Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,189
- 39,953
Nawewe ukipata hela kama zao,lazima uvae kishamba
Umenisaidia kucheka ndugu. Warabu wanaona uvivu kuvaa na kuvua suruali bado wapo enzi zile za mitume na manabii wa kale!πππwaarabu ni case nyingine..wao wameridhika na magauni
waarabu ni case nyingine..wao wameridhika na magauni
Umenisaidia kucheka ndugu. Warabu wanaona uvivu kuvaa na kuvua suruali bado wapo enzi zile za mitume na manabii wa kale!πππ
hahahahahaha
Nasafiri Suruali 3 ya nne nimevaa na shati/t-shirt 3 ya nne nimevaa hapo nakaa hata miezi miwili huko napoendaHawavai kishamba bali wako simple tu, washamba ni wale wanaosafiri kwa bus hasa hizi za mikoani tuseme bus ya Dar to Mwanza halafu unakuta kavaa suti na mtu kwa safari ndefu za aina hiyo ni kuvaa nguo za kawaida tu kama timbaland bukta yako, T-shirt na sandals.
Kuna rafiki yangu alipata safari ya kwenda mkoa kikazi kwa siku 5 tu, ila alijaza bag, tulivyomshikia bango kwa aibu alipunguza ingawa zilibaki nyingi.
Labda tuulizane, eti wakulungwa ukipata dili mkoa ya siku 5 au wiki, ni nguo ngapi utachukua.
Sio kishamba Wana copy na mazingira.Hata Mimi nikienda vijijini kununua vitu lzm nivae kama waoMm naona wazungu wanaoishi Africa wengi ndo wanavaa kishamba...
Jamani hivi ni mimi tu niliyeliona hili au? Kwa nini Wazungu wana hela ila wanavaa kishamba? Na nguo kali zinatoka kwao
Dah! Nashukuru gari yangu haipo kwenye orodha yakoWatu wenye pesa zinazozaa,huwa hawaoni shida kuvaa nguo za dukani,au za gharama,mitupio,they have nothing to prove to any one,that they are rich and wealthy,kwa kina sie kwa vile hatuna kitu,tunaishi kwa vimishahara vya milioni mpaka Saba,kuvaa ndio kitu pekee Cha kuwa dhibitishia watu wengine kwamba na sie tumo,tuna pesa!!
We angalia vijana wanaomiriki vitz,paso,IST,Noah,Wana mbwembwe nyingi balabalani,lakini wale wa mavogue,bmw,Benz,discovers,Lexus,ford,huwa Wana nidhamu ya Hali ya juu
Mazingira ya joto na vumbi na upepo ndo yamefanya mavazi Yale yatumike kuleHaijalishi aliishi karne ya ngapi, kama walitengeneza viatu vya kuvaa, kanzu, na magauni + hijab n.k kwa wanawake, je!! wangeshindwa kutengeneza hizo suruali, vimini + wigi n.k!!!!!!!!!!! Walikuwa wanajitambua.
Ndiyo maana Nchi za kiarabu adi wa leo vazi lao kuu ni kanzu, na co jeans, suti, vimini, mawigi n.k. vazi la heshima,,,ukilivaa unaheshimika kuliko aliyevaa makolokolo kama suti, jeans, vimini, vichupi na mawigi.
Mungu awabariki sana waarabu kwa ku2letea ustaarabu.
Muhamad alivaa boxa?Haijalishi aliishi karne ya ngapi, kama walitengeneza viatu vya kuvaa, kanzu, na magauni + hijab n.k kwa wanawake, je!! wangeshindwa kutengeneza hizo suruali, vimini + wigi n.k!!!!!!!!!!! Walikuwa wanajitambua.
Ndiyo maana Nchi za kiarabu adi wa leo vazi lao kuu ni kanzu, na co jeans, suti, vimini, mawigi n.k. vazi la heshima,,,ukilivaa unaheshimika kuliko aliyevaa makolokolo kama suti, jeans, vimini, vichupi na mawigi.
Mungu awabariki sana waarabu kwa ku2letea ustaarabu.
mhhhMuhamad alivaa boxa?