Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

Uzuri wa waarabu hawanaga mambo ya kuigaiga tamaduni za kibeberu,,,mutabakia ninyi kuigaiga visuti na vimoka vyao ndiyo kujiona ati mmesoma na wastaarabu , kwa wanawake ivyo ivyo vimini, vichupi na minywele wazi dahh makafiri bwana
Kuna harufu ya udini hapa
 
Mazingira ya joto na vumbi na upepo ndo yamefanya mavazi Yale yatumike kule

Kama ni ivyo,,,kwanini wasivae vikaptula na vimini kwa wanawake kama mabeberu n.k ili kuondokana na joto kama ni ivyo!!!! Tukubali tuu, waarabu hawanaga mambo yakuigaiga mzehe.
 
Kama ni ivyo,,,kwanini wasivae vikaptula na vimini kwa wanawake ili kuondokana na joto kama ivyo!!!! Tukubali tuu, waarabu hawanaga mambo yakuigaiga mzehe.
Dini zote haziruhusu mwili wa mwanamke kuwa wazi.
 
Isipokuwa kama kuna mikutano muhimu na nyeti.

Kuvaa si "issue" kwa hawa jamaa khasa huyo mwenye utajiri zaidi ya dola milioni 140 kwenye akaunti benki.

Pia umri wachangia ukiwa umepata pesa muonekano huo ni namna fulani ya kuonyesha hupendi makuu.

Ila wazungu wengine huonekana kuvaa kishamba lakini kwao nguo au mavazi ya ajabuajabu ni mitindo na ila bei kali.

Zipo nguo au mavazi yenye kuonekana yamechanika lakini hiyo ni fashion.

Tupige kazi tusake pesa.
Kuna NGOs moja hapa Bongo ni International, nakumbuka ulikuwa unaweza timba na kaptula kazini, na hakuna mwenye time na weww make wanacho angalia ni Output na sio mavazi
 
ila umempitia karib usikie anavonukia.kuvaa nguo sio lazima marang rang kama yalr ya kakkoo mweznako anava sean john og.anapig adidas sandal og.jeans levis og.anatia na pafyum og sasa utasemaje kavaa ovyo?
 
Wakati muafrika unawaza watu wataniona je wenzetu wanawaza nigundue nini. So sie bado washamba wa nguo ndo maana wengi tunawiga wasanii Ila wenzetu kila mtu anafocus kwa kile anachoamini tofauti na sie watu wa mikumbo na fashion.
 
Wazungu wanajua kwamba unajua Wana Hela kwa hiyo hawana haha ya kukuonyesha Wana Hela kupitia mavazi ndo maana wanavaa simple tu.

Ila mwafrika akipata kidogo tu anataka avae brand kubwa ili awaaminishe watu kwamba ana pesa kumbe ..mashuzi tu!
 
Sio kishamba Wana copy na mazingira.Hata Mimi nikienda vijijini kununua vitu lzm nivae kama wao
NAKUPINGA, HAIJALISHI WAPO WAPI UKIACHA OFISINI, HUVAA SIMPLE SANA, MARK ZUCKY NI MFANO, ANGALIA WENGINE WENGI.

RAMBO, ANORLD HAO WOTE UKIACHA SESSION ZA KIOFISI HUVAA KAWAIDA MNO, TOFAUTI SANA NA SISI, AMBAO WENGI HUVAA KUWAIGA AKINA MONDI, ALIKIBA, N.K

MBONA LIKO WAZI HILO? UNAONEKANA WA AJABU UKISEMA ETI WANA-COPE NA MAZINGIRA, MBONA HATA WAKIWA KWAO ULAYA WANAVAA HIVYO HIVYO? UKIACHA WALE WASANII WEUSI AMBAO WENGI WAO PIA WANAJALI KUVAA(WEUSI POPOTE WALIPO WANAFANANA TABIA, IWE WA MAREKANI AU TZ)
 
Hao awawazi tena kuhusu basic needs kuvaa tuachie sisi masikini
 
Back
Top Bottom