hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,538
Naomba nitoe pole za dhati kutoka moyoni mwangu kwa wale wote waliokumbwa na mathila haya yaliyotokea.
kilichonipandisha hasira mpaka nikajihisi tofauti ni kitendo cha hospitali ya mkoa wa Arusha Mt.Meru kuwakataa
kwa kuwapokea majeruhi, inasemekana madaktari na manesi walikimbia na kuwaacha majeruhi bila msaada wowote
na kupelekea kupelekwa Hospitali ya KKKT Selian ambapo panao umbali kidogo kutoka Mt. Meru ilipo.
Hili swala limewauma wakazi wengi wa Arusha kwa unyama na ushetani waliofanya madaktari na manesi wa Mt. meru naomba CHADEMA ilichukulie hili swala hatua ikiwa ni pamoja na kufuatilia haki za binadamu na Ethnics za wahudumu wa afya ili wawajibishwe.