Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Dunia ni duara.
Why watu waliopo upande wa chini kama Australia hawadondoki?.
Chukua mpira wa miguu (football) uning'inize na kamba kishwa mchukue sisimizi mweke kwenye kitako chini.
Jibu utakalopata sisimizi atatembea wala hatajua kama yupo upsidedown hii ni kwa sababu ni mdogo sana compared to the size of football hivyo yeye atajiona yupo kawaida tu. Pia ulowanishe maji mpira, utaona matone ya maji yameganda wala hayatadondoka hadi yakauke kwa evaporation this is because the size of the drop of water compared to the football.
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawadondoki kuelekea wapi?
Kama dunia duara na watu wangedondoka, basi usingeona wanadondoka bali ungeona wanapaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya miinuko, milima na mabonde. Ni sawa na kuwa na ghorofa 6 na ghorofa 12 eneo moja.

Dunia kuwa FLAT 'Bense' sio kwamba imetandikwa chini kama mkeka, pia mawingu unayoyaona ndio universe ambayo ni kubwa kuliko na hapo nimesema universe ndio (Sphere, Oval na Circle) wingu liloshuka ndio ukuta wa universe.
Hili ni "Chaka" la mwaka, hiyo miinuko, milima na mabonde iko Baharini?

Jibu ni kua Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya upeo mdogo wa macho (limitation) kuona mbali. Yaani uwrzo wa macho umefikia kikomo chake. Labda nikuulize, ukichukua Darubini kali ukaitizama Zanzibar kutokea Kigamboni, hutoiona?
 
Macho yanauwezo wa kuona mbali sana, ndio maana tunaweza kuona sayari kama mars & mwezi & nyota.

Zanzibar hatuwez kuona sababu ya duara la dunia....

Zanzibar n karibu kuliko mars
Ukichukua Darubini kali Zanzibar hutoiona still? Kama utaiona, Hapo duara la dunia linakua limeondoka?
 
Hili ni "Chaka" la mwaka, hiyo miinuko, milima na mabonde iko Baharini?

Jibu ni kua Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya upeo mdogo wa macho (limitation) kuona mbali. Yaani uwrzo wa macho umefikia kikomo chake. Labda nikuulize, ukichukua Darubini kali ukaitizama Zanzibar kutokea Kigamboni, hutoiona?
Huwezi kuiona Zanzibar kutokea Kigamboni kisa tu Una darubini kali. Kaa hapo Kigamboni, angalia meli zinazotoka Zenj kadri zinavyokusogelea? I'm sure utaanza kuona Kwanza top na baadae, kadiri inavyosogea ndo utazidi kuiona kwa marefu na mapana yake. Lakini pia, Panda ndege, ikunyanyue juu, utaiona landmass ya Zanzibar. Kama the earth was flat, basi at least hats usiku tungeweza ona taa za Zanzibar tokea Kigamboni.
 
Ndio ila gravitational force inakufanya usiweze hisi hivyo. Kila kitu kinavutwa katilati ya dunia.
 
Mama usikalili bali elewa. Inazunguka kiduara, inazunguka kwanza yenyewe kisha inazunguka/kutembea kufuata sphere ya universe.
Naomba unijibu katika hizi picha za mwezi ni nini husababisha mwonekano huu kama dunia ni bapa?
crmoon.jpeg
moon-5day-1807.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

  • moon-5day-1807.jpeg
    moon-5day-1807.jpeg
    28.1 KB · Views: 27
  • moon-5day-1807.jpeg
    moon-5day-1807.jpeg
    28.1 KB · Views: 24
  • moon-5day-1807.jpeg
    moon-5day-1807.jpeg
    28.1 KB · Views: 24
Hili ni "Chaka" la mwaka, hiyo miinuko, milima na mabonde iko Baharini?

Jibu ni kua Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya upeo mdogo wa macho (limitation) kuona mbali. Yaani uwrzo wa macho umefikia kikomo chake. Labda nikuulize, ukichukua Darubini kali ukaitizama Zanzibar kutokea Kigamboni, hutoiona?
Una maana Zanzibar na nyota au jua (sun) ni kipi kipo mbali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lazima tutumie fikra zaidi kutazama hii nguvu ya uvutani na lazima tufahamu dunia yetu ina kiwambo cha utando wa hewa nzito (ozone layer) iliyofunika dunia kote na kuifanya dunia kuwa ndani ya kioo vyote vilivyomo duniani haviwezi hisi mzunguko wowote kwasababu hiyo ila nguvu kubwa ni uvutani.

Lakini ukiweza toka inje ya dunia ndio unaweza kufahamu na kuiona dunia ikijizungusha na kusafiri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wakubwa,
Naomba kufahamu kidogo

Kutokana na umbile la dunia( sphere), bara la austrilia lipo southen pole of the earth, maswali huwa najiuliza je watu, majengo & milima ipo upside down??

Kama ni kweli kwann hawaisi hiyo hali???

Najua hawazezi kuanguka kutokana na Gravity force.

Pia ningependa kujua universe is infinity spece?? Au kuna ukomo

Nawasilisha.
Dunia ni duara.
Why watu waliopo upande wa chini kama Australia hawadondoki?.
Chukua mpira wa miguu (football) uning'inize na kamba kishwa mchukue sisimizi mweke kwenye kitako chini.
Jibu utakalopata sisimizi atatembea wala hatajua kama yupo upsidedown hii ni kwa sababu ni mdogo sana compared to the size of football hivyo yeye atajiona yupo kawaida tu. Pia ulowanishe maji mpira, utaona matone ya maji yameganda wala hayatadondoka hadi yakauke kwa evaporation this is because the size of the drop of water compared to the football.
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kamba kabisa! Kwenye dunia kinachomfanya mtu aliyesimama Australia asinyofoke kwenye uso wa dunia ni gravitation force (hii ni nguvu ya uvutano kuelekea katikati ya dunia=force of attraction towards the center of the earth)! Ieleweke hapa kuwa katikati ya dunia inayooelezewa siyo ya kwenye uso(surface), ni kwenye kiini kama cha yai kule ndani! Sasa wewe kiongozi unalinganisha na sisimizi kwenye mpira ulioning'inizwa? Pale kinachomfanya sisimizi asianguke hakihusiani na nguvu ya uvutano manake wote (sisimizi na mpira wanavutwa kuelekea chin)
 
Lazima tutumie fikra zaidi kutazama hii nguvu ya uvutani na lazima tufahamu dunia yetu ina kiwambo cha utando wa hewa nzito (ozone layer) iliyofunika dunia kote na kuifanya dunia kuwa ndani ya kioo vyote vilivyomo duniani haviwezi hisi mzunguko wowote kwasababu hiyo ila nguvu kubwa ni uvutani.

Lakini ukiweza toka inje ya dunia ndio unaweza kufahamu na kuiona dunia ikijizungusha na kusafiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Antarctica
where-is-antarctica.jpeg
mapa-politico-de-la-antartida.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ni duara.
Why watu waliopo upande wa chini kama Australia hawadondoki?.
Chukua mpira wa miguu (football) uning'inize na kamba kishwa mchukue sisimizi mweke kwenye kitako chini.
Jibu utakalopata sisimizi atatembea wala hatajua kama yupo upsidedown hii ni kwa sababu ni mdogo sana compared to the size of football hivyo yeye atajiona yupo kawaida tu. Pia ulowanishe maji mpira, utaona matone ya maji yameganda wala hayatadondoka hadi yakauke kwa evaporation this is because the size of the drop of water compared to the football.
Thanks

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongezea ndani ya mpira yaani katikati kuwe kuna nguvu fulani yaani force of gravity inayovuta lila kitu kwake.
 
Back
Top Bottom