Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta
Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni tofauti, Mfano Puma na Oryx
Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni tofauti, Mfano Puma na Oryx