Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Una maana Zanzibar na nyota au jua (sun) ni kipi kipo mbali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kufananisha nyota na jua au hata mwezi na Zanzibar hivyo vitu vimejitenga na hi Dunia yetu lakini Zanzibar ni part ya hii dunia yetu

Zanzibar na Dar ni karibu mno maana umbali wake sio zaidi ya km 300 yani umbali wa kutoka dar to Zanzibar ni sawa na Dar to Kiowa

Hatuioni Zanzibar tukiwa Dar sababu dunia ni Duara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio wakilinganishwa na sisi huku Afrika lakini ukiwa Australia wapo ‘kawaida’ kama sisi huku Afrika.

Hata hapo Tanzania sio vichwa vyote vinaelekea mahali pamoja ‘juu’, wale walioko mbali mfano Dar na Kigoma vichwa vyao vinaelekea pande tofauti kidogo. Jinsi umbali unavyozidi ndivyo tafauti inavyozidi.
Ahaa! Sawa..... kama nakupata
 
Upside down kivipi sasa?

Kila binadamu alipo tunapo andika muda huu kichwa kilipoelekea ndipo juu.[kwa tafsiri ya kibinaadamu].
Kama dunia ni duara.... angalia position ya australia ilipo...... namaanisha watu wa australia watakua wanakaa style ya popo
 
Hivi vitu wanapaswa kukalilishwa watoto wa shule za sekondari, kiuhalisia dunia sio duara.
Kuna mifano mingi sana naweza kukupa utashangaa huko kukalilishwa tulikopewa kuna tuponza sana
Kwaiyo picha za setelite zinasema uongo??
 
Kama dunia ni duara.... angalia position ya australia ilipo...... namaanisha watu wa australia watakua wanakaa style ya popo
Wakae kwasababu gani?

Umesoma hisabati ya kidato cha nne? Duara/mviringo??

Duara huwa mwisho?

Kila ulipo kwenye duala ndipo kama mwanzo mzee baba.

Tengeneza duara lenye ukubwa wa kiwanja cha mpira kisha lininginize angani kutokea ardhini iwe kama mita 20.

Kisha kisha acha sisimizi atembee kwenye huo mviringo.

Juu kutakuwa wapi na chini wapi kwa sisimizi?

Wewe utaona chini ni aridhini maana utakuwa rejeleo ila sisimizi kwake hana chini wala juu akitembea juu ya mviringo aende kokote kulizunguka kupo sawa.
 
Dunia ni duara lakini duara kubwa sana kiasi kwamba ukiwa mahali popote juu ya uso wake huwezi kuhisi unasimama upande kwani vile vile gravity ni kubwa na sawa pande zote.

Pia hakuna kitu kingine kikubwa kama dunia karibu na dunia ambacho kingekuwa reference na kutufanya tujisikie tupo kichwa chini miguu juu. Miguu yote ipo chini na vichwa vyote vipo juu kwasababu gravity inavuta upande ule ule wa miguu hata kwa wale waliopo upande wa pili wa tufe.

Ulimwengu ‘universe’ hauna mwisho!
Lakini kumbuka zipo prove za kisayansi zinazoonyesha kuwa dunia n duara, mfano
1. Sunrise & sunset
2. Ship navigation
3. Lunar Eclipse

Kama ukichukulia mawazo yako kuwa dunia n FLAT, hivi vitu vyote haviwezi kutokea bro
Mkuu kama dunia flat mbona hapa tulipo mda huu wengine wamelala wengine asubuhi au ndo kasi ya mwanga umechelewa kufika na pia mwezi wanasema auwaki kama tunavyouona usiku wanasema ni kuakisi mwanga kutoka kwa jua hii imekaeje mkuu au na we ndo unaamini nadharia ya jua kuzama matopeni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Attachments

Huyu anachukulia kaskazini na kusini ni juu na chini ndo maana anawaza upside down.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anachotakiwa kuelewa dunia haina chini wala juu. Ni likitu likubwa linalonin'ginia angani[linamvutano unaovuta kila kilicho katikati].

Na upande wowote unaona unaangalia juu na pande zote zina nyota.

-Dunia ni kubwa saana ukilinganisha na binadamu huwezi kuhisi uduara kila ulipo ni tambarare.
 
Hivi vitu wanapaswa kukalilishwa watoto wa shule za sekondari, kiuhalisia dunia sio duara.
Kuna mifano mingi sana naweza kukupa utashangaa huko kukalilishwa tulikopewa kuna tuponza sana
Haswaa na mimi ni mmoja kati ya hao sina miaka miwili nimemaliza secondary school lakini siamini hata chembe mduara dunia.
 
Anachotakiwa kuelewa dunia haina chini wala juu. Ni likitu likubwa linalonin'ginia angani[linamvutano unaovuta kila kilicho katikati].

Na upande wowote unaona unaangalia juu na pande zote zina nyota.

-Dunia ni kubwa saana ukilinganisha na binadamu huwezi kuhisi uduara kila ulipo ni tambarare.

Endapo binadamu akiwa chini ya duara hilo ...... dah
 
Mbele kulia ndiyo wapi?

Acha kupotosha wewe.
Kama umeshindwa kuelewa mbele kulia au mbele kushoto basi ni haki yako kuona dunia ni duara.

North
North East
North West
West
East
South
South West
South East
etc. Hii itakusaidia
 
Huwezi kufananisha nyota na jua au hata mwezi na Zanzibar hivyo vitu vimejitenga na hi Dunia yetu lakini Zanzibar ni part ya hii dunia yetu

Zanzibar na Dar ni karibu mno maana umbali wake sio zaidi ya km 300 yani umbali wa kutoka dar to Zanzibar ni sawa na Dar to Kiowa

Hatuioni Zanzibar tukiwa Dar sababu dunia ni Duara

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo mbishi,
Ukichukua Darubini kali unaiona Zanzibar,
Ni upeo mdogo tu wa Macho unatuzuia kuiona Zanzibar.

Kama hizo km70 tu za Zanzibar unadai Dunia ishapinda (arc) tayari kiasi cha kuificha Zanzibar basi Dunia ingekua ndogo sana kuliko inavyodhaniwa.
 
Aisee umeonge fact kweli Km 300 ilibdi stil pawe kama flat flani hivi lakini Hiyo ya Kutumia Darubin kwamba unaweza iona Zanzibar duuuh mbona sijui...!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee umeonge fact kweli Km 300 ilibdi stil pawe kama flat flani hivi lakini Hiyo ya Kutumia Darubin kwamba unaweza iona Zanzibar duuuh mbona sijui...!!???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kilometa 300 ukitokea Dar ni Tanga au Morogoro. Zanzibar ni kama 70km - 80km hivi ambako ni tuseme labda mlandizi, Ruvu au vigwaza ukitokea Ubungo.

Kuona angalau majengo au hata taa tu kwa darubini kali inawezekana.
 
Mnaofikiri dunia ni flat mpo miaka 2600 nyuma ya wakati. Akina Pythagoras walioishi miaka 600 kabla ya Kristo walishajua dunia ni duara.
1550119656596.jpeg
 
Back
Top Bottom