Teacher wee mpole sema hujapata tuu ile kitu nzuriiiiOoh maskini mie, 😔....
Sijawahi kuwa mpole....
Labda mazingira yanibane sana
Teacher wee mpole sema hujapata tuu ile kitu nzuriiiiOoh maskini mie, 😔....
Sijawahi kuwa mpole....
Labda mazingira yanibane sana
Coca acha kuwapanga wanajamii😅😅Mpenzi.
Watu wanahisi nina mwenza, kumbe sina hata, na hawaamini kabisa. Lol
Afu kweli mie cna mpenzi, 😂😂😂😂Coca acha kuwapanga wanajamii😅😅
Hii napigwa daily...ukali asili yanguTeacher wee mpole sema hujapata tuu ile kitu nzuriiii
Teacher wee mpole sema hujapata tuu ile kitu nzuriii
Usimwamini mwanamke anayesema hana mpenzi....huenda Hana wa malengo...ila hawa wa kumwagiana mbona wamejaa tele...ni sisi tu kuamua
Hii napigwa daily...ukali asili yangu
Pipa na mfunikoTeacher wee mpole sema hujapata tuu ile kitu nzuriiii
😅😅😅 cocasticUsimwamini mwanamke anayesema hana mpenzi....huenda Hana wa malengo...ila hawa wa kumwagiana mbona wamejaa tele...ni sisi tu kuamua
Ila wa jinsia yako unaeAfu kweli mie cna mpenzi, 😂😂😂😂
Mke.Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
Mshangazi naona unataka ligi na mabinti wa 2000Usimwamini mwanamke anayesema hana mpenzi....huenda Hana wa malengo...ila hawa wa kumwagiana mbona wamejaa tele...ni sisi tu kuamua
🤣🤣🤣🤣🤭Pipa na mfuniko
Wewe umeona hayo babu....mi sina ligi na yeyote napendwa kwa nafasi yangu....pole kwa kuona yangu,sijui kama yako yamekamilika🤣🤣🤣🤣🤭Mshangazi naona unataka ligi na mabinti wa 2000
Mbona ghafla 😎
taasisi ya kiswahili kaziniWho care❌
Who cares ✅
Ninae na natamba nae. Weuweeee!!Ila wa jinsia yako unae
Rhabhekhaaa!! 😂😂😂😂
Wee em sema kweli?It was implied