Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Muhammad unaemzungumzia alikuwa hajui kuandika na kusoma... Itakuwa umemeza upupu.

Ata ivo, nijibu swali langu basi. Ukisema jua linazama, huwa linazama wapi? unaaminisha kuwa linadidimia chini ama?

Ama ukisema jua linazama upande wa maghribi unataka kutwambia kuwa dunia imesimama na jua ndio linalomove kutoka mashariki kwenda magharibi?

Mkuu hiko ni kitabu cha dini ya wenzetu mi cjui lolote na uzi wake upo humu wala hata maandishi ya kiarabu naona kama mtoto kachora tu mi mwenyewe nataka kujua kwenye wanasayansi wa bongo ambao hata tooth sticks tuna agiza toka china ila tunajifanya leo tunajua kila kitu

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ngoja nikurahisishie swali basi.

Jua linazama au halizami?
 
Ndo weka darasa mkuu na wengine wajue kuzama kwenye hayo matope inakuaje

Sent from my iPhone using JamiiForums
Ungejibu kwanza swali nlokuuliza kisha ndio tungefikia uko kukufahamisha linazamaje kwenye matope.

Au unaogopa kujibu kwa sababu unahisi watu watakuona kama bogus?

Jua linazama au halizami? suali simple tu hilo nasubiri uje unijibu
 
Kwel me bogus na wale siogopi kuonekana ivo we mwenye kujua ndo nielimishe basi tatizo letu wabongo utoi darasa zaidi ya kejeli tu au na we ujui tusubiri mwenye kujua mkuu au mwenzangu umepanic

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inasikitisha sana kuona vichwa vyetu(brain) hivi kujadili mada kama hii leo hii katika karne ya 21......Hivi wenzetu walianza kujadili ishu kama hii karne ya ngapi?

Mada kama hizi ni kipimo halisi cha akili za waafrika tulio wengi
 
Kwel me bogus na wale siogopi kuonekana ivo we mwenye kujua ndo nielimishe basi tatizo letu wabongo utoi darasa zaidi ya kejeli tu au na we ujui tusubiri mwenye kujua mkuu au mwenzangu umepanic

Sent from my iPhone using JamiiForums
Sijakukejeli kukwita bogus. Umekiri mwenyewe kuwa wewe ni bogus.

Katika uzi uliotoa hio habari ya jua kuzama matopeni, ilikwisha jibiwa. Sasa kama ungekuwa na akili basi usingeleta ubogus wako hapa....

Unashindwa kutoa jibu la swali nlilokuuliza.
 
Mkuu maji humwagika kutoka juu kwenda kuliko chini.Mto Nile inakuwaje humwagika toka chini kwenda juu?jAfrika iko juu na Ulaya iko chini?je yawezekana mengine tunayoambiwa si kweli?labda kuna ukweli dunia si tufe bali tambarare.Ni fikirishi kidogo
 
Sijakukejeli kukwita bogus. Umekiri mwenyewe kuwa wewe ni bogus.

Katika uzi uliotoa hio habari ya jua kuzama matopeni, ilikwisha jibiwa. Sasa kama ungekuwa na akili basi usingeleta ubogus wako hapa....

Unashindwa kutoa jibu la swali nlilokuuliza.

Nimekuona kwel unaakili ndogo sana ndugu yng hata maswala unayoyaongea ujui chochote habari ya jibu la jua kuzama topeni nani amejibu ni wewe au ujielewi na ndo mana nimejishusha kukuoima kichwa chako empty kabs badala ya kujibu swali kama umejibu basi nitag nione kiwango cha uchizi wako

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekuona kwel unaakili ndogo sana ndugu yng hata maswala unayoyaongea ujui chochote habari ya jibu la jua kuzama topeni nani amejibu ni wewe au ujielewi na ndo mana nimejishusha kukuoima kichwa chako empty kabs badala ya kujibu swali kama umejibu basi nitag nione kiwango cha uchizi wako

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nikishakujibu mimi, utakuja kumwambia na mtu mwengine akujibu, na akikujibu huyo mtu mwengine utataka na mwengine akujibu.

Urudie Uzi unaozungumzia utakuta kuwa kuna jamaa amejibu vizuri tu kuwafahamisha vichwa mchungwa kama wewe. Akijibu mtu mmoja imetosha. Kurudia kujibu icho icho kwa majibu yale yale ni kupoteza mda.

Mimi nimekuuliza swali nasubiri jibu, naona mpaka dakika hii limekushinda kujibu kwa hofu ya kuja kuonekana kuwa umekuwa brainwashed.

ikiwa unashindwa kujibu swali dogo tu kama hilo, utaweza nini sasa?
 
Siwezi kaa fatilia mtiririko wote wa comment kwa akili tena kama zako kama ushawai kujibu utakua utumbo mana kama unaona wenzio awana akili basi jichunguze akili zako wenda utakua na uchizi jifunze busara nidhamu kwa wengine nakupa darasa najua we ni mpumbavu sana ambae ujui chochote sema unataka tujaze comments tu humu jifunze kwa pascal mayalla anapoulizwa kitu utoa ufafanuzi na sio we ushabiki tu acha utahira ndugu naona we una ni attack tu kwan lazima kumdharau mtu ndugu yng kama unashida tafuta wa kukusaidia sio unakunywa mapombe yako ya kienyeji na kutafuta mtu wa kupunguza stress zako

Tizama unavojidhihirisha kuwa mjinga, inabidi kumbe uliingia kwenye thread na ukasoma title tu akisha unakuja kuwadhihaki kwa kusema jua linazama matopeni? inaonesha ni jinsi gani ulivo mvivu na mpumbavu, kubeba heading ya topic na kuishikia bendera hali ya kuwa hujui nini kilizungumzwa. Hata mimi hio topic niliikuta tayari ikiwa na kurasa nyingi, lakini nilipoifungua na kusoma comment sijascroll sana ikawa hoja imejibiwa kiakili, lakini wajinga mfano wako kazi yenu kubeba heading tu na hamusomi nini kimeandikwa. Inashangaza unashikia bango jambo ambalo hulijui.

Unajifanya mwalimu wa busara wakati we mwenye busara huna? jitizame wewe kwanza kabla ya kunyooshea wenzako kidole, kuna vinne vinakuelekea mwenyewe.

Wapi nimeku attack labda? na naona anaejaza comment ni wewe maana nimekuuliza tangu juzi "JUA LINAZAMA AMA HALIZAMI?"
hujajibu, badala yako unakuja kulilia sympathy...

Jibu swali wacha kelele.... and by the way, ukitaka jibu la swali lako, jifunze kusoma nini kimeandikwa kwenye thread na sio kuishia kusoma title!
 
Attachments

  • dunia.PNG
    dunia.PNG
    319.9 KB · Views: 15
Back
Top Bottom