Ni kwanini Wazungu huvaa kishamba ilihali wana hela?

Wao ndio wamekutengenezea nguo,wamekufundisha kuvaa eti leo unasema wanavaa kishamba. Wenzio washapita huko kwenye Kula,kulala na kuvaa saa hizi wanaangalia uwezekano wa kwenda kuishi Mars.
Watu wenye pesa zinazozaa,huwa hawaoni shida kuvaa nguo za dukani,au za gharama,mitupio,they have nothing to prove to any one,that they are rich and wealthy,kwa kina sie kwa vile hatuna kitu,tunaishi kwa vimishahara vya milioni mpaka Saba,kuvaa ndio kitu pekee Cha kuwa dhibitishia watu wengine kwamba na sie tumo,tuna pesa!!
We angalia vijana wanaomiriki vitz,paso,IST,Noah,Wana mbwembwe nyingi balabalani,lakini wale wa mavogue,bmw,Benz,discovers,Lexus,ford,huwa Wana nidhamu ya Hali ya juu
 
Wao ndio wamekutengenezea nguo,wamekufundisha kuvaa eti leo unasema wanavaa kishamba. Wenzio washapita huko kwenye Kula,kulala na kuvaa saa hizi wanaangalia uwezekano wa kwenda kuishi Mars.
Leo ndiyo nimeamini Tanzania ina Vijana wengi wajinga yaani jamaa anahisi kuvaa ndiyo dalili ya mafanikio...
Aisee hii ni hatari Sana kama kuna kuna watu wanawaza kuvaa nguo Kali au kuwa na kitambi ndiyo mafanikio
 
Umekosa cha kuleta humu? Magome ya miti , viwinda , kuchambia majani ya upupu hivyo vilipatikana ulimwengu wa 3 Leo unajinasbu namna hii?.
 
Wao ndio wamekutengenezea nguo,wamekufundisha kuvaa eti leo unasema wanavaa kishamba. Wenzio washapita huko kwenye Kula,kulala na kuvaa saa hizi wanaangalia uwezekano wa kwenda kuishi Mars.
Ova
 
Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao

context kaka wapi unafanya nini na nani?? hata huoni wakiwa kwenye mikutano yao huko wanakula suti za madesigner saa kali kiatu kikali ambavyo ukiweka pamoja ni mkwanja mrefu...hata kama pia ni mzungu akienda kuajiriwa lazima awe presentable sio unaitwa ofisini kupeleka presentation kama jamaa hapo lazima wakufukuze ..kwa jamaa yupo ndani bad enough yeye ndo CEO sasa anaamua cha kufanya hata k
 
Back
Top Bottom