Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,557
Kwahyo sisi wengine ambao hatujui kiarabu hatutahukumiwa?
Malaika wa peponi watakuja na marungu makubwa kutuadhibu tusiojua kiaarabu.[emoji16][emoji16]
Kwahyo sisi wengine ambao hatujui kiarabu hatutahukumiwa?
Bila kiarabu hakuna lugha ya kiswahiliWapumbavu udhani yakuwa hakuna maisha baada ya kufa
Wewe kwa akili zako unafikiri mbinguni tutakuwa tunawasiliana kwa lugha gani
MATENDO KWANZAKwa muktadha huu basi waarabu wote wanaenda peponi kwa sababu wanamudu lugha ya peponi kiarabu.
Takbiiiiir
Chuki gani, kwanini kusema ukweli dhidi ya Waarab mnafanya kuwa chuki?Hapa naongelea ukweli na haki, usilete chuki na mfano wa hayo.
Hakuna lugha nzuri na iliyo hudumiwa na watu rangi zote kuzidi Kiarabu. Kwanza Kiarabu Historia yake imedhibitiwa vizuri sana kushinda lugha nyingine, imekaa kitofauti sana. Yaani Iko "Well organized".
Uzuri wa Kiarabu hata mswahili unaweza kuwa bingwa wa Kiarabu kwa Waarabu na ukawasomesha lugha yao Waarabu. Kiarabu ina habari nyingi sana kuhusu.
Lugha zetu nyingi zimeishia kwenye fasihi, riwaya na mfano wa hayo.
Vizuri tu na sioni uzuri wake. Nilijifunza wakati nafanya kazi Oman, yaani haina maajabu yeyoteUnaijua lugha ya Kiarabu ?
Mnaopinga ndo Wajinga Hilo Swali hakuna haja ya kulikalia kooni kama nyinyi mnavofanya kwasababu ilo Swali lipo katika muktadha wa Dini na ukishema Dini Kila mtu anaamini anachoamini.Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
Ni ufinyu wa kutosoma tu. Mtu kariri kiarab toka kwenye juzuu na kuona kuwa hakuna lugha nzuri duniani zaidi ya Kiarab ni ujinga mtupu.Shibe ya halua ina vituko sana
Huo ukweli ulio semwa uko wapi ?Chuki gani, kwanini kusema ukweli dhidi ya Waarab mnafanya kuwa chuki?
Kwanini unaandika uongo ?Vizuri tu na sioni uzuri wake. Nilijifunza wakati nafanya kazi Oman, yaani haina maajabu yeyote
Pepo ya majini labdaAmeeen..
Weka ushahidi wako.Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321
UMEJUAJE..?Hamna cha peponi wala mbinguni. Kama ulivyozaliwa ukiwa hujui kitu na ukifa ndio mwisho hamna chochote baada ya hapo.
YESU HAKUJA KWA WATU WEMA BALI WENYE DHAMBI... NDIO MAANA AKAWA ANAINGIA KWENYE MASINAGOGI WALIKOJAA WACHAFU NA WAFIRAJI ILI AWAPE SPANA ZA KUTOSHA.Luka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.
Sunagogi ni misikiti ya wayahudi.(angalia kamusi ya biblia).
Unayemkiri na kulishika jina lake anaijua Quran nje ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rudia kusoma hapo juuHuo ukweli ulio semwa uko wapi ?
Nionyeshe uongo niliouandika hapaKwanini unaandika uongo ?
ukafiri manake nini?"manake quran inasema,kafiri sio muislam,sio mkristo,sio msabai,na hata kama m2 hana dini,lakini anaamini krtik siku ya kiamma na uwepo wa MUNGU,huyo sio kafiri".....unajua ndo manake MUNGU aliwashushia waarbu SURATUL MUNAFUQUN,,hawa jamaa na wanowafuata ni wanafiki sana,,mfano angalia vita ya mashariki ya kati,HAMAS{SIJASEMA WAPALESTINE}ndio walioivamia israil na kubaka,kuua na kuteka,na kwenda kujificha kwenye makazi ya watu,mahospitalini na misikitini,,,israil walivoanza kujibu wanaanza kulalamika[unafiki mtupu,,,haya,quran hiyohiyo,,kweye suratul BAN-ISRAIL,MUNGU anadhihiririsha namna alivowapa waisrail hiyo ncho wanayoikalia,,,akabainisha mpka mipaka yake kwa kumuelezea musa na baadae haruun,,lakini leo hii waislam haohao wanaojifanya wanaifuata quran bado wanapinga{unafiki mtupu]quran hiyohiyo katika sura iitwayo SURATUL MARIAM...MUNGU anadhihirisha kabisa kwamba MARIAM ni mwanamke bora kuliko wanawake wote kuwahi kutokea na hatatokea,na alikuwa akila vyakula vya peponi angalipo duniani,na malaika GIBRIL{ROHO TAKATIFU]alimkabili MARIAM kwenye kona ya msikiti na kumpasha habari ya kumzaa MASIH ISSA!!nae ISSA ni tabaka la juu kabisa nae aliongea baada siku tatu baada ya kuzaliwa,na MARIAM ni tabaka la juu kuliko mama yake mtume MUHAMMAD na ISSA atakuja kama alama ya kiama..LAKINI waislam wengi [ambao sio wana zuoni wanapinga hilo{unafiki m2pu}''''''''''''''Qur'an haisemi hivyo, acha ukafiri