Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Tizama unavojidhihirisha kuwa mjinga, inabidi kumbe uliingia kwenye thread na ukasoma title tu akisha unakuja kuwadhihaki kwa kusema jua linazama matopeni? inaonesha ni jinsi gani ulivo mvivu na mpumbavu, kubeba heading ya topic na kuishikia bendera hali ya kuwa hujui nini kilizungumzwa. Hata mimi hio topic niliikuta tayari ikiwa na kurasa nyingi, lakini nilipoifungua na kusoma comment sijascroll sana ikawa hoja imejibiwa kiakili, lakini wajinga mfano wako kazi yenu kubeba heading tu na hamusomi nini kimeandikwa. Inashangaza unashikia bango jambo ambalo hulijui.

Unajifanya mwalimu wa busara wakati we mwenye busara huna? jitizame wewe kwanza kabla ya kunyooshea wenzako kidole, kuna vinne vinakuelekea mwenyewe.

Wapi nimeku attack labda? na naona anaejaza comment ni wewe maana nimekuuliza tangu juzi "JUA LINAZAMA AMA HALIZAMI?"
hujajibu, badala yako unakuja kulilia sympathy...

Jibu swali wacha kelele.... and by the way, ukitaka jibu la swali lako, jifunze kusoma nini kimeandikwa kwenye thread na sio kuishia kusoma title!

Asili ya watu wapumbavu ushupaa na kujiona wana akili kuliko mwingine ebu kasome kwanza comment yng kama nilikutukana na kukudharau kumbe we ndo unaweza ukawa ujasoma umekurupuka na kujibu utumbo ivi we kwenu unaweza ata kumuelekeza njia mgeni kwel au ndo una akili ya kuvukia barabara tu toka mwanzo ujajibu chochote na kujifanya kujua kwako alafu una lolote kichwan mpumbavu kabs ujawai hata kufika airport unajifanya unajua ya angani we ukipanda siku ndege tu ata kwa safar ya ndan tu mana hata passport huna bwege we utakuja kujisifia umepanda ndge mpuuzi mmoja alafu nachelewa vya maana kubishana na asiyejua chochote unaleta story zako za kijiweni jiga kabs we kalime bustan unachoongea ata ukijui kwanza ata kutafuta idadi ya comment hapa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
We Boya jifunze kuandika kwanza.... We mshamba tu wa maporini... Jibu swali kwanza ulouliza, mipasho peleka kigengeni kwenu...

nasubiri jibu la swali nilokuuliza... kama huna jibu tuliza kitenesi usipaze sauti kwenye wanaume....Nyambaf! ushamba wa ndege unao wewe tu... Boti za Bakhressa ushawahi kupanda kwani? 😀
 
We unajiona na we mwanaume kwel eti mshamba ujui kuandika umekua mwalimu ivi kwa elimu yako na unachoongea nakuona kabs huna darasa kichwan unalopoka nijibu swali la mpuuzi kama we unashindwa kujieleza unaweka mipasho tuu ebu kua smart kidg unaweka dharau umejiona kichwa kumbe mjinga alafu nisibishane na we na hii text ya mwisho kwako mana huna akili ata moja kichwan ebu tafuta chizi mwenzio

Kelele nyingiiiii... swali hujajibu
 
Nisaidie ndungu yangu Director Cosmopolitan. Kama dunia si duara. Ikitokea ukaanza kwenda mashariki kwa kufuata mstari ulionyooka, bila kujali how long ull take, utatokea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu sio lazima dunia iwe duara ndipo mtu akisafiri juu yake katika mstari mnyoofu ndipo atatokea pale alipoanza kusafiri laa, bali dunia ikiwa katika umbo lolote lile mtu atatokea palepale alipoanzia safari atakaposafiri katika mstari mnyoofu.
 
1. Earth kuwa sphere, oval, round au flat sifahamu japo shule walifanya kila njia kuniaminisha ni Sphere japo kwa uwelewa wangu ni FLAT 'Bense'.
2. Kama naamini ni FLAT 'Bense' Australia wapo oke wamesimama vizuri tu.
3. Mduara hauna kikomo Ila Mnyoofu/Msitatili unakikomo nikiwa na maana Dunia inakikomo lakini Universe haina Earth=FLAT 'Bense' lakini Universe=Sphere+Oval+Circle

Kama uliwahi kuambiwa/kuskia sayari ya Pluto imetoweka kisha kuonekana na kutoweka means Universe inajibadili maumbo yake Sphere, Oval na Circle.

Dunia sio Sphere bali FLAT 'Bense' kwa maono yangu mimi. Lakini kiuhalisia shika Earth Globe zinazopatikana shuleni, hospitali na madukani angalia sphere eneo China ilipo na US au Canada ajiulize umbali huo ni sahihi kutumia masaa (Flani) kwa safari zinazowahusisha?! Kisha rudi Flat Earth ujumlishe, utoe na kuzidisha utapata jibu.

Note: Kuna haiba ya Uthubutu na Uwoga chagua itakayokupendeza na kufaa.
ikiwa flat muonekano wa mwezi usingekuwa wa maumbo tofauti....
 
Mkuu tafadhali toa proof ya kisayansi kuthibitisha kwamba "universe haina mwisho".

Kwanza nini maana ya "universe"
Universe manake ni kila kitu kilichopo, matter and non-matter, pamoja na nafasi (space).

Dunia yetu, kwa kukosa maneno ya kufaa, ni kama punje ya mchanga kati ya mchanga wote uliopo.

Galaxy moja ni mkusanyiko wa mabilioni ya nyota- ambazo ni jua kama hili tulionalo. Sayansi inaonesha kuwa jua letu ni moja kati ya majua madogo zaidi, yapo majua makubwa mara elfu kadhaa ya jua letu.

Yapo matrillioni na matrillioni.... ya galaxy na hakuna mwisho wa number hiyo.
 
Universe ni Galaxes zote na siyo space. Kwa mantiki hiyo Universe inao mwisho kwa sababu Galaxes zote hatimaye zitakufa kwa kuiingia/ kuvutwa kwenye Blackhole lakini "space" haita vutwa kwa sababu space siyo matter kama jinsi muda (time) siyo matter.
 
Lakini kumbuka zipo prove za kisayansi zinazoonyesha kuwa dunia n duara, mfano
1. Sunrise & sunset
2. Ship navigation
3. Lunar Eclipse

Kama ukichukulia mawazo yako kuwa dunia n FLAT, hivi vitu vyote haviwezi kutokea bro
Huyu bwana inaelekea ana mawazo ya 15 century ......... kwa jinsi picha za satellite zilivyosambaa hivi bado kuna atu wanaamini kuwa dunia siyo mviringo!!
 
Habarini wakubwa,

Naomba kufahamu kidogo. Kutokana na umbile la dunia( sphere), bara la Australia lipo Southen Pole of the Earth, maswali huwa najiuliza je watu, majengo & milima ipo upside down??

Kama ni kweli kwanini hawahisi hiyo hali???

Najua hawazezi kuanguka kutokana na Gravity force.

Pia ningependa kujua Universe is infinity space?? Au kuna ukomo

LAKINI WATU MNAKWEPA SWALI, JE WATU WA ÀUSTRALIA WAPO UPSIDE DOWN.... PIA NA BARA LA ANTARCTICA

***** MAJIBU & UPDATES KUSUHU MDUARA WA DUNIA & ISSUE YA UPSIDE DOWN ***

Picha hii chini inaonyesha jinsi watu wa mabara (Continents) tofauti wanavyokuwa wakisimama wima kwa muda mmoja, pia katika picha hii hakuna mtu anaye hisi kama kichwa kipo chini au juu, wote wanaona wapo level moja
AMA KWELI MUNGU NI ZAIDI YA FUNDI.

View attachment 1022020

Muonekano wa Mwezi katika watu wa mabara tofauti, Mtu aliye NORTHEN POLE & SOUTHEN POLE wataona mwezi mmoja lakini, Mmoja anaona UP mwengine ataona DOWN, Tazama Picha hapo chini
View attachment 1022059

Muonekano halisi wa mwezi kwa North hemisphere and South Hemisphere assume wote wakiupiga mwezi picha kwa wakati mmoja, Mwingine wataona UPSIDE DOWN.
View attachment 1022061

HAKIKA DUNIA NI DUARA, KABISA....

Unaweza kukosoa au Kuongeza Nyama, Karibu
Mimi naona earth is a sphere kutokana na kuwepo kwa evidence mbali mbali..ingekuwa flat kusingekuwa na day and night,
pia dunia haina juu wa chini sayar zote zina float in the space na gravity ina hold vitu vilivopo kwenye sayari sawa sawa.
universe haina ni infinity space na kila siku inazidi kuongezeka zipo pia proof za hiki kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Universe ni Galaxes zote na siyo space. Kwa mantiki hiyo Universe inao mwisho kwa sababu Galaxes zote hatimaye zitakufa kwa kuiingia/ kuvutwa kwenye Blackhole lakini "space" haita vutwa kwa sababu space siyo matter kama jinsi muda (time) siyo matter.
Kumbuka kuwa matter is in space and cannot exist out of space, so you cant speak of matter without space, in the same way you can not speak of universe without space. Time and space and matter and non-matter make up the universe.
 
Okay, let me ask you two questions in one; do you believe in the concept of blackhole?, if yes, then in which arena is it going to take place?
 
Okay, let me ask you two questions in one; do you believe in the concept of blackhole?, if yes, then in which arena is it going to take place?
Black holes are non-matter part of the universe.
 
Back
Top Bottom