Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Ni kitu gani kimemsibu Kikwete?

Kitu kilichonishangaza kwenye huu uzi ni wa JK lakini koment nyingi zina mhusu lowasa,lumumba bhana!
Lumumba sijui Lowassa ana nini nao.... Mwenzao yupo kimya na mambo yake hawatukani wala kuwazungumzia lakini wao wapo busy kumsema na hakauki midomoni mwao!!
 
Lumumba sijui Lowassa ana nini nao.... Mwenzao yupo kimya na mambo yake hawatukani wala kuwazungumzia lakini wao wapo busy kumsema na hakauki midomoni mwao!!
Ninyi ni wavivu wa kufikiri bwana! Mnamlinganisha JK na EL
 
Kama umepima afya yake kwa sura, shingo na nywele hapo mimi sijui; lakini kama umepima afya yake kwa mwonekano wa alivyovaa mimi naona kama umechanganywa na kile kikoti cha sare ya waangalizi wa uchaguzi ndio kanaonesha kama mabega yamepanda juu kwa sababu kimepita juu ya koti la suti na inawezekana hicho kizibao cha sare ya uangalizi kina size ndogo kuliko hilo koti la suti yake. Halafu ukumbuke labda amepunguza vazi la ndani la 'bullet proof vest' baada ya kustaafu. Picha focus ya camera inaweza kuwa inachangia muonekano huo ambao yawezana sio halisia.
Ulimwona akihutubia mkutano mkuu wa CCM Dodoma?
 
Mbona hapa anaonekana kawaida tu? Acheni majungu yenu yasiyo na tija.

0,,19473213_403,00.jpg
Hata hivyo ashakuwa mtu mzima lazma abadilike
 
Mtu ana zaidi ya 66yrs atakosaje kuchakaa? Kadri umri unavyoongezeka mtu anazidi kuchakaa na kusumbuliwa na magonjwa mbali mbali km presha , sukari, Figo zinachoka nk!!

Kwa hiyo nawashangaa mnaoshangaa!!
 
Back
Top Bottom