Ni kweli Diamond Platnumz anatumia unga/madawa ya kulevya?

Je mimi una nijua? Hivi ushajiuliza kwa nini kuna kipindi Mondi alikuwa akimtumia Dj Ommy wa Clouds kwa muda na kumwacha kaka yake Rj unajua sababu ilikuwa ipi?

Tupo jf hatujuani.
Sidhani kama kuna haja yakujuana fact ni kuwa kama ndugu yake anatumia kuna uwezekano mkubwa na yeye kutumia ofcourse kwa mob iliyokuwepo pale ni circle ya Diamond pia...
 
Sasa unga ukimkolea, hayo mafanikio aliyofikia ataweza kuyasimamia kweli?!
Katika watu nilikua nawa appreciate ni Dimond nikiongea namtolea mfano yy na Ally kiba wamefanikiwa ila hawajazuzuka na madawa na maulevi ulevi
 
Unaongea husiyoyajua ata kidogo week kadhaa nimekutana na huyo rommy jones akibwea mbele ya macho yangu bila aibu na hii tabia watoto wa mbezi beach ndio wameanza kama fashion in addition rate ya watumiaji unga inavyoongezeka ndivyo pia rate ya matukio na ushoga unaongezeka pia with that said kuna uwezekano mkubwa sana Diamond pia kutumia.
Duuuh hii ni shida.
 
Sidhani kama kuna haja yakujuana fact ni kuwa kama ndugu yake anatumia kuna uwezekano mkubwa na yeye kutumia ofcourse kwa mob iliyokuwepo pale ni circle ya Diamond pia...

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mondi hiyo haikuwa kampani yake labda kama umemjua juzi, kampani ya Mondi ilikuwa ya akina Bob Junior, Dully Sykes, Hakeem 5,Abby Skills nk.

Mondi ndiye aliye mpigania kumtoa Rj mpaka leo unamuona hivyo la sivyo nae angekuwa kama akina Cheed, Ngwea,langa nk na ndio maana alimpa nafasi ya kuwa dj wake, kipindi alichokuwa akimchukua Ommy walizunguana sababu ya hayo madawa.

Na kama hujui Ukimtoa Jaguar na baadhi ya wasanii wa Tamaduni ambao walifight ili cheed aache poda,basi Mondi, Babu Tale na Ay nao walimpele Soba Cheed wakimshawishi aache madawa, aliacha kwa mda akarudia tena.
 
Usiwateteee wavuta unga/cocaine..hawa ndio wanaharibu watoto wetu ikiwemo na wa kwako kama unao, mtoto anampenda diamond kama moyo wake, akisikia au kusoma anakula unga na yeye atajaribu ili kumsapoti msanii anayempenda..

Hizo ni maneno za kick tu...

Ingekuwa na influence kwa wengine endapo huyo Diamond angejitokeza na kukiri kuwa ni mla ngada...

Otherwise, hizo ni strategic plans kufanya muwafatilie hao watu...
 
Mchokozi ni huyo domokaya, ndo alianza kumnanga mwenzake na muhadarati,
Ila tuwe wakweli Harmo anampigaga sana vijembe Dai hata kwenye nyimbo zake..kama Dai amejibu au ameongea recently ni sababu kachoka. Amekaa kimya muda mrefu sana huo ndio ukweli.

Sasa labda Harmo kaumia zaidi ndo povu lote hilo limemtoka..mi nahisi huyu alikuwa anatafuta sababu ajibiwe ili afunguke yaliyokuwa moyoni mwake
 
Afadhali Dai, Zari ndio personal kabisaa. Ana wivu umekuwa kama ugonjwa.
Kuna uchizi fulani upo instagram wa kugombana na mtu usiye mjua wala kukutana nae hata siku moja,hiki kipaji Mange anacho kifuani kawajaza watu kibao anao wachukia na kumbuka kwenye blog yake aliwajaza watu alio gombana nao, ukisoma sababu unagundua ni roho mbaya na uchizi wake.

Yaani hawa ndio wale mtaani, ukiwauliza kwa nini una mchukia fulani utawasikia "basi tu si mpendi........" na mara nyingi wana kuwaga wanawake ila siku hizi mpaka wanaume.

Mange yupo US lkn hana tabia za watu wa huko, manake US watu hawana muda wa kufuatiliana.
 
Back
Top Bottom