Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

weefala unawaza kujilipuatu walimlipua bashako nini. hadi kufikiri kilamtu anajiripua? unamatatizo yaakili wewe.
Kajilipue ukayaone 😂 😂 😂 😂 😂 . Uliowalipua sio watakubahahsia tu, ila watakuoa ugoni😂😂😂😂
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Rabaika
 
Sasa kama watu wanafundishwa kwamba watakuta wameandaliwa mabikra 72 na wanaamini unadhani hawataamini la lugha ya kiarabu? Mda mwengine tunyamaze tu tuwaache watu wajifurahishe
Kwa mujibu wa Biblia mbinguni mtakuwa mnaimba kwa kutumia lugha gani
 
uongo kuna mtu ashafika huko peponi na kujua hilo?????
Kuna shehe mmoja alienda akatumbua bikra Kama tano hivi, akaona wajinga wanammendea mke wake huku. Akarudi fasta na ndie huyo aliyemtonya shehe kipepeo kwamba Kuna mito inayotiririsha pombe. Kuna mto wa whisky, Heineken lkn pia Kuna mto ulanzi kwa ajili ya wahehe.
 
Hadithi yako inachekesha sana...
 
Usinichoshe na maswali ya kitoto
Jibu swali Mbinguni utaimba kwa kutumia lugha gani?
Kama hujui lugha utakayotumia ndio unafundishwa kuwa utatumia kiarabu!
Na kama ukibisha kuwa siyo kiarabu Lete andiko linaloonyesha lugha utakayotumia kuimba nje ya kiarabu?
 
Kuna shehe mmoja alienda akatumbua bikra Kama tano hivi, akaona wajinga wanammendea mke wake huku. Akarudi fasta na ndie huyo aliyemtonya shehe kipepeo kwamba Kuna mito inayotiririsha pombe. Kuna mto wa whisky, Heineken lkn pia Kuna mto ulanzi kwa ajili ya wahehe.
thubutu yao.......wao wafanye tu ya huku Duniani hakuna ajuaye ya huko
 
Back
Top Bottom