Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Ni kweli bara la Australia lipo Upside down?

Zanzibar ingekua inawaka yote kama Jua au Nyota ungeiona.

Pili Ukubwa nao unachangia, unadhani Zanzibar na Jua kipi kikubwa?
Mkuu utakuwa umekosea Mimi nimeuliza swali kwa huyu anayesema dunia flat hili linatokeaje kwa dunia flat?
crmoon.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni "Chaka" la mwaka, hiyo miinuko, milima na mabonde iko Baharini?

Jibu ni kua Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya upeo mdogo wa macho (limitation) kuona mbali. Yaani uwrzo wa macho umefikia kikomo chake. Labda nikuulize, ukichukua Darubini kali ukaitizama Zanzibar kutokea Kigamboni, hutoiona?
Kwahiyo upeo wa macho ukifikia mwisho ndo uone kama kuna mlima/mwinuko baharini.Hivi umbali wa Zanzibar kutoka Dar na umbali wa kutoka ardhini hadi mawinguni wapi mbali?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo upeo wa macho ukifikia mwisho ndo uone kama kuna mlima/mwinuko baharini.Hivi umbali wa Zanzibar kutoka Dar na umbali wa kutoka ardhini hadi mawinguni wapi mbali?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukisimama Kigamboni Hakuna mlima wala mwinuko unaoonekana baharini, bali huoni tu mwisho wa upeo wa macho yako kuna nini.

Jua linaonekana japokua liko mbali kuliko Zanzibar kwa sababu
1) Ni kubwa
2) Linatoa mwanga mkali
 
Lakini watu MNAKWEPA SWALI,

SWALI LINAULIZA JE WATU WA AUSTRALIA WAPO UPSIDE DOWN??
 
Lakini watu MNAKWEPA SWALI,

SWALI LINAULIZA JE WATU WA AUSTRALIA WAPO UPSIDE DOWN??
Ndio wakilinganishwa na sisi huku Afrika lakini ukiwa Australia wapo ‘kawaida’ kama sisi huku Afrika.

Hata hapo Tanzania sio vichwa vyote vinaelekea mahali pamoja ‘juu’, wale walioko mbali mfano Dar na Kigoma vichwa vyao vinaelekea pande tofauti kidogo. Jinsi umbali unavyozidi ndivyo tafauti inavyozidi.
 
Elewa kuwa kwenye mwezi, jua na sayari zingine kuna gravitational force pia. Ninapotolea mfano wa mpira ni kujenga hoja why we are not feeling upside down?. Hii inajibiwa na size of the earth compared to object zilizosimama mfano animals, majengo. Kama gravitational force pekee inahusika kwa nini sisimizi hadondoki kwenye mpira?. Kumbuka pia gravitational force inahusika na distance between object mamoja na uzito.
Hii kamba kabisa! Kwenye dunia kinachomfanya mtu aliyesimama Australia asinyofoke kwenye uso wa dunia ni gravitation force (hii ni nguvu ya uvutano kuelekea katikati ya dunia=force of attraction towards the center of the earth)! Ieleweke hapa kuwa katikati ya dunia inayooelezewa siyo ya kwenye uso(surface), ni kwenye kiini kama cha yai kule ndani! Sasa wewe kiongozi unalinganisha na sisimizi kwenye mpira ulioning'inizwa? Pale kinachomfanya sisimizi asianguke hakihusiani na nguvu ya uvutano manake wote (sisimizi na mpira wanavutwa kuelekea chin)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini watu MNAKWEPA SWALI,

SWALI LINAULIZA JE WATU WA AUSTRALIA WAPO UPSIDE DOWN??
Hawapo Upside down!

Unaweza ukahisi wapo Upside Down kwa sababu dunia imekuwa ikichorwa vile, kwamba australia inakuwa chini ya mabala mengine!!

Ukweli ni kwamba, ausralia, au Antarctica, sio chini mwa dunia. Dunia haina sehemu ya chini wala juu, na wala usijehisi uingereza au Canada ndio wapo juu au hawapo upside down!!

Point ni kwamba, kila kitu duniani, mfano watu, chini ni miguuni(ardhini) na juu ni kichwani.

Sasa u upside down wa waaustralia unaomaanishwa labda mnataka kusema watu wale wanatembelea vichwa!??

Wa Australia hawapo upside down kwa sababu hawatembelei vichwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni "Chaka" la mwaka, hiyo miinuko, milima na mabonde iko Baharini?

Jibu ni kua Kigamboni huoni Zanzibar sababu ya upeo mdogo wa macho (limitation) kuona mbali. Yaani uwrzo wa macho umefikia kikomo chake. Labda nikuulize, ukichukua Darubini kali ukaitizama Zanzibar kutokea Kigamboni, hutoiona?
Kaka hilo nimelizungumzia angalia vizuri post zangu.
 
Mkuu Director, naomba tu utuambie proofs zinazothibitisha kuwa dunia ni flat!!

Sent using Jamii Forums mobile app
1. Aliye Arctic, Latin, Far East na South Africa na wanaoenda Antarctica wote wamesimama.
2. Jua tunaliona juu ilihali Scientific Law's zenu zinazema haya ma Sphere 9 yanalizunguka.
3. China, US & Canada na Hawaii (US) walitakiwa watumie muda Mfupi kukutana kama Earth ilikuwa sphere.
4. River Nile kutoka Victoria kuelekea Egypt.
5. Jua na Mwezi kuakisiana mwanga ilihali Mwezi unaonekana sessional.
6. Northern Hemisphere kuwa na 6 sessions.

Nyingine nyingi sanaaaa.
 
Mkuu Director, naomba tu utuambie proofs zinazothibitisha kuwa dunia ni flat!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Dunia ni Duara, kwanini kuna nchi za Mashariki na za Magharibi?? Si mfano nchi za Nagharibi zikizunguka zinakuja tu kua za Mashariki?

Na unaamini kua ukitoboa tundu ardhini hapo ulipo (tuseme inawezekana) utaenda kutokezea nchi/sehemu ingine?
 
1. Wao Wanasema (Sio kila wanachosema ni sahihi).
2. Jua kuzama matopeni (Ume-refer thread yeye maudhui ya kidini. Mimi siongelei dini na namuamini Mungu sio dini at first.

Majibu:-
• Dunia kuwa FLAT sio kwamba haitembei/paa/zunguka hapana inapaa/zunguka vizuri tu lakini kwa speed ya kati.
• Jua halikusimama/kaa sehemu moja na halizunguki bali lina runway/njia ya kwenda na kirudi (hupita hapo hapo) East to West/West to East pia linachanua na kufifia kama ua(flower) lakini halizimi kama taa.
• Mwezi umesimama mahala lakini angle ambayo inawezesha kuiona dunia vizuri. Mwezi huu unawaka lakini sio kwa ukali ni kama (Rubber maalumu au Bracelets ambazo gizani uwaka na kwenye mwanga huzima) ⬇
• Universe ndio inautajiri wa mwanga na rangi hivyo hubadili katika mazoea.
Nyongeza:-
• Nyota ni moja imesimama sehemu lakini miale na kunga'a kwake ndio tunaona Nyota kuwa nyingi.

Note: Ukirudi na kitu kinaitwa SCIENTIFIC LAWs jiulize leo hii nikisema wewe huna damu bali maji utakubali?!
Nua linatembea east to west mbona sasa hatulioni likirudi west.. Tunaamka tu tunalikuta west au upande mmoja na kuzima upande mwingine
 
Jua linatembea east to west mbona sasa hatulioni likirudi west.. Tunaamka tu tunalikuta west au upande mmoja na kuzima upande mwingine
Jibu litakua kati ya haya,
a) Hatuna Jua moja, kila siku na jua lake
b) Linarudi usiku likiwa limezimika
 
Nua linatembea east to west mbona sasa hatulioni likirudi west.. Tunaamka tu tunalikuta west au upande mmoja na kuzima upande mwingine
Kuwa macho 24 hours kwenye position moja utaona lipo after 30 mins utaona limesogea.
 
Kama Dunia ni Duara, kwanini kuna nchi za Mashariki na za Magharibi?? Si mfano nchi za Nagharibi zikizunguka zinakuja tu kua za Mashariki?

Na unaamini kua ukitoboa tundu ardhini hapo ulipo (tuseme inawezekana) utaenda kutokezea nchi/sehemu ingine?
Jibu la swali la kwanza:
nadhani nchi za mashariki na magharib ni makubaliano tu ya umoja wa mataifa kuwa ili tuweze kuzitofautisha kwa ukanda, basi nchi za kushoto mwa mstari wa Greenwich (I guess and stand to be corrected) ziwe za magharibi na vice versa ziwe za mashariki!!

Jibu la pili:
Mkuu, ndio! kama dunia ni tufe, obvios ukitoboa tundu na kutokea upande mwingine, basi ule upande utakuwa ni nchi nyingine.
Je kama dunia ni flat na ukatoboa tundu, unatokea wapi?
Au unaanza kutembea upside down kama vile mende chini ya ubao wa meza?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jibu litakua kati ya haya,
a) Hatuna Jua moja, kila siku na jua lake
b) Linarudi usiku likiwa limezimika


Mkuu, huu ni utani? Au ndio fact za kuthibitisha kuwa dunia ni flat?

Kila siku na jua lake?
Au linarudi likiwa limezima?

Sasa kama ndio hivyo, mbona wakati wa usiku(ambapo ndio limezima na linarudi) kwa watu wengine inakuwa ni mchana?

Sasa kama kila siku ina jua lake, yanazama yanaelekea wapi? Au yanaenda chini ya dunia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni haja ya kujadili kama dunia ni flat au duara wakati hata picha za anga za juu kutoka kwenye satelites au vyombo vingine zinaonesha wazi wazi jambo hilo siku hizi
1550055808100.png
.
 
Back
Top Bottom