Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

kwahiyo sisimizi ukimuweka kwenye gololi atajua yuko upside down
Hahaha. Kunagololi za kwenye gari na baisikeli. But in short kama gololi ni ndogo kiasi kwamba hawezi kupiga hatua moja ni lazima ajishitukie tu. The issue here ni comparison kati kinachoishi juu ya dunia kinaukubwa kiasi gani kulingana na dunia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimechagua kigamboni na sio msata/pwani ili unielewe,milima na vichuguu baharini vinatoka wapi??

Mawingu yako ndani ya milki ya dunia kama km5 kutoka chini.huo ukuta unaouzungumzia una upana mile ngapi maana katikati yake kuna nyota za karibu na za mbali kiasi kwamba zinaonekana kama unga tu uliomwagwa.
Baharini milima ipo na ndio ikijitokeza kwa uwanda mpana inaitwa visiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ISAYA

21 Je! Hamkujua? Hamkusikia? Hamkuambiwa tokea mwanzo? Hamkufahamu tangu kuwekwa misingi ya dunia?
22 Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;

Hiyo Isaya 22 utaona inasema dunia ni duara alafu inasema tunakaa ndani yake. Kwa maana hiyo kuna ungo mwingine nimeugundua, tunaambiwa tupo juu kumbe tupo ndani. Hahaha
Anyway mtu hawezi kuandika vitabu vitakatifu? na kwanini unatolea reference maandishi?
Au ndio sababu hata ya kuamini vitabu hivyo vinavyo tanabaisha Scientific Law's?!
 
Earth is round but not spherical. Earth is flat, enclosed with a dome on top.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Back
Top Bottom