fyddell
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 12,904
- 24,541
You should get an english teacher akunoe kidogo tenses mkuu.Who care?
You should get an english teacher akunoe kidogo tenses mkuu.Who care?
Popoma?Hata maana ya JUHA siifahamu
BullshitWho cares✓
Veta inakuhusuBullshit
Bado ni msamiati kwangu, kifupi ni kuwa nikiwa peke yangu huwa nafanya mambo ya kitoto, naweza shinda home nacheza pc game na junior wangu ama ukanikuta naongelesha mifugo yangu as if wananielewa. Sasa kwa mtu mwingine huu ni utahira.Popoma?
Sawa mkuuBado ni msamiati kwangu, kifupi ni kuwa nikiwa peke yangu huwa nafanya mambo ya kitoto, naweza shinda home nacheza pc game na junior wangu ama ukanikuta naongelesha mifugo yangu as if wananielewa. Sasa kwa mtu mwingine huu ni utahira.
Basi mm hata D2 sina wallah na Jf nmeanza kuitumia mwaka 2014 kabla sijajiunga na ID hiiHata mimi nakataa japo sikujui..nikishaonaga mtu yuko JF huwa nakadiria ni amepunvua sana basi ni diploma
🤣🤣🤣🤣 Hatariwatu hufikiri nina kipara kwa sababu muda wote ninavaa kofia
So u a jiselfie 🤣🤣🤣🤣Mpenzi.
Watu wanahisi nina mwenza, kumbe sina hata, na hawaamini kabisa. Lol
Walimu wote wapole bwanaHuniona mpole sana....
Sijasema hivyo, 😂😂😂😂So u a jiselfie 🤣🤣🤣🤣
It was impliedSijasema hivyo, 😂😂😂😂
Mzab huu uchokozi.
Ooh maskini mie, 😔....Walimu wote wapole bwana
Kifimbo cheza😀Who care❌
Who cares ✅