Ni kwanini hospitali ya mt. meru imekataa kuwapokea majeruhi wa mlipuko wa mabomu, mkutano wa chadem

hasason

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
1,648
1,538
Naomba nitoe pole za dhati kutoka moyoni mwangu kwa wale wote waliokumbwa na mathila haya yaliyotokea.
kilichonipandisha hasira mpaka nikajihisi tofauti ni kitendo cha hospitali ya mkoa wa Arusha Mt.Meru kuwakataa
kwa kuwapokea majeruhi, inasemekana madaktari na manesi walikimbia na kuwaacha majeruhi bila msaada wowote
na kupelekea kupelekwa Hospitali ya KKKT Selian ambapo panao umbali kidogo kutoka Mt. Meru ilipo.
Hili swala limewauma wakazi wengi wa Arusha kwa unyama na ushetani waliofanya madaktari na manesi wa Mt. meru naomba CHADEMA ilichukulie hili swala hatua ikiwa ni pamoja na kufuatilia haki za binadamu na Ethnics za wahudumu wa afya ili wawajibishwe.
 
hapa ndio pa kuanzia. Kama sio leo watajibu 2013. Walipanga tukio hili na liliratibiwa na wakubwa zao .Hadi sasa hivi huyo rpc nae kaingia mitini
 
Maagizo waliyopewa na mwajiri wao.Kumbe wameshakuwa kitu kimoja??Juzi tu hapa mwenzao alitekwa na kuteswa vya kutosha leo ......!Njaa.mbaya sana,pole sana kwa majeruhi na wanachi wote kwa unyama waliofanyiwa
 
Kama watumishi wa Afya Meru wamefanya hivyo itakuwa wamefanya jambo baya sana.
Medical Ethics haziruhusu kitu kama hicho.

Please CHADEMA mpeleke suala hili kwenye Bunge, HRLC, Medical Council of Tanganyika nk.
 
Tena huyo jamaa ni mchochezi hasa, usipende kushabikia mambo ambayo huna uhakika nayo mimi nilikuwepo Hospitalini hapo walipokewa na kupata huduma ya kwanza ila waliozidiwa ikaonekana ni vyema wapelekwe hospitali hiyo sababu ya upungufu wa vifaa na wengine wmeandaliwa kupelekwa KCMC lakini hawakuwakimbia. Acha kupotosha umma
 
Naomba nitoe pole za dhati kutoka moyoni mwangu kwa wale wote waliokumbwa na mathila haya yaliyotokea.
kilichonipandisha hasira mpaka nikajihisi tofauti ni kitendo cha hospitali ya mkoa wa Arusha Mt.Meru kuwakataa
kwa kuwapokea majeruhi, inasemekana madaktari na manesi walikimbia na kuwaacha majeruhi bila msaada wowote
na kupelekea kupelekwa Hospitali ya KKKT Selian ambapo panao umbali kidogo kutoka Mt. Meru ilipo.
Hili swala limewauma wakazi wengi wa Arusha kwa unyama na ushetani waliofanya madaktari na manesi wa Mt. meru naomba CHADEMA ilichukulie hili swala hatua ikiwa ni pamoja na kufuatilia haki za binadamu na Ethnics za wahudumu wa afya ili wawajibishwe.

Kama CHADEMA fans wapendavyo kusema source please!
 
Sipendi kulaumu upande wowote lkn hao wanaotaka kupandikiza chuki hii cku zao zinahesabika.
 
Kama watumishi wa Afya Meru wamefanya hivyo itakuwa wamefanya jambo baya sana.
Medical Ethics haziruhusu kitu kama hicho.

Please CHADEMA mpeleke suala hili kwenye Bunge, HRLC, Medical Council of Tanganyika nk.

Halafu kibaya zaidi sasa madaktari wengi ni CHADEMA au Upinzani, siku zote wako dhidi ya Serikali, kweli CHADEMA/Upinzani wametushika pabaya Wananchi mbona tutakwisha, mpaka siku tuje tuamke, Duh!
 
Tusitumie hili tukio kupandikiza chuki hata kama hatupendi maccM lakini si vizuri kupandikiza vitu vya uongo
 
naomba ikithibitkika membr wa Jf kapost taarifa ya uongo achukuliwe hatua kali hata ikiwezekana ban ya maisha. Athari zake ni kubwa. Lets speak the truth and only truth.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom