Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Sio maneno yng mkuu ni muhamed kwenye kitabu tukufu ameandika ivo

Sent from my iPhone using JamiiForums
Muhammad unaemzungumzia alikuwa hajui kuandika na kusoma... Itakuwa umemeza upupu.

Ata ivo, nijibu swali langu basi. Ukisema jua linazama, huwa linazama wapi? unaaminisha kuwa linadidimia chini ama?

Ama ukisema jua linazama upande wa maghribi unataka kutwambia kuwa dunia imesimama na jua ndio linalomove kutoka mashariki kwenda magharibi?
 
Nadhani hukumuelewa mwenzako aliye na akili za udini.
 
Mkuu, huu ni utani? Au ndio fact za kuthibitisha kuwa dunia ni flat?

Kila siku na jua lake?
Au linarudi likiwa limezima?

Sasa kama ndio hivyo, mbona wakati wa usiku(ambapo ndio limezima na linarudi) kwa watu wengine inakuwa ni mchana?

Sasa kama kila siku ina jua lake, yanazama yanaelekea wapi? Au yanaenda chini ya dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana kila ukanda una jua lake pia
 
Hata siku moja usiseme DONE, kumaliza unaweza Ila sio kwa 100%.
Tafuta Manila paper tia kiwiko katikati iwezekuwa na asili ya sahani za karatasi (Zinazotumika katika sherehe na hafla mbalimbali) iweke juu ya meza kisha shika grope au groli katika 40 angle degrees (dimension) kwa Grope na 60 degrees kwa groli na katika manila mimina maji. Pia tengeneza mitumbwi kwa karatasi tia ndani ya maji hayo huku ukiwa umeweka maua, mawe na mchanga. Washa feni kwa umbali ukizidisha na kutoa utapata yafuatayo:-

• Meza/Beseni = Universe
• Sahani = Earth
• Grope, Groli = Sun & Moon
• Mawe/Mchanga = Continents, Mountains, Beaches etc
• Maji = Oceans and Lakes
• Feni = Moving air, Wind na inasababisha Maji kucheza.

Haya mengine endeleza.
kuna kitu unakijuwa japo presentation ndio tatizo, kwa hiyo una maana ship navigation inasababishwa na upepo/wimbi/
 
Upo mwisho lakini hutofika kwasababu utachoka na kufa.
Seriously? Kwani huwezi kwenda nchi kama china kwa kupiti upande wowote?

Kwa mfano nikiwa hapa A. Mashariki naweza kwenda china kwa kupitia kusini au hata Kaskazini. Au hata kwa kupitia magharibi.

Tuacheni utani dunia ni duara hilo haliitaji mjadala mpana kama huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Seriously? Kwani huwezi kwenda nchi kama china kwa kupiti upande wowote?

Kwa mfano nikiwa hapa A. Mashariki naweza kwenda china kwa kupitia kusini au hata Kaskazini. Au hata kwa kupitia magharibi.

Tuacheni utani dunia ni duara hilo haliitaji mjadala mpana kama huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unauhakika upi ilhali unaenda kwa ndege au meli? Na umekwisha Meza dunia ni duara.
 
Mkuu hawa wanasayansi kuna vitu wanatuingiza chaka na tunakubali kwamba hiki ni chaka tunaingizwa,mfano"evolution of man"ila hili la umbo la dunia,bado una pointi dhaifu sana za kuwapinga.

Dunia ni flat sawa.kwanini nikisimama tu hapo kigamboni naona mlima wa maji,ambao unanizuia nisiione zanzibar???

Ni kwanini nikisimama kwenye jengo refu zaidi,naaona mikunjo ya duara kwa mbaali,au ni viroba vimeingia machoni??hakuna mkunjo wowote.

Simama hapo ulipo angalia mbele mawinguni,unaona mawingu yameshuka mbele kule si ndio??embu mark eneo yanapoonekan chini kabisa,kisha nieleze unaweza fuata ukayakuta??
Kusimama Kigamboni na kuona mlima wa maji ni sawa na hautoweza kuona Zanzibar kwa sababu, Jicho lina ukomo wake wa kuona na ukomo wa jicho kuona kama ikiwa sehemu ni tambarare kwa kiasi chake ni km 48 tu, si kwa kuangalia juu bali ni kwa kuangalia sehemu iliyo tambarare.

Umbali wa kutoka Dar(Kigamboni) mpaka Zanzibar ni km 74. Kwa km hizo lenzi ya jicho imezidiwa km 26 za kuona. Kwa hiyo, hutoweza kupaona Zanzibar. Ikiwa kama utatumia kifaa chenye kukuza na chenye uwezo wa kuona zaidi ya Km hizo 74 nakuhakikishia Zanzibar utapaona. Hata ile kuona meli kwa mbali kama kwa juu yake inachomoza si kwamba Dunia ni tufe bali ndiyo ukomo wa macho kuona.

Ukitaka kuthibitisha hili simama kwenye Barabara ya lami ambayo ni tambarare ambayo ni ya km nyingi. Gari ikianza kuchomoza inaanza kuonekana body yake ya juu ila kadri unavyoanza kukaribia uwezo wa km za jicho kuona linanza kuonekana zima kidogo kidogo mwisho wa siku gari nzima inaonekana.
 
Na mnaosema dunia ni duara, hivi ukienda Baharini ukatoboa tundu kupita katikati ya dunia (tuseme inawezekana) ambalo linaenda kutokea mahali pengine nchi kavu ambako ni opposite yake, so hapo mahali maji yatakapotokea pataonekana kama chemchem au?
 
Kusimama Kigamboni na kuona mlima wa maji ni sawa na hautoweza kuona Zanzibar kwa sababu, Jicho lina ukomo wake wa kuona na ukomo wa jicho kuona kama ikiwa sehemu ni tambarare kwa kiasi chake ni km 48 tu, si kwa kuangalia juu bali ni kwa kuangalia sehemu iliyo tambarare.

Umbali wa kutoka Dar(Kigamboni) mpaka Zanzibar ni km 74. Kwa km hizo lenzi ya jicho imezidiwa km 26 za kuona. Kwa hiyo, hutoweza kupaona Zanzibar. Ikiwa kama utatumia kifaa chenye kukuza na chenye uwezo wa kuona zaidi ya Km hizo 74 nakuhakikishia Zanzibar utapaona. Hata ile kuona meli kwa mbali kama kwa juu yake inachomoza si kwamba Dunia ni tufe bali ndiyo ukomo wa macho kuona.

Ukitaka kuthibitisha hili simama kwenye Barabara ya lami ambayo ni tambarare ambayo ni ya km nyingi. Gari ikianza kuchomoza inaanza kuonekana body yake ya juu ila kadri unavyoanza kukaribia uwezo wa km za jicho kuona linanza kuonekana zima kidogo kidogo mwisho wa siku gari nzima inaonekana.
Safi sana. Wazee wa Scientific Law's wanaendeshwa tu, hawafikiri.
 
Back
Top Bottom