Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,284
- 111,312
Wazungu ndio wameimoderate christianity na kuweka makao makuu Vatican na wakaweka msemo wao Roma Locuta Est, Causa Finita Est.Hakuna dini ya mzungu zote zimetoka middle East
Wazungu ndio wameimoderate christianity na kuweka makao makuu Vatican na wakaweka msemo wao Roma Locuta Est, Causa Finita Est.Hakuna dini ya mzungu zote zimetoka middle East
Unawapiga tongozo Kwa lugha ya alama inayotumiwa na mabubu na viziwiIna maana nisipofahamu Kiarabu wale mabikra 72 wasiomaliza ubikra siwapati huko peponi? 😳😳😳😳😳😳
Ila hijja haijaanzishwa na serikali ya Saudia ni kitu ambacho kipo toka enzi hizo, sasa sijui kwanini unafikiria ni kama kitu kilichoanzishwa ili kuingiza mapato?Ha ha ha hizi dinii hizi
Imagine ktk mafundisho ya vitu
ambavyo Huwa waislam wanavyo
fundishwa ni kwamba lugha ya kiarabu ndio lugha Bora kuliko
lugha zote Duniani hivyo basi ni
lazima muislam aijue lugha hiyo Kwa sababu ndio lugha Ambayo
itatumika kuzungumza siku ya
kiama
Na watu Wana Amini Wana weka
juhudi na maarifa katika kujifunza
lugha hiyo
Masikini hawajui kuwa
Wameaminishwa hivyo Ili lugha
hiyo ipate kusambaa Kwa wepesi zaidi Duniani na Endapo ikisimbaa
na kufika mbali zaidi itakuwa ni
rahisi Kwa mataifa ya uarabuni kuweza kujitangaza kimataifa
zaidi
Hawajui hata kwenda kuhiji maka
ni chanzo cha mapato kwa nchi ya
saudi arabia.. watu wanaoenda kuhiji wanachangia pato la taifa la
saudi arabia kupitia utaliii wa
kidini. Baada ya mafuta Hija ndiyo chanzo cha pili kikubwa cha
mapato kwa nchi ya saudi arabia
Every year, the Hajj pilgrimage
generates $8 billion and Umrah
$4 billion and it is projected to be $150 billion by the year 2022. In
the ten years between 2010 and
2019, the average number of pilgrims in attendance was 2.4
million.
https://www.aljaze era.com/economy/...down-saudi-arabia- ramps-up-big-tourism-plans
Jiulize Mungu gani mbaguzi.
Akupe lugha yako ya kabila
lako...ila neno lake akuletee kwa lugha ya wengine
Tupe ushahidi na marejeo kutoka kwenye Biblia.Hujamalizia mkuu alivyoingia kwenye sinagogi alisoma Quran baada ya kumaliza kuswali, na wasichokijua Yesu alikuwa anaswali swala 5 na alikuwa na sijda
Hata wale wanaoitwa wanafunzi wake wote walikuwa waislam na walikuwa wanaenda wote kuhiji Makkah
Kanisa la TB Joshua linaitwa synagogue for all Nations.Luka 4:16"Na siku ya sabato Yesu akaingia kwenye sunagogi kama ilivyokua desturi yake akifundisha.
Sunagogi ni misikiti ya wayahudi.(angalia kamusi ya biblia).
Unayemkiri na kulishika jina lake anaijua Quran nje ndani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dini ni dini tu hakuna ya waarabu au wazungu na ndio maana mfano kwenye biblia hakuna nabii mzungu mule ila ukristo unaonekana ni dini ya wazungu.Dini za wazungu na waarabu ni za
washenzi tu kama washenzi wengine...ndio zimeleta ushoga
na ujinga mtupu.
#MaendeleoHayanaChama
Ila hijja haijaanzishwa na serikali ya Saudia ni kitu ambacho kipo toka enzi hizo, sasa sijui kwanini unafikiria ni kama kitu kilichoanzishwa ili kuingiza mapato?
Mrs Lissu,Mohamed Said njoo ujibu hapa mzee
Kuna Rais mmoja wa nchi fulani alipoona upinzani umezidi na nafasi yake ipo hatarini ilibidi awaite viongozi wa dini ili apate mawazo yao wanawezaje kuongoza watu bila usumbufu?Tena ni wizi na ujambazi.
Kujua kiarabu na kukariri maneno ya kiarabu naona kama kuna tofauti,we unaonaje?Mkuu chuki imetoka wapi !!
Kumbe, unakubaliana na ukweli
kuwa ili uwe muislamu kamili
lazima ujue kiarabu.
utajiita muislamu hata sala ya Al-
fatiha huijui !
Kwa ajiri yao tu akina nani hao waarabu wote au wakazi wa makka na madina tu?Mwanzo dini ilikuwa kwa ajili yao
. Na hija ilikuwa utamaduni wao. Baada ya kupata wafuasi wengi
kutoka nchi za mbali walioamua
kuacha tamaduni zao na kufata zao waarabu. Nchi ya saudi arabia
ikaona ni fursa kupiga hela.
Hakuna mtu anaeenda hijja bila kulipia na kutoa sadaka kule.
Poa.Huyo Kisai, ni Ummi kama Nabii wake.
Anabishana hata Mafundisho ya Uislamu hayajui.
Muhamadi kafariki bila kuwa na jipya lolote zaidi ya kuwaingiza Majini kwenye Uislamu, na kuwaamuru kulisujudie Jiwe Jeusi la Maka.
Muhamadi anakiri hajui atakachofanywa siku ya kiama wala mtakachofanywa wafuasi wake. Huyo mnamwamini wa nini ?
Yesu kathibitishwa na vitabu vyote vya imani hadi vya Freemasoni kuwa.
-Anajua aendako
-Hana dhambi
-Kapaa mbinguni
-Yeye ndie njia kweli na uzima
-Ameenda kututayarisha makao
-Atarudi siku ya Kiama
-Atawafufua walitekeleza mafundisho yake na sio waliomjua kama Nabii
-Atawapeleka mbinguni
-Wataishi huko na kutawala milele.
NK
Muhamadi hana sifa hata moja hapo juu una muaminije Nabii kama huyo asiye na msaada wowote baada ya kifo ?
Funguka akili Kisai, sio kila kitu kilicholetwa na Mwarabu ni sahihi.
Hao viongozi wa dini ndio hutoa hizo ahadi au nao wamezikuta hizo ahadi hivyo nao ni wenye kufuata hizo ahadi?Kuna Rais mmoja wa nchi fulani
alipoona upinzani umezidi na nafasi yake ipo hatarini ilibidi
awaite viongozi wa dini ili apate
mawazo yao wanawezaje kuongoza watu bila usumbufu?
Kuna kiongozi mmoja akamjibu
huku akitabasamu kwamba ahadi unazotowa wewe na sisi ni
tofauti, wewe unawaahidi neema
wakiwa hai ila sisi tunawaahidi neema wakishakufa ndio
watazipata.
Kwa kifupi kilikuwa ni kikao cha
matapeli watupu partners in
crime
Kapelekwa na nani peponiKwahiyo Mtume Muhammad (S.A.W) hayupo peponi? We vipi?
Mpaka najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.Wewe ndio unatakiwa kuthibitisha madai , kwa kuweka nukuu ya madai uliyodai ,
Labda atajiir mfasiriKwahiyo huyo mungu wa kiarabu hataweza kuwahukumu wenye lugha nyingine maana hata haelewi kama walitenda dhambi au haki maana haelewi lugha zao.
Hili andiko hapa limefata nini ? Jenga hoja.John 5: 25 Kweli nawaambieni, wakati unakuja, tena umekwisha fika, ambapo wafu wataisikia sauti ya Mwana wa Mungu, nao watakaoisikia, wataishi.
Huna maswali una madai ambayo unashindwa kuthibitishaMpaka najiuliza kwanini hujibu maswali ninayo kuuliza.
Kingine akija atakuwa nyuma ya viongozi kisha atakuja kuwa kiongozi kwa kufata sheria ya Allah.
"Hakutakosekana kuwa na kikundi katika Ummah wangu, wakipigana juu ya haki wakiwa washindi haki Siku ya Qiyaama… kisha 'Iysa bin Maryam atashuka, na Amiri wao (Waislamu) atasema: 'Njoo utuswalishe katika Swalah!' Atasema: 'Hapana, nyinyi ndio ma-Amiri juu ya kila mmoja kama heshima kutoka kwa Allaah kwa Ummah huu'" [Muslim].
Sasa nataka uniambie akija atahukumu kwa sheria ya nani ?
Sasa umesoma kwanza hiyo hadithi inaonyesha kukubali kwake yeye kuwa nyuma ya viongozi maana yake yuko chini ya sheria. Sasa nikakuomba wewe kwenye andiko lenu utuambie atahumu kwa sheria ya nani ? Usikimbie.Huna maswali una madai ambayo unashindwa kuthibitisha
Umeweka hadith hujaweka hadith number , alafu hadith ni nyingene sio ile uliyodai kwamba atahukum kwa sheria za allah , kwa nini wewe ni mzushi sana?
Narudi kwa mtoa mada, hakuna ushahidi toka kwenye Qur'aan wala hadithi sahihi unao onyesha ya kuwa Lugha ya watu wa peponi ni KIARABU.Asalaam Aleykhum warahmatullah Wabarakatul....!
Wadau hasa Waislam (Ndugu katika Imaan) naomba kujuzwa kuwa ni kweli Kiarabu ambacho kilitumika katika Quran iliyoshushwa na katika Hadith ndio pekee itatumika Peponi?
Hii ni kwasababu kuna Ustadh mmoja huwa anasisitiza Waislam waache kusoma lugha zingine na badala yake wasome Kiarabu ambacho ni Lugha ya Peponi
Aidha leo katika ukurasa wa Twitter nikaona Mdau mwingine akisisitiza hilo.
View attachment 2310321