Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Dunia ni roughly flat na sio sphere kama tulivyofundishwa na kukalilishwa class.kinaochona macho sio illusion ila ndo uhalisia wenyewe macho yanaona dunia ni roughly flat yenye milima,mabonde,bahari na ext.Kwa kasi mwendo wa dunia ulivyo mkubwa basi gravitation force isingeweza kudhibiti maji yasipae kwenda juu.Sehemu kubwa ya dunia ni maji inakadiliwa 72% kuna water bodies kama dunia ni duara alafu inajizungusha yenyewe na inazunguka jua kwa kasi kubwa(vyote kwa pamoja) haya maji yangesambaa all over.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*** UPDATES******
REJEA COMMENTS NAMBA MOJA (#1) KUONA MAJIBU YA MICHORO HII, AMBAYO INA PROVE KUWA DUNIA NI DUARA, HAKUNA ALIYE JUU WALA CHINI,

main-qimg-819673c3625e005b329184fad88a34e8.png

main-qimg-18dd87951f261bac5a48d9eac3362013.png

main-qimg-d4792b8ce78b00a3654e07c99b96234b.png
 
Dunia ni roughly flat na sio sphere kama tulivyofundishwa na kukalilishwa class.kinaochona macho sio illusion ila ndo uhalisia wenyewe macho yanaona dunia ni roughly flat yenye milima,mabonde,bahari na ext.Kwa kasi mwendo wa dunia ulivyo mkubwa basi gravitation force isingeweza kudhibiti maji yasipae kwenda juu.Sehemu kubwa ya dunia ni maji inakadiliwa 72% kuna water bodies kama dunia ni duara alafu inajizungusha yenyewe na inazunguka jua kwa kasi kubwa(vyote kwa pamoja) haya maji yangesambaa all over.

Sent using Jamii Forums mobile app
Refer post namba moja
 
Dunia ni duara.
Why watu waliopo upande wa chini kama Australia hawadondoki?.
Chukua mpira wa miguu (football) uning'inize na kamba kishwa mchukue sisimizi mweke kwenye kitako chini.
Jibu utakalopata sisimizi atatembea wala hatajua kama yupo upsidedown hii ni kwa sababu ni mdogo sana compared to the size of football hivyo yeye atajiona yupo kawaida tu. Pia ulowanishe maji mpira, utaona matone ya maji yameganda wala hayatadondoka hadi yakauke kwa evaporation this is because the size of the drop of water compared to the football.
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
kwahiyo sisimizi ukimuweka kwenye gololi atajua yuko upside down
 
Hili ni "Chaka" la mwaka, hiyo miinuko, milima na mabonde iko Baharini?

Jibu ni kua Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya upeo mdogo wa macho (limitation) kuona mbali. Yaani uwrzo wa macho umefikia kikomo chake. Labda nikuulize, ukichukua Darubini kali ukaitizama Zanzibar kutokea Kigamboni, hutoiona?
unamaana zanzibar iko mbali kuliko mwezi na nyota ambazo tunaziona kwa macho
 
kwani sisi tuko ndani ya dunia???
Lazima tutumie fikra zaidi kutazama hii nguvu ya uvutani na lazima tufahamu dunia yetu ina kiwambo cha utando wa hewa nzito (ozone layer) iliyofunika dunia kote na kuifanya dunia kuwa ndani ya kioo vyote vilivyomo duniani haviwezi hisi mzunguko wowote kwasababu hiyo ila nguvu kubwa ni uvutani.

Lakini ukiweza toka inje ya dunia ndio unaweza kufahamu na kuiona dunia ikijizungusha na kusafiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ni duara.
Why watu waliopo upande wa chini kama Australia hawadondoki?.

Watu hawadondoki kuelekea wapi?
Kama dunia duara na watu wangedondoka, basi usingeona wanadondoka bali ungeona wanapaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Majibu ya shombo
 
Back
Top Bottom