtu amekufa yupo kaburini watamfuta malaika wawili watamuuliza kwa kiarabu maswali 5.
Nani Mungu wako,Nani mtume wako,kipi kitabu chako,ipi dini yako n.k
na hapo ndipo utakapojua kuwa HAUJUI
 
Huyu Yesu aliyelaaniwa kwenye biblia kama shetani ndiyo aje kutukuhumu?
Muhammad anajibu kwa kutetemeka anasema Yesu atakuja kuhukumu kwa haki
Muhammad (ﷺ) said, "By Him in Whose Hands my soul is, surely (Jesus,) the son of Mary will soon descend amongst you and will judge mankind justly (as a Just Ruler);.....Sahih al-Bukhari 3448

Allah nae anatetemeka anasema
Koran 20:114. Ametukuka Mwenyezi Mungu, Mfalme wa Haki....
 
kuna Hadith Kama sikosei inaeleza wakati mtu amekufa yupo kaburini watamfuta malaika wawili watamuuliza kwa kiarabu maswali 5.
Nani Mungu wako,Nani mtume wako,kipi kitabu chako,ipi dini yako n.k
na hapo ndipo utakapojua kuwa HAUJUI
Walio chomwa moto watamfuata wapi?
 
Back
Top Bottom