Walijua wengi siko na Akili lakini kila nikikutana nao wananitegemea kufanya maamzi kwenye shida zilizo kubwa😂😂😂Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?
Hilo hata mimi limewahi kuni kumba kama mara tatu,watu sijui wakoje!!,unawambia mi ni mjasiriamali, lkn wapi hawakuelewi, Kuna kijiwe fulani DSM niliacha hata kutembelea,,jamaa mmoja alinisonga sana,ikabidi nimwambie mkuu samahani mi ni raia wa kawaida tu usinizanie ivyo,akapunguza kidogo,lkn bado akawa hajaridhika,watu wa hivi ndo uchangia kwa wengine ambao ni wahuni,kujigeuza kuwa matapeli.Hunidhania kuwa Usalama (TISS) kumbe hata ofisi za TISS sijui zilipo
Ata mimi siaminiMpenzi.
Watu wanahisi nina mwenza, kumbe sina hata, na hawaamini kabisa. Lol
Ndo anza kuamini sasa.Ata mimi siamini
Kuwa Nina gari, kumbe la jirani Huwa namuendesha alitaka kwenda Sehemu,kumbe hawajui kwamba hajui kuliendesha!Nimekutana na hili swali sehemu "Ni kitu gani ambacho hauna lakini Watu wanadhani unacho?"
Mimi nimejibu "Watu wanajua nina hela kumbe kapuku tu ninayejua kujitunza na kuwa na muonekano wa kueleweka"
Wewe je?