Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Ni kweli Kiarabu ndio lugha pekee ya Peponi?

Hakuna majibu humo. Kama lipo uweke hapa kila mtu aone kama unavyoweka nyingine

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
Shetani pia amelaaniwa. Inaweza ikawa anazungumziwa mtu mmoja hapa​

​

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
Acha ku assume na nimekupa link yenye maelezo ya verse

Galatians 3:13 Commentaries: Christ redeemed us from the curse of the Law, having become a curse for us-- for it is written, "CURSED IS EVERYONE WHO HANGS ON A TREE "--
 
Uache upumbavu kijana. Hapa watakuelewa wagalatia wenzako wasio na akili. Ujibu hapa. Mbona kwengine unatoa madai kabisa. Hapa unachemka nini?

Wagalatia 3:13​

Kristo alitukomboa kutoka katika laana ya sheria kwa kujitwalia laana hiyo kwa ajili yetu; maana Maandiko yanasema: “Yeyote aliyetundikwa msalabani amelaaniwa.”
 
kwa Mungu hakuna kitakachopotea.
Unajua roho za watu waliokufa zinaenda wapi?
kila nafsi itafufuliwa kutokana na ROHO YAKE.
Ndipo atarudishiwa mwili wake
Unakijua kisa Cha uzail?
Walio chomwa moto watamfuata wapi?
 
Mtume Muhammad (upon him be peace and blessing of Allan) amesema nyakati za mwisho ujinga utashamiri baada ya elimu.

Hata ndio lugha ya peponi sio sababu ya mtu kuacha kusoma lugha nyingine.
Wewe ndiyo hujui kitu kabisa.
Utabiri unasema kuwa siku za mwisho watu watakimbia huko na huko na maarifa yataongezeka (cf. Daniel 12).
Funguka ubongo adriz, angalia hata wakati wetu huu jinsi tecknologia inavyokua. Sasa kule mwishoni hali ya kukua kwa maarifa ya binadamu itakuwa inatisha sana.
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Peponi utaenda kama unamema tuu na sio mabaya kwa kigezo eti unajua kiarabu fahamu Hilo swala kijana
 
kwa Mungu hakuna kitakachopotea.
Unajua roho za watu waliokufa zinaenda wapi?
kila nafsi itafufuliwa kutokana na ROHO YAKE.
Ndipo atarudishiwa mwili wake
Unakijua kisa Cha uzail?
Kwa mujibu wa adhabu ya kaburi ambayo Muhammad aliiga kutoka fairy tale stories za wayahudi , akaweka na yake akasema kwenye kaburi unafufuliwa na Malaika wanakuhoji maswali ukishindwa unapiga na marungu balaa
 
Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!

Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?

Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi

Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Huo ni ukoloni wa kiutamaduni tu.

Hakuna Mungu wala pepo.

Hizi dini ni siasa za kale zilizovishwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.
 
Wewe ndiyo hujui kitu kabisa.
Utabiri unasema kuwa siku za mwisho watu watakimbia huko na huko na maarifa yataongezeka (cf. Daniel 12).
Funguka ubongo adriz, angalia hata wakati wetu huu jinsi tecknologia inavyokua. Sasa kule mwishoni hali ya kukua kwa maarifa ya binadamu itakuwa inatisha sana.
Sizungumzii teknolojia na Sayansi nazungumzia maarifa kuhusu dini na watu mfano kila mtu kuchukua mamlaka ya kusemea jambo la dini hata asipokuwa na uwezo nalo ,Manabii feki na Mitume wa mchongo na watu kuwakubali bila kumshirikisha ubonga na dhambi kuenea kutokana na watu kukosa maarifa sahihi ya dini hivyo shetani kuchukua nafasi ya kumchekea.
 
Siyo kweli Mkuu, Huko Peponi kwanza utapewa umbo la nabii Adam na umri wake, kisha utabadilishwa sura kila utakapo.

Kwa msingi huo kama Mungu anaweza kukubadilisha umbo na sura anaweza kukufunza lugha hiyo ya kiarabu (kama ndo kweli ya peponi)

NB: Soma lugha yoyote unayoitaka achana na hao maUstadh wa mchongo, Tenda mema, shika swala, toa Sadaqa, Fanya toba kisha subiri kuingia peponi. Usicomplicate ukajinyima raha duniani na ukaja ikosa huko akhera!
 
Siyo kweli Mkuu, Huko Peponi kwanza utapewa umbo la nabii Adam na umri wake, kisha utabadilishwa sura kila utakapo.
Allah hajui lugha nyingine, soma Hadith ya kuumbwa kwa Adam , alikuwa anaongea kiaarabu ata kabla ya kiaarabu kuwepo , alimwambia Allah nimalizie kabla Jua halijazama kwa kiarabu

Peponi miaka ni ya Yesu miaka 33 na umbo la yusuph wote mtafanana na kuvaa t shirt sawa 😂😂
 
Back
Top Bottom