jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Hili limetokea jana tarehe 25/4/2015 mkoani Arusha.
Vijana kadhaa waliovalia tshirt zenye maandishi ya TEAM LOWASSA walivamia hospitali ya mkoa ya MT MERU wakajidai wamekuja kufanya usafi na kujitolea damu huku wakiwa wamealika waandishi wa habari.
Kwa bahati nzuri uongozi wa hospitali hiyo ya mkoa ulikuwa umegundua janja yao ya kupiga siasa kwenye huduma za kijamii na hivyo wakakataliwa kwa kuwa hawakufuata taratibu.
Baada ya kufedheheshwa waliamia kwenye kituo cha afya cha Levolosi bila taarifa na kutumia mwanya wa kutokuwepo uongozi katika kituo hiko kwa muda huo wa weekend wakajidai kufanya usafi na kurekodiwa na kituo cha channel ten.
Eti wakajidai walitaka kujitolea damu mt meru wakanyimwa!hawajui kuwa utaratibu wa kutoa damu unafanywa na Kituo cha damu salama kanda na wala sio hospitali.
Kikundi hiki kilichovalia tshirt za kuhongwa za TEAM LOWASSA kilikuwa kinaongozwa na darasa la saba mmoja anayeenda kwa jina la EZEKIELI kutoka Ngaramtoni.
Wataalamu wa afya wanajiuliza kama kweli hii team lowassa ilitaka kujitolea damu kwa nini wasiende hospitali ya selian(Ngaramtoni) au OLTUMETI(NGARAMTONI)?
WATAALAMU WA AFYA WAMESIKITISHWA NA UPUUZI WA KISIASA UNAOLETWA KWENYE TAASISI ZA AFYA KISA MTU FLANI ANATAKA URAIS.
AIBU KWA VYOMBO VYA HABARI kwa kutumiwa na wajinga wajinga wa darasa la saba.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA