Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,444
mzee wa kuwasaka popote ulipo😁😂, black list series kali sana.Ndio maana ukawa mshabiki wa Raymond Reddington hapo.😂
mzee wa kuwasaka popote ulipo😁😂, black list series kali sana.Ndio maana ukawa mshabiki wa Raymond Reddington hapo.😂
Ipi?Mbezi
Aaahh yule jamaa ana akil mnoooo. Sijui kama kuna watu wako vile in real lifemzee wa kuwasaka popote ulipo😁😂, black list series kali sana.
Ongeza hizi the sopranos, six flying dragons (Korea), peaky blinders, iris(Korea).Kuna movie 2 huwa siachi kuzingalia tola nimezijua
1. Blacklist
2. Jumong (hii naotzama toka 2010 mpaka leo)
Sarah kacheza pia walking dead kama mke wa rickIle sikuielewaga sana. Nilimpendaga skt.sarah tu mle ndani. Niliposikia yule scolfirld ni shoga nikaichukia
Sina chochote kila zaidi ya pumzi na pumzi yenyewe ya mkopo.Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
Mbezi msuguri kwa nabii Mussa.Ipi?
Oooh bas sawa.Mbezi msuguri kwa nabii Mussa.
Karibu sanaOooh bas sawa.
AhsanteeKaribu sana
Ela
Ukamatwe haraka!Mpenzi.
Watu wanahisi nina mwenza, kumbe sina hata, na hawaamini kabisa. Lol
Akili, mara nyingi wanadhani na akili kubwa kumbe wapi, laiti wangeniona matendo ninayofanya nikiwa peke yangu wangekimbia mbioooo…Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
kwamba huna akili?Akili
Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
Who cares✓Who care?×
kwahio we ni JUHA ?Akili, mara nyingi wanadhani na akili kubwa kumbe wapi, laiti wangeniona matendo ninayofanya nikiwa peke yangu wangekimbia mbioooo…
Hata maana ya JUHA siifahamukwahio we ni JUHA ?